Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Mungu ibariki chadema, Mungu ibariki Tanzania
You do not, we do!Who cares
Muulize "Mungu"What! Mstaafu?? Lini alistaafu nikumbusheni!
Kama umesahauuwezi hata kukumbushwa tenaWhat! Mstaafu?? Lini alistaafu nikumbusheni!
Makonda wako kiboko yake chinga tu hana uwezo wa kuwatoa mjini. Alafu kumbuka hao chinga mamantirie na bodaboda ni marafiki wa lowassa.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mpka jpm amewaomba urafiki. VP hapo upo?Hayo Ndiyo mapokezi ya kishindo Duh? Hata Makonda alikuwa na mapokezi mkubwa mbagala kuliko huyo Lowassa wenu
Acha uongo kura yako ulimpigia mbunge wako muuliza maswali ya nyongeza mathayo manyinyi na magufuli. Acha kuongea uongo mana nakujua vizuri tuHivi huyo mzee bado anataka nini? Ingawa nilimpa kura yangu, lkn asingetufikisha Tanzania tunayotaka. Magufuli anatosha kutunyoosha. Maana watanzania hamna kizuri. Jk alitembea sana mkampa jina la vasco!!! Go magu!!!
kama barabara hazikudekiwa basi hayo si mapokezi makubwaWaziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa apata mapokezi ya kishindo katika mji wa Nzega asubuhi ya leo yupo Nzega kwenye ziara yakikazi
View attachment 445278 View attachment 445279 View attachment 445280 View attachment 445281
Barabara itadekiwa mwaka 2020 wameshaagiza mifagio ya chuma kudeki vumbiHawakupiga deki barabara?
Lipumba umesahau tangu 1995 mpaka leo bado yumo Maalim Seif pia tangu 1995 mpaka leo, Mcheza sinema si lazima kuisha sababu movie huwa haziishi kunoga labda Director na ma producer wawe wabovu mkuu. Atatamba kama mwaka juzi na jana wakati akiwa bado CCM ikifika siku ya siku hakuna lolote hapo alipoaanzia imekuwa magharibi bora angeanza kama mwenzie Lipumba akiwa kijana kuliko sasa maana ikifika mwaka 2025 sidhani kama atakua na nguvu tena labda amrithishe mtoto wake Fredy LowasaHuyu mzee alikuwa mtu wa watu nilitegemea baada yauchaguz kumalizika hbr za lowasa nazo kwisha kumbe...
Siyo kwa ubabaishaji huu wa Wapinzani wa TZ! Mgombea mwenyewe mroho wa madaraka anayetumia nguvu kubwa kuwa Rais!! 2020 ataisoma namba!! Hata nusu ya kura za 2015 hapati!!Tujifunze Ghana na Gambia.... Chama kizee king'oke