Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa apata mapokezi ya kishindo katika mji wa Nzega asubuhi ya leo yupo Nzega kwenye ziara yakikazi
Nguvu ya CDM bado kubwa!Kazi nzuri
The ones who caresWho cares
Walimpigia aliyeshindaWatu wanajua kura zao walimpigia nani kwahiyo msishangae sana
Kuna tofauti kubwa ya kupigiwa kura n.a. kutangazwa labda kama ulijui ilo mkuuWalimpigia aliyeshinda
Hayo Ndiyo mapokezi ya kishindo Duh? Hata Makonda alikuwa na mapokezi mkubwa mbagala kuliko huyo Lowassa wenuWaziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa apata mapokezi ya kishindo katika mji wa Nzega asubuhi ya leo yupo Nzega kwenye ziara yakikazi
View attachment 445278 View attachment 445279 View attachment 445280 View attachment 445281
Swafi swana.!!!The ones who cares
Hivi unawezaje kufananisha sisimizi na tembo , hebu muulize makonda imekuwaje machinga wamerudi tena barabarani ?Hayo Ndiyo mapokezi ya kishindo Duh? Hata Makonda alikuwa na mapokezi mkubwa mbagala kuliko huyo Lowassa wenu