Tunaongelea mapokezi ya team wateka nyara watuHivi unawezaje kufananisha sisimizi na tembo , hebu muulize makonda imekuwaje machinga wamerudi tena barabarani ?
Kwani huko nzega ana zizi lake?!!!!! Si alisema akishindwa ataenda kuchunga??Hajachuja bado
Atajuaje ilhali anatumia masaburi kufikiri?Kuna tofauti kubwa ya kupigiwa kura n.a. kutangazwa labda kama ulijui ilo mkuu
What! Mstaafu?? Lini alistaafu nikumbusheni!Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa apata mapokezi ya kishindo katika mji wa Nzega asubuhi ya leo yupo Nzega kwenye ziara yakikazi
View attachment 445278 View attachment 445279 View attachment 445280 View attachment 445281