Who cares
Ni kweli kabisaKwa picha za namna hiyo atazuiwa sasa hivi maana ccm na serikali yake hawataki kusikia jina la lowasa
Itafika kipindi hataa bao la mkono halitawezekana,sasa ni muda wa vyama vikongwe kuondoka madarakani.nyakati ndio huamua na si watubao la mkono tu!hatujali hisia za wananchi
MH lubuva anamaliza muda... Akija mpya amevaa shati la kijani ila ndani kavaa gwanda la kaki mtaisoma nambaSiyo kwa ubabaishaji huu wa Wapinzani wa TZ! Mgombea mwenyewe mroho wa madaraka anayetumia nguvu kubwa kuwa Rais!! 2020 ataisoma namba!! Hata nusu ya kura za 2015 hapati!!
Kama yule jamaa ambaxe ni Rais wa misikitini !Watu wanajua kura zao walimpigia nani kwahiyo msishangae sana
Mapokezi ya kishindo ndo yakoje?Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa apata mapokezi ya kishindo katika mji wa Nzega asubuhi ya leo yupo Nzega kwenye ziara yakikazi
View attachment 445278 View attachment 445279 View attachment 445280 View attachment 445281
KAMA CHADEMA HAWANA PLAN B, WATAANGUKIA PUA TENA 2020, KUMTEGEMEA LOWASSA AWE MGOMBEA NI SAWA NA KUOTA NDOTO ZA LEMA. CHADEMA WANAPASWA KUMUANDAA KIJANA ASIE NA DOA MWENYE HISTORIA ILIYOTUKUKA YA UADILIFU, MCHAPAKAZI, ANAESEMA AKATELEZA, MUONGEAJI JUKWAANI, ANAE JUA KUJIBU HOJA KWA WELEDI, ANAEWEZA KULITUMIA JUKWAA KWA ZAIDI YA SAA MOJA TENA AKIPANGUA HOJA MAHSUSI. KWA BAHATI MBAYA SANA CHADEMA WALA UKAWA HAWANA WATU WA HIVI INASIKITIHA SANA .
Kwa Upinzani gani na kwa Wagombea mlionao wa kuitoa CCM. Makapi yanayoachwa na CCM?? Mtasubiri sana!!Itafika kipindi hataa bao la mkono halitawezekana,sasa ni muda wa vyama vikongwe kuondoka madarakani.nyakati ndio huamua na si watu
hujaitwa kuchangia. Ungeweza pia kupita kimya kimyaWho cares