RealMan
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,367
- 1,395
acha umbea wewe ...fanya kazi muda wote unawaza kutoa siri za ofisi kuweka kwenye jf.... Mkiambiwa watz wavivu domo kubwa mnalalamika et serikali hakuna inachofanya
Huo ni uzushi tu ni si tetesi...Hilo ni jembe la kuaminika na mmoja wa magwiji wa habari nchini utake usitake, licha ya elimu yake ktk tasnia ya habari ni diploma kutoka Chuo mahili TSJ proper na si 'TSJ' ya sasa. Ila ung'ang'anizi wake katika kusimamia maadili na anachokiamini kimemjengea maadui wengi wa ndani na nje ya ofisi yake.
Ukiwa na roho ngumu kama ya KIBE au KAPONGO una-qualify kuwa suicide bomber...
Last edited by a moderator: