Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
- Thread starter
- #21
Huo ni uzushi tu ni si tetesi...Hilo ni jembe la kuaminika na mmoja wa magwiji wa habari nchini utake usitake, licha ya elimu yake ktk tasnia ya habari ni diploma kutoka Chuo mahili TSJ proper na si 'TSJ' ya sasa. Ila ung'ang'anizi wake katika kusimamia maadili na anachokiamini kimemjengea maadui wengi wa ndani na nje ya ofisi yake.
UZUSHI Sio? Haya mkuu subiri hadi uandikiwe na magazeti ndipo utasadiki, siwezi kukulazimisha
acha umbea wewe ...fanya kazi muda wote unawaza kutoa siri za ofisi kuweka kwenye jf.... Mkiambiwa watz wavivu domo kubwa mnalalamika et serikali hakuna inachofanya
Acha hasira mkuu, hebu sema unachotaka kukisema ili ueleweke, Umbea....Kutoa siri za ofisi.......Uvivu....Domo Kubwa....vimeingiaje hapa ama vina uhusiano gani?? Panga hoja vizuri uje useme tukuelewe.