KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Du hapa kwenye rangi nyekundu mzee umechapia,Suzan Mungy(Mongi) hata Maulid Kitenge hujui kama katokea Tabora?Baba yake anaitwa Baraka Kitenge mchezaji wa zamani wa vijana wa Jangwani.Japo sijafanya utafiti wa undugu wa mbali, Tido ni mtoto wa Mchungaji Daniel Mhando wa Anglican Chang'ombe. Mdogo wake ni mwandishi wa habarui na mtangazaji Jane Mhando yuko SABC Africa anaishi Kusini.
Neema alijiunga TBC hata kabla ya ujio wa Tido. Kwa upande wangu nadhani ni majina tuu, au Tanga line. Ila pia twende mbele tukirudi nyumba, kana ni ndugu jamaa ama marafiki, wanauwezo wa kazi, hawajabebwa kuingia TBC, sithani kama kuna ubaya wowote.
Angalizo, watu wa Tanga Line na ukanda wa pwani mara myingi hutokea kuwa watangazaji wazuri kwa lafudhi nzuri Tukianzia na
Tido Mhando- Tanga line-TBC Boss
Sekioni Kitojo-Tanga line-DW-Ujerumani
Ali Atasi-Tanga line-Radio Japan
Eraston Mbwana-Ujereumani
Abdalah Mbamba-Umoja wa Mataifa
Marriam Shamte-VOA
David Wakati-Zenji-Boss wa RTD Mstaafu
MohameD Dahman-Zenj -Ujerumani
Aboubakari Liongo-Tanga Line-Ujerumani,
Susan Mungy-Tanga line-BBC-TBC
Maulid Kitenge-Tanga line-Radio One
Eshe Muhidin-Tanga line-TBC Taifa
Abdul Masudi-Tanga line (RTD)
Philip Ciprian -Tanga line Clods radio/tbc
Hawa ni wachache tuu niliobahatika kuwakumbuka, nikifanya uchimbuzi, utakuta Tanga line ni wengi kwenye Utangazaji kama walivyo Chagga line kwenye mambo ya pesa ukianzia na TRA, walivyo Kurya line Jeshini, Nshomile kwenye kazi za kisomi etc.The list is long, long long, haina maana makabila mengine hawauwezi utangazaji bali Watanga ndio waliobobea zaidi.
Wengine wanadai mbona Taifa stars haina wazanzibari?
Naomba kufahamishwa kama wananyakazi hawa wa TBC ni ukoo mmoja na kwanini wote wawepo kwenye taasisi moja?
1. Tiddo Mhando
2. Evans Mhando
3. Neema Mhando
4. Rehema Mhando
Japo sijafanya utafiti wa undugu wa mbali, Tido ni mtoto wa Mchungaji Daniel Mhando wa Anglican Chang'ombe. Mdogo wake ni mwandishi wa habarui na mtangazaji Jane Mhando yuko SABC Africa anaishi Kusini.
Neema alijiunga TBC hata kabla ya ujio wa Tido. Kwa upande wangu nadhani ni majina tuu, au Tanga line. Ila pia twende mbele tukirudi nyumba, kana ni ndugu jamaa ama marafiki, wanauwezo wa kazi, hawajabebwa kuingia TBC, sithani kama kuna ubaya wowote.
Angalizo, watu wa Tanga Line na ukanda wa pwani mara myingi hutokea kuwa watangazaji wazuri kwa lafudhi nzuri Tukianzia na
Tido Mhando- Tanga line-TBC Boss
Sekioni Kitojo-Tanga line-DW-Ujerumani
Ali Atasi-Tanga line-Radio Japan
Eraston Mbwana-Ujereumani
Abdalah Mbamba-Umoja wa Mataifa
Marriam Shamte-VOA
David Wakati-Zenji-Boss wa RTD Mstaafu
MohameD Dahman-Zenj -Ujerumani
Aboubakari Liongo-Tanga Line-Ujerumani,
Susan Mungy-Tanga line-BBC-TBC
Maulid Kitenge-Tanga line-Radio One
Eshe Muhidin-Tanga line-TBC Taifa
Abdul Masudi-Tanga line (RTD)
Philip Ciprian -Tanga line Clods radio/tbc
Hawa ni wachache tuu niliobahatika kuwakumbuka, nikifanya uchimbuzi, utakuta Tanga line ni wengi kwenye Utangazaji kama walivyo Chagga line kwenye mambo ya pesa ukianzia na TRA, walivyo Kurya line Jeshini, Nshomile kwenye kazi za kisomi etc.The list is long, long long, haina maana makabila mengine hawauwezi utangazaji bali Watanga ndio waliobobea zaidi.
It does not matter. What matters if they can deliver as expected.
Mhando ni wabodei kabila la Tido..
Kuna Kihampa, Msami, Mang'enya..the list is endless.
Je wako kwa coincidence? hapana kwani uwezo wanao..laki ni nani asiejuwa kama wagosi wana sauti nzuri za kutangaza?
Mnawakumbuka kina Godfrey Mngodo, Jumbe Omari Jumbe, Sekioni KitojoTido mwenyewe, n.k
Sasa ujekuwaweka watani zangu wakisukuma au kikurya si utachekesha? Taarifa zitakuwa hazina laddha.

Kingwele,Mhando ni wabodei kabila la Tido..
Kuna Kihampa, Msami, Mang'enya..the list is endless.
Je wako kwa coincidence? hapana kwani uwezo wanao..laki ni nani asiejuwa kama wagosi wana sauti nzuri za kutangaza?
Mnawakumbuka kina Godfrey Mngodo, Jumbe Omari Jumbe, Sekioni KitojoTido mwenyewe, n.k
Sasa ujekuwaweka watani zangu wakisukuma au kikurya si utachekesha? Taarifa zitakuwa hazina laddha.
kwenye list ya Tanga line umemsahau......Deodatus BalileJapo sijafanya utafiti wa undugu wa mbali, Tido ni mtoto wa Mchungaji Daniel Mhando wa Anglican Chang'ombe. Mdogo wake ni mwandishi wa habarui na mtangazaji Jane Mhando yuko SABC Africa anaishi Kusini.
Neema alijiunga TBC hata kabla ya ujio wa Tido. Kwa upande wangu nadhani ni majina tuu, au Tanga line. Ila pia twende mbele tukirudi nyumba, kana ni ndugu jamaa ama marafiki, wanauwezo wa kazi, hawajabebwa kuingia TBC, sithani kama kuna ubaya wowote.
Angalizo, watu wa Tanga Line na ukanda wa pwani mara myingi hutokea kuwa watangazaji wazuri kwa lafudhi nzuri Tukianzia na
Tido Mhando- Tanga line-TBC Boss
Sekioni Kitojo-Tanga line-DW-Ujerumani
Ali Atasi-Tanga line-Radio Japan
Eraston Mbwana-Ujereumani
Abdalah Mbamba-Umoja wa Mataifa
Marriam Shamte-VOA
David Wakati-Zenji-Boss wa RTD Mstaafu
MohameD Dahman-Zenj -Ujerumani
Aboubakari Liongo-Tanga Line-Ujerumani,
Susan Mungy-Tanga line-BBC-TBC
Maulid Kitenge-Tanga line-Radio One
Eshe Muhidin-Tanga line-TBC Taifa
Abdul Masudi-Tanga line (RTD)
Philip Ciprian -Tanga line Clods radio/tbc
Hawa ni wachache tuu niliobahatika kuwakumbuka, nikifanya uchimbuzi, utakuta Tanga line ni wengi kwenye Utangazaji kama walivyo Chagga line kwenye mambo ya pesa ukianzia na TRA, walivyo Kurya line Jeshini, Nshomile kwenye kazi za kisomi etc.The list is long, long long, haina maana makabila mengine hawauwezi utangazaji bali Watanga ndio waliobobea zaidi.
Ni listi ya watangazaji sio waandishi.kwenye list ya Tanga line umemsahau......Deodatus Balile
Uncle J ni Mkurya, watangazaji Wasukuma wazuri tuu walikuwepo, zaidi ya Bujaga Izengo Kadago, yupo Malima Ndelema, Sebastian Maganga, Sebastian Ndege, Hanna Mayige, Aloysia Maneno, Pascal Mayalla etcebwana wasukuma ujawahi kumsikia mtu anaitwa BUJAGA IZENGO KADAGO? Na kule ziwani kuna mtu anaitwa JULIUS NYAISANGA, upo kamanda