Mhandos na TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhandos na TBC1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Jun 30, 2009.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,937
  Likes Received: 2,100
  Trophy Points: 280
  Naomba kufahamishwa kama wananyakazi hawa wa TBC ni ukoo mmoja na kwanini wote wawepo kwenye taasisi moja?

  1. Tiddo Mhando
  2. Evans Mhando
  3. Neema Mhando
  4. Rehema Mhando
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,414
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hii ni coincidence au wote ni jamaa moja?
   
 3. W

  WildCard JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,469
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kuna yule dada waliotokea BBC na Tido. Naye ana u-Mhando ingawa amebadilisha ubin baada ya kuolewa.
   
 4. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ukoo si tatizo muhimu ni sifa na mafanikio ya kazi za mhusika.
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 23,000
  Likes Received: 12,601
  Trophy Points: 280
  Japo sijafanya utafiti wa undugu wa mbali, Tido ni mtoto wa Mchungaji Daniel Mhando wa Anglican Chang'ombe. Mdogo wake ni mwandishi wa habarui na mtangazaji Jane Mhando yuko SABC Africa anaishi Kusini.
  Neema alijiunga TBC hata kabla ya ujio wa Tido. Kwa upande wangu nadhani ni majina tuu, au Tanga line. Ila pia twende mbele tukirudi nyumba, kana ni ndugu jamaa ama marafiki, wanauwezo wa kazi, hawajabebwa kuingia TBC, sithani kama kuna ubaya wowote.
  Angalizo, watu wa Tanga Line na ukanda wa pwani mara myingi hutokea kuwa watangazaji wazuri kwa lafudhi nzuri Tukianzia na
  Tido Mhando- Tanga line-TBC Boss
  Sekioni Kitojo-Tanga line-DW-Ujerumani
  Ali Atasi-Tanga line-Radio Japan
  Eraston Mbwana-Ujereumani
  Abdalah Mbamba-Umoja wa Mataifa
  Marriam Shamte-VOA
  David Wakati-Zenji-Boss wa RTD Mstaafu
  MohameD Dahman-Zenj -Ujerumani
  Aboubakari Liongo-Tanga Line-Ujerumani,
  Susan Mungy-Tanga line-BBC-TBC
  Maulid Kitenge-Tanga line-Radio One
  Eshe Muhidin-Tanga line-TBC Taifa
  Abdul Masudi-Tanga line (RTD)
  Philip Ciprian -Tanga line Clods radio/tbc
  Hawa ni wachache tuu niliobahatika kuwakumbuka, nikifanya uchimbuzi, utakuta Tanga line ni wengi kwenye Utangazaji kama walivyo Chagga line kwenye mambo ya pesa ukianzia na TRA, walivyo Kurya line Jeshini, Nshomile kwenye kazi za kisomi etc.The list is long, long long, haina maana makabila mengine hawauwezi utangazaji bali Watanga ndio waliobobea zaidi.
   
 6. Amosam

  Amosam Senior Member

  #6
  Jun 30, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du hapa kwenye rangi nyekundu mzee umechapia,Suzan Mungy(Mongi) hata Maulid Kitenge hujui kama katokea Tabora?Baba yake anaitwa Baraka Kitenge mchezaji wa zamani wa vijana wa Jangwani.
   
 7. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Cha msingi ni sifa na uwezo wa kiutendaji wa mtu na wala si kabila lake. Wakati wa utawala wa rais Jimmy Carter wa Marekani wasaidizi wake wengi walitokea jimbo moja. Mwenyewe alilikiri kuwa amewachagua watu ambao anafahamu utendaji kazi wao. Hivyo walipitishwa na congress kwa kuwa wana clean and good record. Hivyo watanzania tusiangalie makabila yetu bali uwezo wa utendaji. Wengine wanadai mbona Taifa stars haina wazanzibari?
   
 8. J

  Jafar JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  It does not matter. What matters if they can deliver as expected.
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu hawa ni wapemba?
  Nadir Haroub 'Canavaro'
  Abdi Kasimu 'baby'
   
 10. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mhando ni wabodei kabila la Tido..

  Kuna Kihampa, Msami, Mang'enya..the list is endless.

  Je wako kwa coincidence? hapana kwani uwezo wanao..laki ni nani asiejuwa kama wagosi wana sauti nzuri za kutangaza?
  Mnawakumbuka kina Godfrey Mngodo, Jumbe Omari Jumbe, Sekioni KitojoTido mwenyewe, n.k

  Sasa ujekuwaweka watani zangu wakisukuma au kikurya si utachekesha? Taarifa zitakuwa hazina laddha.
   
 11. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Pasco ahsante nilikuwa sijaiona hii. Kwli unajuwa umenikumbusha kina Liongo...huyu jamaa haw kina Kitenge walimuiga kila kitu kwenye sauti.
   
 12. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Mi nahisi watz tumelaaniwa, nimesikia mjadala bungeni ijumaa iliyopita, mbunge mmoja alisimama na kuanza kulalamika eti TFF wababaishaji, kisa Taifa Stars haina wachezaji kutoka Zanzibar!!

  Moyoni nikajisemea "kweli huyu mbunge analipwa kwa pesa yangu ya kodi!!"
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,904
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Yes ila juzi juzi Tido alichemsha na kuumbuliwa na TCRA katika sakata la Mengi Vs RA.
  TBC inaelekea kuwabeba mafisadi eg ,Tido to Manjis rescue katika sakata la Ze Komedi
   
 14. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Neema Mhando hana undugu na hao wengine wote uliyo wataja hapo. Kwa hao wengine sifahamu but Neema hana undugu nao.
   
 15. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,373
  Likes Received: 5,114
  Trophy Points: 280
  ebwana wasukuma ujawahi kumsikia mtu anaitwa BUJAGA IZENGO KADAGO? Na kule ziwani kuna mtu anaitwa JULIUS NYAISANGA, upo kamanda
   
 16. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 8,623
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Si kweli, sina shaka hukumfajamu Julius Nyaisanga ?
   
 17. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,474
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Kingwele,
  Nyaisanga ni Mkurya.
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 0
  kwenye list ya Tanga line umemsahau......Deodatus Balile
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 23,000
  Likes Received: 12,601
  Trophy Points: 280
  Ni listi ya watangazaji sio waandishi.
   
 20. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 23,000
  Likes Received: 12,601
  Trophy Points: 280
  Uncle J ni Mkurya, watangazaji Wasukuma wazuri tuu walikuwepo, zaidi ya Bujaga Izengo Kadago, yupo Malima Ndelema, Sebastian Maganga, Sebastian Ndege, Hanna Mayige, Aloysia Maneno, Pascal Mayalla etc
   
Loading...