Mhadhiri wa UDSM Bashiru Ally na BBC

Mhadhiri wa UDSM Bashiru Ally na BBC

Taatizo ni uwezo mdogo wa kuchanganua hoja. Naona watu hawana kabisa ability ya kutoa hoja zinazotokana na uchambuzi makini wa similarities na tofauti za scenarios anuai. Matokeo ya Middle East, West Africa, Central Africa, Iraq yanawiana kwenye vifo tu lakini mikondo, malengo na mifumo ya asili na namna ya matokeo ya vifo hivyo ni tofauti. Na america si mburura. Ni wataalam wanaofanya uchambuzi kabla hawajaamua wafanye intervention ya aina gani kama ni lazima na kwa tukio lipi na sababu zipi.

Sasa watu wanaharisha tu bila kudigest kwa kukosa maarifa sahihi. Wanataka America aingilie kijeshi kila mgogoro duniani ama la sivyo asisaidie popote. Huo si ni ................ na ukosefu wa fikra wa hali ya juu?

Mwisho wa siku watasema aingilie kijeshi mauaji yanayofanywa na ccm kwa wapinzani, hujuma za katiba, wizi, ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za uma.

Palestina na Iraq wapi na wapi? Ukilaumu suala la Palestina ni sawa lakini si haki kucompare!!! Kule middle east mbona both sides zina makosa? Yale mahandaki hukuyaona? Na hizo rockets je? Israel also is to blame. Numerous children and innocent civilians have been butchered. Lakini Hamas ndio wanaanza na Israel wanaretaliate vibaya. Both side are to blame in middle east!!! Sasa Iraq ni hao magaidi tu wanatesa minorities. Sasa wameteka wasichana kibao wa kabila la Yazidi! Ni haki hii? Hawafai kabisa na huyo mhadhiri hakujibu maswali kalalamika tu. I think he was not objective.
 
Ndugu zangu, hebu
tujaribu kubadilika kidogo. Nadhani kuna tatizo kubwa sana nchini.
1. Kushindwa kuelewa maana
2. Kushindwa katika muktadha ulikosudiwa
3. Kuangalia mambo kwa kicho la dini. Gonjwa baya sana hili.

Mleta mada kaangalia mahojiano na kuona mambo mawili, ukristo na Uislam.
Kakokotoa maneno yake na kuondoa mada halisi iliyojadiliwa. Huu ni
ugonjwa mbaya sana wa kushindwa kufanya analysis ya mambo kama watu
huru.
Niseme hizi dini zinazidi kupumbaza watu badala ya kuwajenga. Niwieni
radhi mtakaokereka na mtazamo huo.

Siasa za mashariki ya kati haziangaliwi kwa jicho jepesi. Kwa maoni
yangu, alichopinga Bushiri Ali ni kitendo cha Marekani kuwatumia Yazidu
kuficha matatizo waliyosababisha siku za nyuma.

ISIS wanaelekea Baghdad, kuna shinikizo ndani ya Marekani kuwa Trillion 2
na askari 5,000 wamepotea kwa jambo lisiloonekana kuwa na manufaa.
Walichokitaka Wamarekani ni udhibiti wa Iraq kwa sababu mbili, mafuta na
kulinda mshirika wao aliyetishiwa na Saddam, Israel.

Walichokitaka ni kuhakikisha hakuna mbabe mashariki ya kati
atakayetishia nchi rafiki kama Saudia na UAE.
Ndilo lengo la kumuondoa Saddam. Sasa ISIS wanaporudi na kutangaza
utawala wao, kwa Marekani ni sawa na kuruka hoja majivu ukanyage Moto.

Lakini, kuna challenge pia. Kurudi kwao Iraq kutawalizimu wainge maeneo
kama Syria Pia. Obama anataka nchi imalize vita eneo hilo, hivyo lazima
atafute sababu za kurudi Iraq ili kulinda masilahi yaliyowapeleka kwa
mara ya kwanza.

Njia rahisi ni kuwatumia Yazidu ambao sehemu kubwa ni Wakristo. Hawa
wame survive genocide zaidi ya 72 wakati Marekani haikuwepo. Ni kwa
kuwatumia, Marekani ikaingia na misaada halafu jana wakashusha kipigo
kwa ISIS waliokuwa wanaelekea Baghdad. Ni kutafuta sababu tu za
kuwaadhibu ISIS.

Marekani inaelewa kuwa kuacha ISIS itwae Iraq ni kuruhusu Syria ianguke
na nchi za mashariki ya kati. Kutakuwa na kibarua kigumu sana cha
ku-deal na ISIS ambao wamejinasibu wanataka dola moja mashariki ya kati.

Si kweli kuwa Marekani imekwenda kwasababu ya Wakristo. Laiti ingekuwa
hivyo, tungewaona Darful na kwingineko.
Kuna interest zao ambazo usipiziangalia kwa jicho zuri, unaishia katika
Uislama na Ukristo.

Hivyo Bushiri alikuwa anatoa analysis kwa maana ya kupinga ulaghai ni
sukupinga wale watu ksaidiwa.
Sidhani kama Bushiri haelewi Bosnia Herzegovina nchi za magahribi
zikiongozwa na Maekani zilifanya nini.

Hivyo, ningeomba watu wafungue akili zao na kuyaangalia mambo kwa
mtazamo mpana, kuziangalia hoja kama zilivyo na si kwa jicho la ukirsto
na Uisalam.Ugonjwa huu unaliumiza taifa sana.

Najiuliza angesema Bensona wa UDSM au John wa Mzumbe Unv, leo mleta mada
angekuwa na hoja gani.

Nashangaa uzi unaendelea tu kukiwa na habari mstari mmoja bila kufikiria
dhana halisi ya mzungumzaji.
Au habari hiyo ingesemwa na Prof Chembelecho tusiyejua ana dini gani,
mleta mada angesema nini.

Unapomuangalia mzungumzaji kwa jina na si kwa wasifu au sifa zake,
unajinyima nafasi ya kufikiri na kutojitendea haki.

Huu ugonjwa kuangalia majina ni mbaya sana, unapumbaza taifa unawaumbaza
vijana.
Leo mtu akiteuliwa, hakuna anayeangalia sifa, jicho ni jina na imani
yake.
Hatuwezi kujenga taifa tukiwa na kundi lisiloweza kuchambua mambo,
lisilokubali au kupinga hoja kwa hoja.

Mada nzima haizungumziwi kwa kwa kuunga mkono au kupinga hoja, ni udini
tu.
Elim yetu ina matatizo lakini hizi dini nazo zinasehemu yake katika
kupumbaza watu

wenye akili tumekusikia. shukrani kwa post yenye akili
 
Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.

yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.

Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.

Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?

Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?

Ajabu aisee.

Mleta mada ndio mdini zaidi
 
Huyo Marekani alikuwa wapi wakati Antibalaka wanawauwa waislam Afrika ya kati, Bangii?. Wewe ndio mdini no 1. Unachojidai kukikemea ndio kinachokusumbua.

Sent from my D5503 using Tapatalk 2
 
Mkuu Hute hata mimi nilimsikiliza nikashangaa sana,et kwanini U.S.A haikuingilia Gaza ilivyokuwa inapigwa mabom na Israel anawaingilia IS kwa kuwaua Wakristo,point ya America ni kuyalinda makundi madogo madogo ikiwapo hao Wakristo,amefunga macho kuona kwamba Gaza ilikuwa ni piga nikupige wakati Iraq ni watu wanafanya mauaji dhidi ya jamii dhaifu isiyoweza kujilinda,sitaki kuamini kwamba ni imani yake iliyomfanya atamke hayo ila kama ni wachambuzi bbc wamtoe kwenye list yao hana anachochambua.

Unazungumziaje Mauaji yaliofanywa na Antibalaka zidi ys Waislaam kule Bangii Afrika ya kati? Amerika hakuona ile?. Acheni mihemko ya kidini angalieni mabo kwa usawa.

Sent from my D5503 using Tapatalk 2
 
Last edited by a moderator:
Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.

yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.

Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.

Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?

Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?

Ajabu aisee.

Mimi naona yuko sahihi. Kwanini Marekani hiyo hiyo haiishambulii Israel kutokana na kuua maelfu ya Wapalestina wasiokuwa na hatia katika nchi yao. Islaeri inaweza kufanya lolote katika nchi yoyote hata ikibidi kuiangamiza nchi nzima lakini hutasikia Marekani ikisema itaichukulia hatua za kijeshi. Lakini ikisikia Iraq, Afghanistani na Iran inatoka mbio kama kwa kutoa vitisho na hata kushambulia na kisha yenyewe nayo kuua raia wasiokuwa na hatia
 
Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.

yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.

Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.

Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?

Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?

Ajabu aisee.

makubwa!!! siku hizi Shia wameku wakristo?
 
Kuwa muislam kuelemika kaz saana!

We umeelimika? km unashindwa kuelewa hata masuala unayoyaona kwa macho! usichokielewa nn hapo ktk mambo aliyogusa Dr! wagalatia ubinafsi na udini unawasumbua sana sijui nan aliyewaroga
 
mwafrika yoyote anayeona marekani ni nchi yenye nia njema anajidanganya.
 
Mkuu Israel has a right to defend itself. Ninachosema mimi ni hao watoto na wanawake wanaokufa. Hizo rockets wanazidiffuse hakuna njia mbadala wanaweza kufanya kuokoa hao wananchi wanaokufa? Death toll ni kubwa sana kwa civilians. Imagine wewe ungekuwa mpalestina, ufe kwa sababu ya hamas! Kwa kweli it is very sad!!! Of course blame number one ni hamas.
aKama ungaliwasikiliza vizuri Waisrael nadhani ungebadili mtazamo wako. Nilivyowasikiliza ni kuwa Wapalestina wanafanya watoto, wanawake na raia kuwa ngao yao (Shield) katika sehemu walizoweka silaha zao. Walionyesha silaha zilizopatikana katika shule ya UN. Wapestna kama wangewapenda watoto wao wasingewaweka sehemu hatarishi. Nia ya Israel ilikuwa ni kuharibu silaha na miundo mbinu inayotumika na Hamas kuwashambulia waisrael. Kama ningalikuwa mimi nisingaliwaweka watoto katika mazingira hatarishi ili kupata huruma ya walimwengu
 
Mkuu tunachoongelea hapa ni kuwa hakuwa anajibu maswali aliyokuwa anaulizwa. Alionyesha chuki tu dhidi ya marekani.
Bashiru alikuwa anapinga tabia ya marekani kuwa na double standards na si lazima uwe na degree utambue hilo
 
Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.

yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.

Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.

Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?

Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?

Ajabu aisee.
Kwa wenzetu Waislamu hata kama mtu ni Professa udini uko palepale. Huyo Bashiru ni mdini mzuri tu. Wapo baadhi yao wanaelewa mambo lakini siyo Bashiru, ana mapenzi makubwa na dini yake mpaka imempofusha na usomi wake!
 
Mie nadhani muktadha wa maneno ya mhadhiri huyo haukuwa mbaya,kwa maana ya kuonyesha double standards za US kwenye foreign policy,lakini hili linaeleweka kwamba mataifa mengi duniani hujihusisha na maeneo yenye maslahi zaidi kwao,si marekani tu.Nadhani wa kulaumu ni UN maana huyo ndio kabeba responsibility kwa watu wote duniani,hivyo kama double standards zikionyeshwa na UN(na hilo lipo) ni lazima vichwa vituume,ila marekani kama taifa lazima liweke mbele maslahi yake,na kuyalinda,sasa huyo mtetezi wa wengineo huwa kimya kabisa kwa marekani,hapo ndio shida.Nadhani alichoharibu mwalimu Bashiru ni huo mfano wa Palestine na Iraq.Haukuwa mfano sahihi.Kule Palestine Hamas ni kundi linalotambulika kisheria,kitendo chao cha kuishambulia Israel kinabeba sura ya utaifa na hapo ndipo Israel ikajibu mapigo ili kulinda raia wake.Kwa hiyo Israel iko sahihi kujilinda isipokuwa haipo sahihi kimbinu,yaani mbinu inazotumia kivita si sahihi maana wanaua raia wasio na hatia,na marekani wako clear kabisa msimamo wao wanasema Israel ina haki kujilinda na hapo hapo wanalaumu mauaji ya raia Gaza,na wamechukua msimamo wa kidiplomasia zaidi,huku wakimjaza silaha muisrael wao na kumwambia "azitumie vizuri na sio kuua civilians,ila ajilinde".Huko Iraq,ISIS ni magaidi.Hawatambuliki kisheria.Wanashambulia raia wa Iraq yenyewe.Wanamwakilisha nani,kwa jambo gani,kwa mamlaka ipi?Hamas wanatetea Palestine dhidi ya Israel,ISIS wanatetea nini dhidi ya nini,hao minority wana threat gani kwao?hivyo kulinganisha maeneo hayo mawili si sahihi,ni conflict mbili tofauti na hivyo approach ya marekani kwa conflict hizo itakuwa tofauti pia.
 
Mgandamizo wa hisia mbaya sana aisee cheki prof alivyoteleza yan utasema kaulizwa mtoto wa drsn ya ngap cjui!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kwa maelezo ya prof ni wazi kwamba km prof angekua iraq angeshirik kwa namna moja ama nyingne kuendeleza ISIS walichokianzisha!! Prof umeonyesha udhaifu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwa kawaida Jambaz huwa ana nguvu na mbinu nyingi za kuvamia na kupora mali za watu na hata kuua! hivyo hao Marekan na Wayahud ni majambaz wakubwa dunian wa kuvamia na kupora mali za watu na kuua maelfu ya wanadam! ila mwisho wao unakuja wakumbuke enzi za Nabii Mussa kuna mfalme aliitwa Firaun huyu alikuwa na nguvu nyingi na hata uchawi mpaka akajiita mungu lkn mwisho wake mungu alimdhalilisha mbele ya hao aliokuwa akiwanyanyasa!

watu wengi wanamwaga povu tu humu ndani hawafuatilii news za dunia including huyo mhadhiri Bashiru Ally, Iraq imekuwa inaomba msaada wa kijeshi kutoka marekani kuwasambaratisha hao ISIS sasa km iraq yenyewe inaombamsaada wewe ----- wa mlimani unalalamika nini? Africa na waraabu tumelaaniwa sijui? huko Jamhuri ya Afrika ya kati mijitu inauana kisa udini, maarabu yanauana yenyewe kwa yenyewe kila kukicha, sasa mnataka kila sehemu ya Dunia marekani apeleke majeshi, mkiambiwa dunia nzima muoane wanaume kwa wanaume mnaanza kulalama. WAAFRIKA TUJIKOMBOE KIFIKRA elimu haitoshi kwaani wasomi wanaprove kushindwa.
 
Kwahiyo jibu liko wazi awaendi kwasababu ni against Humanity wanakwenda kwasababu wana interest zao pale.Though wote tunajua mauaji na ugaidi vyote avifai kwa mtu yoyote.

ndugu huwezi kusema kuwa hawaendi Iraq sababu ya Humanity ila interest, kumbuka kuwa wao ndo wako guilty kwa kuiacha Iraq ikiwa na power vacuum ambayo ndo imezaa hii tafrani na kuhatarisha interest zao so ni kweli wanadefend interest zao lakini at the same tym lazima wadefend na humanity sababu kuna watu wanakuwa "Mark Spot" ya shabaha za hawa ISIS pale ambapo inaonekana kuwa wanaitikadi tofauti na wao.

in short huwezi sema wanaenda tu kulinda drilling rights zao pale na visima vyao vya mafuta huku wakiangalia pembeni yao watu wanauliwa, it is not possible ila wanaenda kusahihisha na kuweka sawa mambo ambayo waliyadhania hatatatokea na yametokea.
 
Amini usiamini, makanisa yameua nchi hii kwa kutuletea Division one za kanisa ambazo zimewafanya weneyenazo kutotumia akili kabisaaaa! Sasa kama ww unamtetea Israel na mwenzako anawatetea hao "waislam" wa iraq, then tofauti zenu nyie nini?
Na ubalozi Israel ccm imefungua, so na uteuzi huu ngoma droo?
 
Back
Top Bottom