Mhadhiri wa UDSM Bashiru Ally na BBC

Mhadhiri wa UDSM Bashiru Ally na BBC

Marekani imesaidia Nigeria kwa kutoa Drones na intelligence information ila zaidi kwa Nigeria British ndo amekuwa involved sana, kwa Central Africa Republic sio kwamba anashindwa kwenda ila hii nchi ni sehemu ya Francophonia (France influenced country) ikimaanisha Ufaransa ndo ina interest zaidi katika Central Africa so France is responsible and not him (USA) ndo maana hata akwenda Mali wakti inayumbishwa na wale waasi wa kaskazini ila mFransa ndo alienda huko na yuko Central Africa.

Turudi kwenye Iraq, jamaa anaenda huko sababu kuu naweza kusema mbili:

1. Aliwahi kutoa majeshi mapema Iraq au kwa lugha nyingine aliyatoa majeshi kisiasa na utakubaliana na mm kuwa wakati wa kampeni za uchaguzi wa Marekani, Barack Obama (Democrat) kati ya ahadi zake nyingi aliahidi kutoa majeshi ya Marekani huko Iraq na Afghanistan akiingia madarakani na ukiangalia batch ya mwisho aliiondoka nadhani at the end of 2013. Lakini bila kuwa na uhakika au maandalizi ya kutosha ya kukabidhi nchi kwa wazawa Marekani ilitoa majeshi yake yote Iraq huku Jeshi la wazalendo likiwa halijaandaliwa vya kutosha kukabiliana na hali halisi ya chokochoko kubwa ikiwa ni pamoja na kuzuka na mgawanyo wa makundi ndani ya nchi. Hatua hii ya kutoa majeshi bila ya kuandaa taasisi imara za usalama ilipingwa vikali na Umoja wa Mataifa na nchi kama Urusi na Uchina sababu eneo hilo sio tulivu na ni kama wanaacha power vacuum ambayo itasababisha fujo na power struggle na kumbuka Iraq ni nchi iliyo meguka kwa misingi ya "imani ndani ya imani moja" na imani tofauti (Shia, Sunni, Kurdi na kiwango kidogo Wakristo). so anachofanya saizi ni kucorrect error yake na nakwambia kama akiingia saizi anaweza asitoke au achelewe kutoka na kukaa kwa muda kidogo ili kuimarisha serikali ya Iraq.
2. Pia tunaweza kuona uwepo wa kuhatarishwa kwa interest zake za kiuchumi na kiusalama hasa kwa makampuni yake yanayo chimba mafuta katika Ghuba (nchi kama Kuwait, Qatar, Jordan na Bahrain) na supply chain yake ya mafuta ikiwa waasi hawa watapata nguvu zaidi na kusogea kusini zaidi na tayari nchi kama Saudia zimeanza kuona Marekani sio tena rafiki wa karibu kwani kwanza waliomba adeal na Iran aka back out kwa kisingizio cha kutumia Diplomacy na wakamwambia aishuhurikie Syria akaishia kutoa vitisho tu! So jamaa anataka kuhakikisha kwao (Allies) kwamba he is still capable of handling the middle east without hesitation and doubts kwao.

Na kwa upande wa Israel na Palestina ni kwamba hawa majamaa (Israel) kitendo wanachofanya ni cha kinyama ambacho pia marekani inahofia kukikemea ikiogopa diplomatic melt down na Tel Aviv sababu ujuwe kuwa Marekani hasa kuanzia muuongo uliopita inatumia zaidi majasusi wa Israel (Mossad) katika pande nyingi za dunia ambazo hawana watu wao kwani it is said Israel has a well organised spy network perhaps more than the US with more military technique requiring little cost but very efficient kwa hapa hasa saizi ambapo Amerika inadeal sana na Iran haitaki kuharibu hii relation alafu kumbuka kuwa kuna Iranian best nuclear scientist walilipuliwa Tehran wakalaumiwa wayahudi so they know that its inhuman for Israel to do so (Bomb Palestine) but they lack enough leverage to call Israel out of it...na hata mm nasema ni against humanity na brutality against very nature of human beings.

Umemaliza mchezo
 
ukiwa mdini kumbe unakuwa mpofu. Kifo ni kifo tu kwa muslim au yahudi. marekani waache upendeleo waende kule kivu. mogadishu.afrika ya kati na gaza. Tujue kweli wao ni waungwana. Usa ni wapiga dili tu kama wengine

Tatizo hapa sio dini, huwezi kutumia aproach moja ku solve situation 2 tofauti. Kwa uelewa wako mdogo je hali ilivyo mogadishu ndio jinsi ilivyo kwa wale wakristo qom na miji mingine?
 
Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?
Nimesikia mjadala mmoja leo ukihusu zaidi 'authority' ya information za google na Wikipedia katika marejeo ya masomo na imenifurahisha sana. Wanasema tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya formal na informal education imepunguzwa kwa kiasi kikubwa sana na maendeleo ya teknolojia hasa katika IT.
Wanasema wakati vyuo vingi vikiwa bado na syllabus zao za miaka hiyo mitandao inabadilika kila kukicha na kuwafanya watu wasio na syllabus hata kujua vitu vingi zaidi ya ilivyotarajiwa.
Mh. Prof hapa aangalie asije akawa victim wa syllabus/formal education.

Tatizo hapa sio dini, huwezi kutumia aproach moja ku solve situation 2 tofauti. Kwa uelewa wako mdogo je hali ilivyo mogadishu ndio jinsi ilivyo kwa wale wakristo qom na miji mingine?

Tuachane na wasomi wa aina hii.Tuipongeze Amerika kwa kuthubutu.Wakristo wanachinjwa kwa sababu moja tu. Ni wakristo.hakuna sababu ya kuonyesha umahiri wa nadharia nyingi.kinachohitajika ni msaada wa haraka na wenye uwezo wa kuondoa udhalimu huu.nchi nyingine ziungane na Amerika na ziache porojo
 
waislamu wanakufa kwa sababu tu ni waislamu.
 
Tatizo hapa sio dini, huwezi kutumia aproach moja ku solve situation 2 tofauti. Kwa uelewa wako mdogo je hali ilivyo mogadishu ndio jinsi ilivyo kwa wale wakristo qom na miji mingine?

upofu wa fikra ni kitu kibaya sana. Huyu u.s.a.kama kweli mtetezi kwa nini aendi kwingine ?
 
pumbavu kabisa hawa waamerica watawafanya kitu mbaya acheni ushabiki wakijinga akifa mkristo kelele nyingi akifa mwislam mnashangilia

Kwa hivyo wewe unataka hawa wakristo wachinjwe.sidhani.waislamu wanatetewa pote ni ugumu wa hali halisi tu.Wafaransa wapo C A R.Amerika inatafuta amani Gaza.Juhudi nyingi zipo somalia, kwa bokoharamu nk
 
upofu wa fikra ni kitu kibaya sana. Huyu u.s.a.kama kweli mtetezi kwa nini aendi kwingine ?

Tatizo wewe udini umekujaa hadi umejitia upofu, nimekuuliza swali dogo tu je hali ilivyo Mogadishu ni sawa na Qom? Yani kilaza wewe umeshindwa hata kujua Mogadishu ni civil war wakati qom target ni kundi ambalo halina silaha, halina ulinzi, wanauliwa kisa tu wao ni wakristo sio wameiba ardhi, wazinzi, wamepora mali etc.
 
Ingemsikiliza kwa makini

Kinachowasukuma ni chuki

Prof kasema kuingia kwa marekani irak italeta suluhisho la kudumu lamani ???

Swala la dini yake limeingiaje hapaa
Chukizenu juuu ya uisilamu ndizo zinazowasukuma kutukana
 
kwa hivyo huyu prof anashauri tusubiri lipatikane suluhisho la kudumu wakati wakristo wanachinjwa?
 
Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.

yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.

Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.

UHivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?

Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?

Ajabu aisee.
Aibu sana kwa mtu msomi kushindwa kujizuia shame on you Bashiru!!"
 
Kwa hivyo wewe unataka hawa wakristo wachinjwe.sidhani.waislamu wanatetewa pote ni ugumu wa hali halisi tu.Wafaransa wapo C A R.Amerika inatafuta amani Gaza.Juhudi nyingi zipo somalia, kwa bokoharamu nk
Huwezi kujua mambo haya kwa kutumia akili na usomi wa Division one za Kanisa. Hata haujawahi kujiuliza kama bokoharam wana kiwanda cha silaha au laa, na wanapata wapi basi hizo silaha! Vita ya syria haijakusaidia kuelewa global politics, simply ni kuwa mna elimu ya Division one za kanisa.
 
Tatizo wewe udini umekujaa hadi umejitia upofu, nimekuuliza swali dogo tu je hali ilivyo Mogadishu ni sawa na Qom? Yani kilaza wewe umeshindwa hata kujua Mogadishu ni civil war wakati qom target ni kundi ambalo halina silaha, halina ulinzi, wanauliwa kisa tu wao ni wakristo sio wameiba ardhi, wazinzi, wamepora mali etc.

kumbe waamerika wameenda kupigana afganstan kisa ni waafganstan hawana silaha za kuwapiga taleban. Kwanini waamerica wanachagua watu wa kuwatete ? Nieleweshe. Hao u.s.a wanapiga dili huko. huo utetezi ni geresha yao tu kwani palestina. Somalia uganda kongo na afrika yakati hakuna wakristo kwa nini iwe iraq tu na isiwe kule kwa boko haramu
 
Kwa hiyo wewe mwenye division unayotaka unaunga mkono wakristo wachinjwe?
 
Mbona muhadhiri nimempenda buree kajibu hoja vizuri sana shauri yenu msiyependezwa na maelezo yke
 
Back
Top Bottom