Vegetarian
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 657
- 515
Uko sahihi kiongozi,wasomi wengi wa Bongo wanatumia hisia zaidi badala ya ukwel wa mambo.
Watanzania tunasaidi amani DRC.je utalaumu kwa nini hatuendi somalia pia.
mie sipo huko ulipo wewe
Mbona muhadhiri nimempenda buree kajibu hoja vizuri sana shauri yenu msiyependezwa na maelezo yke
kwani sisi ni polic wa dunia ?.waamerica wanajiita police wa dunia au wewe ujui ?. Sasa inakuwaje polic akiona msokoto wa bangi anakamata akiona fisadi anamwachia hapo kuna walakini.
Tabu ni pale unapopinga udini kwa udini!wakoloni nuksi kweli wamewafanya watu weusi wazione hizi dini ni zao hadi wanatukanana,chukiana na hata kuuana wakat wenyewe wanapiga hela kwa ujinga wetu
Sawa.unga mkono juhudi za kuwasaidia.usiweke mawingu
Wewe ndio nashangaa umakini wako wakati Israel inakwangua pale gaza na kulipua mabomu hovyo kule gaza hukushangaa hata siku mmoja marekani imeshindwa kulaani achilia mbali kuwasupport wapalestina? Nani mdini kati yako na Bashiru?????
kumbe waamerika wameenda kupigana afganstan kisa ni waafganstan hawana silaha za kuwapiga taleban. Kwanini waamerica wanachagua watu wa kuwatete ? Nieleweshe. Hao u.s.a wanapiga dili huko. huo utetezi ni geresha yao tu kwani palestina. Somalia uganda kongo na afrika yakati hakuna wakristo kwa nini iwe iraq tu na isiwe kule kwa boko haramu
Marekani imesaidia Nigeria kwa kutoa Drones na intelligence information ila zaidi kwa Nigeria British ndo amekuwa involved sana, kwa Central Africa Republic sio kwamba anashindwa kwenda ila hii nchi ni sehemu ya Francophonia (France influenced country) ikimaanisha Ufaransa ndo ina interest zaidi katika Central Africa so France is responsible and not him (USA) ndo maana hata akwenda Mali wakti inayumbishwa na wale waasi wa kaskazini ila mFransa ndo alienda huko na yuko Central Africa.
Turudi kwenye Iraq, jamaa anaenda huko sababu kuu naweza kusema mbili:
1. Aliwahi kutoa majeshi mapema Iraq au kwa lugha nyingine aliyatoa majeshi kisiasa na utakubaliana na mm kuwa wakati wa kampeni za uchaguzi wa Marekani, Barack Obama (Democrat) kati ya ahadi zake nyingi aliahidi kutoa majeshi ya Marekani huko Iraq na Afghanistan akiingia madarakani na ukiangalia batch ya mwisho aliiondoka nadhani at the end of 2013. Lakini bila kuwa na uhakika au maandalizi ya kutosha ya kukabidhi nchi kwa wazawa Marekani ilitoa majeshi yake yote Iraq huku Jeshi la wazalendo likiwa halijaandaliwa vya kutosha kukabiliana na hali halisi ya chokochoko kubwa ikiwa ni pamoja na kuzuka na mgawanyo wa makundi ndani ya nchi. Hatua hii ya kutoa majeshi bila ya kuandaa taasisi imara za usalama ilipingwa vikali na Umoja wa Mataifa na nchi kama Urusi na Uchina sababu eneo hilo sio tulivu na ni kama wanaacha power vacuum ambayo itasababisha fujo na power struggle na kumbuka Iraq ni nchi iliyo meguka kwa misingi ya "imani ndani ya imani moja" na imani tofauti (Shia, Sunni, Kurdi na kiwango kidogo Wakristo). so anachofanya saizi ni kucorrect error yake na nakwambia kama akiingia saizi anaweza asitoke au achelewe kutoka na kukaa kwa muda kidogo ili kuimarisha serikali ya Iraq.
2. Pia tunaweza kuona uwepo wa kuhatarishwa kwa interest zake za kiuchumi na kiusalama hasa kwa makampuni yake yanayo chimba mafuta katika Ghuba (nchi kama Kuwait, Qatar, Jordan na Bahrain) na supply chain yake ya mafuta ikiwa waasi hawa watapata nguvu zaidi na kusogea kusini zaidi na tayari nchi kama Saudia zimeanza kuona Marekani sio tena rafiki wa karibu kwani kwanza waliomba adeal na Iran aka back out kwa kisingizio cha kutumia Diplomacy na wakamwambia aishuhurikie Syria akaishia kutoa vitisho tu! So jamaa anataka kuhakikisha kwao (Allies) kwamba he is still capable of handling the middle east without hesitation and doubts kwao.
Na kwa upande wa Israel na Palestina ni kwamba hawa majamaa (Israel) kitendo wanachofanya ni cha kinyama ambacho pia marekani inahofia kukikemea ikiogopa diplomatic melt down na Tel Aviv sababu ujuwe kuwa Marekani hasa kuanzia muuongo uliopita inatumia zaidi majasusi wa Israel (Mossad) katika pande nyingi za dunia ambazo hawana watu wao kwani it is said Israel has a well organised spy network perhaps more than the US with more military technique requiring little cost but very efficient kwa hapa hasa saizi ambapo Amerika inadeal sana na Iran haitaki kuharibu hii relation alafu kumbuka kuwa kuna Iranian best nuclear scientist walilipuliwa Tehran wakalaumiwa wayahudi so they know that its inhuman for Israel to do so (Bomb Palestine) but they lack enough leverage to call Israel out of it...na hata mm nasema ni against humanity na brutality against very nature of human beings.
sema upeo wako umeishia hapoSiwezi kuendelea kubishana na mtu kama wew ambaye hata hujui unasimamia nini! Kuna mdau huko nyuma kaeleza situation zote za maeneo mengine kama yale mfaransa aliyoingilia mf. CAR. Mogadishu kuna kundi la watu wamekaa kwa amani then watu wenye silaha wanaenda kuwaua?
Historia inaonesha yale yale ya Kosovo, sasa NATO wanafanya kwa ISIS Iraq , swali kuu kwa wana JF ,je ni halali Marekani na NATO kuwashambulia ISIS Iraq baada ya kujifunza kupitia historia ya NATO na 'utatuzi' wa migogoro ya kivita au uonevu wa 'wanyonge'? na usome na kutafakari maneno yaliyo ktk mabano ''.... ''
Ndugu zangu, hebu tujaribu kubadilika kidogo. Nadhani kuna tatizo kubwa sana nchini.namwangalia bashiru alli sasaivi mhadhiri wa udsm akihojiwa na kassim kaira wa bbc kutoa maoni yake kuhusu marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji. yeye bashiru amepiga hatua hiyo ya marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu iraq...anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani. hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na phd kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika? unajua hata hapa tz kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam iraq? ajabu aisee.
Ndugu zangu, hebu tujaribu kubadilika kidogo. Nadhani kuna tatizo kubwa sana nchini.
1. Kushindwa kuelewa maana
2. Kushindwa katika muktadha ulikosudiwa
3. Kuangalia mambo kwa kicho la dini. Gonjwa baya sana hili.
Mleta mada kaangalia mahojiano na kuona mambo mawili, ukristo na Uislam. Kakokotoa maneno yake na kuondoa mada halisi iliyojadiliwa. Huu ni ugonjwa mbaya sana wa kushindwa kufanya analysis ya mambo kama watu huru.
Niseme hizi dini zinazidi kupumbaza watu badala ya kuwajenga. Niwieni radhi mtakaokereka na mtazamo huo.
Siasa za mashariki ya kati haziangaliwi kwa jicho jepesi. Kwa maoni yangu, alichopinga Bushiri Ali ni kitendo cha Marekani kuwatumia Yazidu kuficha matatizo waliyosababisha siku za nyuma.
ISIS wanaelekea Baghdad, kuna shinikizo ndani ya Marekani kuwa Trillion 2 na askari 5,000 wamepotea kwa jambo lisiloonekana kuwa na manufaa. Walichokitaka Wamarekani ni udhibiti wa Iraq kwa sababu mbili, mafuta na kulinda mshirika wao aliyetishiwa na Saddam, Israel.
Walichokitaka ni kuhakikisha hakuna mbabe mashariki ya kati atakayetishia nchi rafiki kama Saudia na UAE.
Ndilo lengo la kumuondoa Saddam. Sasa ISIS wanaporudi na kutangaza utawala wao, kwa Marekani ni sawa na kuruka hoja majivu ukanyage Moto.
Lakini, kuna challenge pia. Kurudi kwao Iraq kutawalizimu wainge maeneo kama Syria Pia. Obama anataka nchi imalize vita eneo hilo, hivyo lazima atafute sababu za kurudi Iraq ili kulinda masilahi yaliyowapeleka kwa mara ya kwanza.
Njia rahisi ni kuwatumia Yazidu ambao sehemu kubwa ni Wakristo. Hawa wame survive genocide zaidi ya 72 wakati Marekani haikuwepo. Ni kwa kuwatumia, Marekani ikaingia na misaada halafu jana wakashusha kipigo kwa ISIS waliokuwa wanaelekea Baghdad. Ni kutafuta sababu tu za kuwaadhibu ISIS.
Marekani inaelewa kuwa kuacha ISIS itwae Iraq ni kuruhusu Syria ianguke na nchi za mashariki ya kati. Kutakuwa na kibarua kigumu sana cha ku-dela na ISIS ambao wamejinasibu wanataka dola moja mashariki ya kati.
Si kweli kuwa Marekani imekwenda kwasababu ya Wakristo. Laiti ingekuwa hivyo, tungewaona Darful na kwingineko.
Kuna interest zao ambazo usipiziangalia kwa jicho zuri, unaishia katika Uislama na Ukristo.
Hivyo Bushiri alikuwa anatoa analysis kwa maana ya kupinga ulaghai ni sukupinga wale watu ksaidiwa.
Sidhani kama Bushiri haelewi Bosnia Herzegovina nchi za magahribi zikiongozwa na Maekani zilifanya nini.
Hivyo, ningeomba watu wafungue akili zao na kuyaangalia mambo kwa mtazamo mpana, kuziangalia hoja kama zilivyo na si kwa jicho la ukirsto na Uisalam.Ugonjwa huu unaliumiza taifa sana.
Najiuliza angesema Bensona wa UDSM au John wa Mzumbe Unv, leo mleta mada angekuwa na hoja gani.
Nashangaa uzi unaendelea tu kukiwa na habari mstari mmoja bila kufikiria dhana halisi ya mzungumzaji.
Au habari hiyo ingesemwa na Prof Chembelecho tusiyejua ana dini gani, mleta mada angesema nini.
Unapomuangalia mzungumzaji kwa jina na si kwa wasifu au sifa zake, unajinyima nafasi ya kufikiri na kutojitendea haki.
Huu ugonjwa kuangalia majina ni mbaya sana, unapumbaza taifa unawaumbaza vijana. Leo mtu akiteuliwa, hakuna anayeangalia sifa, jicho ni jina na imani yake. Hatuwezi kujenga taifa tukiwa na kundi lisiloweza kuchambua mambo, lisilokubali au kupinga hoja kwa hoja.
Mada nzima haizungumziwi kwa kwa kuunga mkono au kupinga hoja, ni udini tu. Elim yetu ina matatizo lakini hizi dini nazo zinasehemu yake katika kupumbaza watu
Wewe ndiyo mdini mkubwa jibu swali la Bashiru kwa nini Marekani aendi sehemu zingine kama Gaza kuwasaidia watu wanaouliwa kwa ni hiyo Iraq na Libya?Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.
yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.
Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.
Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?
Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?
Ajabu aisee.
Ndugu zangu, hebu tujaribu kubadilika kidogo. Nadhani kuna tatizo kubwa sana nchini.
1. Kushindwa kuelewa maana
2. Kushindwa katika muktadha ulikosudiwa
3. Kuangalia mambo kwa kicho la dini. Gonjwa baya sana hili.
Mleta mada kaangalia mahojiano na kuona mambo mawili, ukristo na Uislam. Kakokotoa maneno yake na kuondoa mada halisi iliyojadiliwa. Huu ni ugonjwa mbaya sana wa kushindwa kufanya analysis ya mambo kama watu huru.
Niseme hizi dini zinazidi kupumbaza watu badala ya kuwajenga. Niwieni radhi mtakaokereka na mtazamo huo.
Siasa za mashariki ya kati haziangaliwi kwa jicho jepesi. Kwa maoni yangu, alichopinga Bushiri Ali ni kitendo cha Marekani kuwatumia Yazidu kuficha matatizo waliyosababisha siku za nyuma.
ISIS wanaelekea Baghdad, kuna shinikizo ndani ya Marekani kuwa Trillion 2 na askari 5,000 wamepotea kwa jambo lisiloonekana kuwa na manufaa. Walichokitaka Wamarekani ni udhibiti wa Iraq kwa sababu mbili, mafuta na kulinda mshirika wao aliyetishiwa na Saddam, Israel.
Walichokitaka ni kuhakikisha hakuna mbabe mashariki ya kati atakayetishia nchi rafiki kama Saudia na UAE.
Ndilo lengo la kumuondoa Saddam. Sasa ISIS wanaporudi na kutangaza utawala wao, kwa Marekani ni sawa na kuruka hoja majivu ukanyage Moto.
Lakini, kuna challenge pia. Kurudi kwao Iraq kutawalizimu wainge maeneo kama Syria Pia. Obama anataka nchi imalize vita eneo hilo, hivyo lazima atafute sababu za kurudi Iraq ili kulinda masilahi yaliyowapeleka kwa mara ya kwanza.
Njia rahisi ni kuwatumia Yazidu ambao sehemu kubwa ni Wakristo. Hawa wame survive genocide zaidi ya 72 wakati Marekani haikuwepo. Ni kwa kuwatumia, Marekani ikaingia na misaada halafu jana wakashusha kipigo kwa ISIS waliokuwa wanaelekea Baghdad. Ni kutafuta sababu tu za kuwaadhibu ISIS.
Marekani inaelewa kuwa kuacha ISIS itwae Iraq ni kuruhusu Syria ianguke na nchi za mashariki ya kati. Kutakuwa na kibarua kigumu sana cha ku-dela na ISIS ambao wamejinasibu wanataka dola moja mashariki ya kati.
Si kweli kuwa Marekani imekwenda kwasababu ya Wakristo. Laiti ingekuwa hivyo, tungewaona Darful na kwingineko.
Kuna interest zao ambazo usipiziangalia kwa jicho zuri, unaishia katika Uislama na Ukristo.
Hivyo Bushiri alikuwa anatoa analysis kwa maana ya kupinga ulaghai ni sukupinga wale watu ksaidiwa.
Sidhani kama Bushiri haelewi Bosnia Herzegovina nchi za magahribi zikiongozwa na Maekani zilifanya nini.
Hivyo, ningeomba watu wafungue akili zao na kuyaangalia mambo kwa mtazamo mpana, kuziangalia hoja kama zilivyo na si kwa jicho la ukirsto na Uisalam.Ugonjwa huu unaliumiza taifa sana.
Najiuliza angesema Bensona wa UDSM au John wa Mzumbe Unv, leo mleta mada angekuwa na hoja gani.
Nashangaa uzi unaendelea tu kukiwa na habari mstari mmoja bila kufikiria dhana halisi ya mzungumzaji.
Au habari hiyo ingesemwa na Prof Chembelecho tusiyejua ana dini gani, mleta mada angesema nini.
Unapomuangalia mzungumzaji kwa jina na si kwa wasifu au sifa zake, unajinyima nafasi ya kufikiri na kutojitendea haki.
Huu ugonjwa kuangalia majina ni mbaya sana, unapumbaza taifa unawaumbaza vijana. Leo mtu akiteuliwa, hakuna anayeangalia sifa, jicho ni jina na imani yake. Hatuwezi kujenga taifa tukiwa na kundi lisiloweza kuchambua mambo, lisilokubali au kupinga hoja kwa hoja.
Mada nzima haizungumziwi kwa kwa kuunga mkono au kupinga hoja, ni udini tu. Elim yetu ina matatizo lakini hizi dini nazo zinasehemu yake katika kupumbaza watu
namwangalia bashiru ally mhadhiri wa udsm akihojiwa na kassim kaira wa bbc kutoa maoni yake kuhusu marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam isis wa iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.
Yeye bashiru amepinga hatua hiyo ya marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu iraq.
Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.
Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na phd kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?
Unajua hata hapa tz kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam iraq?
Ajabu aisee.