Mh, WASSIRA PITIA HAPA.

anaeona kuwa taarifa hii haijamtendea haki aende kwa wakulima wa mpunga bunda akawahoji then, atuletee hapa alichokipata huko. Hapa hakuna uchochezi kama anavyodai malyenge hizi taarifa zipo na ukweli ndo huo tumuombe tu mh, Wasira awajibike kwa hilo maana watu wanataabika wana bunda wote wana taarifa na hiyo na hiyo sh, 25000 ni kweli walipewa kama kifuta jasho: BUNDA INAHITAJI MKOMBOZI WA KWELI TUUNGANE KUIOKOA BUNDA.
 
Back
Top Bottom