Mh. Steven Wassira afunika Mwanza

alikosea njia akifi,kiri kanisani ni hifadhi ya taifa, ingekuwa ruaha national park ningekuelewa mkuu, maana takwimu za taifa zinasema disign yake inakaribia kupotea nchini
 
Pesa taslim zilizopatikana ni sh 310,000,000/= , mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh 10,000,000/= Great thinkers achen kutukana pasipo sababu, ss tunaangalia kusudi la mchango ni nn' ukubali na ushawishi wa Mh. Wassira katka kufikia kiwango hicho, na si siasa uchwara kama ambavyo wapuuzi wachache wamekuwa wamefikir na kuandika humu.
 
Ahadi milioni kumi cash ndiyo ikoje?

Hahahahah.....
Kimsingi cash imepatikana 10m, na mifuko 200 ya cement.

Mategemeo yalikuwa 200m. Jamaa ameandika kinyume kwasababu nae alikuwa bado anamshangaa huyu kivutio cha taifa.
 
Huyo lazima afunike. Watu hawana hela ya kulipia zoo ili kumwangalia. Wamepata ofa ya bure.
 
Mbona thread yako inaelea?Huna ushahidi kututhibitishia lolote.Kajipange.
 

Unasena Wasira ndio amefikisha kiasi hicho?
Amefanyaje?....wamemchangia yeye, wametoa kiingilio cha kumuona kama kivutio? Amechanga yeye na marafiki zake au nini exactly kimetokea?

Yeye amechangia nini?
 

PICHA HII HAPA...


 

Picha Hii Hapa

 

hivi kumbe hata harambee za makanisa ni siasa?mi nilifikiri amefunika kwenye issue ya kuchinja wanyama
 
Unasena Wasira ndio amefikisha kiasi hicho?
Amefanyaje?....wamemchangia yeye, wametoa kiingilio cha kumuona kama kivutio? Amechanga yeye na marafiki zake au nini exactly kimetokea?

Yeye amechangia nini?
Mkuu' mh. Wassira akiwa ndie mgen rasmi'na kupewa jukumu la kuongoza harambee, kwa Neema ya Mungu ameongoza waumini wa kanisa la waadventista wasabato jimbo la nyanza kusini kufikisha kiwango hicho cha pesa na ahadi tajwa. Lengo lilikuwa kuchangisha kias cha sh m 250, lakn kimepatika kias cha sh milion 310, na ahadi ya sh milion 10. Wassira pekee katoa kias cha sh milion 9.
 
Dah! Aisee kweli binadamu wa kale kafunika ni noma m300 sio mchezo mkuu...!!
 
Hii thread inatakiwa ihamishiwe jukwaa la utani,hapa si mahala pake.
 

kakutuma nani ufungue uzi wa kishabiki kiasi hiki????
wasira kafanya kazi ya Mungu wewe uanaleta ukada hapa!!
 
nlidhani alikuwa na mkutano wa kisiasa wakakusanyika wengi na kupata wanachama wengi
kumbe ni harambee ya kanisa..
watu wengine wanakunywa kwanza chimpumu ndio wanakuja kupost mada humu.
sii bure tumeambiwa Tanzania inaongoza kwa kunywa mataputapu na mtoa mada ni mmoja wapo.
 

wewe ulichanga sh ngapi?? au ulikuwa kwenye key bord kutuletea habari?
 
hizo si ni sadaka za waumini , sasa Masatu kafunika nini ?
Masatu kasaidia kuhamasisha mkuu' make kuna watu humu ndan wanapenda kupost ilimradi wakatolik ukiwapa hata shughuli ya kuwacmamia MC wa harus hata 1milion hawafikish' so ni lazima tutambue mchango wa mhamasishaji katika hafla yoyote ile' tuache siasa' Masatu kajitahid kuhamasisha
 
Haahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!1 wacha nicheke niongeze siku zangu za kuishi
 
hongera wasabato, wakristo tukichanga hela hivyo utakujasikia siku moja kuwa tunasaidia katika MOU....inabidi izi kumbukumbu tuziweke vizuri...kwasababu kuchanga tunachagna sisi na hosptl tunatibiwa wote bila kujali dini, lakini yuleyule anayetibiwa mwingine anakuja na version kwamba wakristo wanafanikiwa kwasababu wanapendelewa katika mou, siku ile anaumwa alikuwa kimyaaa akivua suruari nesi alione t.ako achome sindano bila kujali dini yake....hahaha.
 
Naona sura lake lilivyo baya limefuka kwa kuchekesha walionuna upuuzi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…