Mh! Sijuii kuna ukweli hapa?

Mh! Sijuii kuna ukweli hapa?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
good.jpg
 
Vipi Adam na Eva, walikuwa wangapi? (coz naamin jamaa alikuwa stronger than modern expired guys (husbands) wa siku hizi)
tudhanie Mungu alikosea kumpa mke mmoja?
hebu washika dini yetu hii "tukufu" akina FaizaFoxy na MziziMkavu mtusaidie kidogo
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke mmoja akisha kuwa na wanaume 4 basi hakosi kupatwa na Maradhi ya Zinaa au ukimwi hicho kitu hakitowezekana kabisa.

Vipi Adam na Eva, walikuwa wangapi? (coz naamin jamaa alikuwa stronger than modern expired guys (husbands) wa siku hizi)
tudhanie Mungu alikosea kumpa mke mmoja?
hebu washika dini yetu hii "tukufu" akina FaizaFoxy na MziziMkavu mtusaidie kidogo

Mwenyeezi Mungu alimuumba ADam na Hawa kisha hawa wawili ndio wametuzaa sisi Binadamu wote na Wala Hakufanya makosa

Mwenyeezi Mungu kumpa Adam kuwa mke wake Hawa. Kisha Mwenyeezi Mungu ametujaalia sisi

Wanaume kuweza kumiliki na kuowa

mke zaidi ya mmoja katika dini ya Kiislam tumeruhusiwa kuowa wake 4 ikiwa una uwezo wa kufanya nao

mapenzi na kuwalisha na

kuwahudumia. Sijuwi kwa wenzaetu wakristo mu eruhusiwa wake wangapi? watakuja wenyweWakristo

kujibu hilo swali asante.
 
Mimi ni mfariji WA wajane na wale wanaotafuta wapenzi na wale walioachika.....kama Una sifa mojawapo Kati ya hizo njoo kwangu
 
siamini kama kuna ukweli, but inategemea ina argue kwenye angle ipi
 
Mimi ni mfariji WA wajane na wale wanaotafuta wapenzi na wale walioachika.....kama Una sifa mojawapo Kati ya hizo njoo kwangu

ole wao walao nyumba za wajane Elli
 
Hapo hakuna utamu wowote. Mnataka tu kumuua mwana wa watu. Mko 4 yeye mmoja. Wiki ina siku 7 mtagawianaje hiyo ratiba? Huyu wangu mmoja na sijawahi kulala bila kulipia kodi ya ugali alionipa labda kwenye hali mbaya ya siku zake na ni siku 6 kwa mwezi. Hao 4 nikikuta humo 2 wa dizaini ya huyu niliye naye, nitaenda tena kazini au kazi ni moja tu nitafanya.
Jamani, zaidi ya mmoja ni ufuska tu mnatengeneza. Watu kusaidiana tu mwisho magonjwa na mauti.
 
Back
Top Bottom