Hivi kweli, Kuna vikao vya bunge vinaendelea?

Hivi kweli, Kuna vikao vya bunge vinaendelea?

Sasa hivi wabunge si wanawakilisha chama na sio wananchi, hivyo tumeicha CCM yenyewe ndio inafuatilia ijue nini kinaendelea Bungeni.
 
Kwakuwa wewe ujapiga kura
Ndio unadhani Watanzania wote walimsikia Lissu na Chadema yao

Tanzania kubwa sana Watanzania wote sio Wajinga sio nyumbu kama nyumbu!!

kutokea fujo eneo dogo la kimara na baadhi ya mikoa sehemu chache mitaa miwili mitatu ndio mnaamini Hakukuwa na Uchaguzi sikia iyooo
 

Attachments

  • 6185098-34c7b9f4eee53e3e336141c880c2b9c1.mp4
    7.3 MB
  • 6185091-062d1531af93d2f1b8746f218a1bc157.mp4
    17.7 MB
Back
Top Bottom