Mimi na mwelewa mweshimiwa six mzee wa mapanya ya senegal. Anaakili kuliko wanaccm wengi. Ahapa six anataka watu tuchukuwe hatua tujuwe kwamba tunaibiwa mchana kweupeeee. Kablaa hatujachukuwa hatua six ni mwanasheria atupe evidence za downs ambazo serikali haitaweza kuzikanusha. Naamini six atakuwa shujaa wa kwanza kufanya jambo la kizalendo kama hili.Sitta; ok na sawa kwa unayoongea lakini tunakulaumu sana wewe. Tukikumbuka sakata la Richmond na hatimae Dowans kule bungeni wakati ukiwa spika, naweza tu kusema yafuatayo:
Tulimkaba nyoka shingoni tukakuambia "Sitta umeshika fimbo piga kichwa" ukapiga mkia, tukasema umekosea - "piga kichwa kiko huku", ukatujibu kuwa huyo si nyoka - akaachiwa!!. Sasa hivi huyo nyoka ameshafura amenyanyuka kwa hasira za kuumizwa mkia, kichwa kiko juu; Unatuambia sasa "jamani ni nyoka" nani atamshika?.
Kwa vyovyote kabla nyoka huyu hajashikwa tena na kuuawa lazima naye ataumiza (kuua) wengi. Ilianza Buguruni, sasa Arusha.
Sitta, malalamiko yako sawa lakini unapaswa kukiri hadharani kuwa ulikosea sana huko nyuma!!
Sitta tatizo huko uliko ndiyo tatizo, achana na Si Si Em.
Uko katika Kichaka cha majizi
Serikali imepoteza mwelekeo, sasa hivi everybody ni msemaji, kwani hujasikia ya yule kitanda wa Arusha?
Sisi kazi yetu ni kuwasikiliza wanavyotoa siri zao. tumekaa mkao wa kula, leo sijui nani atakuja kivingine.
Si wote wanapenda madudu ya CCM! Ndani yao pia kuna wapinzani na sita ni mmoja wao.
Sitta; ok na sawa kwa unayoongea lakini tunakulaumu sana wewe. Tukikumbuka sakata la Richmond na hatimae Dowans kule bungeni wakati ukiwa spika, naweza tu kusema yafuatayo:
Tulimkaba nyoka shingoni tukakuambia "Sitta umeshika fimbo piga kichwa" ukapiga mkia, tukasema umekosea - "piga kichwa kiko huku", ukatujibu kuwa huyo si nyoka - akaachiwa!!. Sasa hivi huyo nyoka ameshafura amenyanyuka kwa hasira za kuumizwa mkia, kichwa kiko juu; Unatuambia sasa "jamani ni nyoka" nani atamshika?.
Kwa vyovyote kabla nyoka huyu hajashikwa tena na kuuawa lazima naye ataumiza (kuua) wengi. Ilianza Buguruni, sasa Arusha.
Sitta, malalamiko yako sawa lakini unapaswa kukiri hadharani kuwa ulikosea sana huko nyuma!!
Sitta; ok na sawa kwa unayoongea lakini tunakulaumu sana wewe. Tukikumbuka sakata la Richmond na hatimae Dowans kule bungeni wakati ukiwa spika, naweza tu kusema yafuatayo:
Tulimkaba nyoka shingoni tukakuambia "Sitta umeshika fimbo piga kichwa" ukapiga mkia, tukasema umekosea - "piga kichwa kiko huku", ukatujibu kuwa huyo si nyoka - akaachiwa!!. Sasa hivi huyo nyoka ameshafura amenyanyuka kwa hasira za kuumizwa mkia, kichwa kiko juu; Unatuambia sasa "jamani ni nyoka" nani atamshika?.
Kwa vyovyote kabla nyoka huyu hajashikwa tena na kuuawa lazima naye ataumiza (kuua) wengi. Ilianza Buguruni, sasa Arusha.
Sitta, malalamiko yako sawa lakini unapaswa kukiri hadharani kuwa ulikosea sana huko nyuma!!
Tatizo 6 aliingia nusu nusu ndo maana richmond ikayeyuka. Sijui ni woga au lakini mi simpi kabisa credit coz ana mambo ya kupenda ufahari usio na maana. Kujenga ile ofisi kwake inanipa shiida sana kumwelewa.