We si umesema NMB unapata kazi bila kujuana.? Unalalamika nini sasa.? Nenda NMBMH.rais ingekuwa vyema ukalizungumzia na hili waajili wanapeana ajira kwa kujuana bila ivyo hupati ajira watu tumetuma maombi hela zetu zinateketea bure,najua ujumbe huu unausoma tunakulilia utuwekee sawa ktk uajili huku ni jipu pia,asante
mficha maradhi kifo humuumbuaWe si umesema NMB unapata kazi bila kujuana.? Unalalamika nini sasa.? Nenda NMB