dimatteo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 868
- 931
Wewe jamaa sio mwelewa kumbe,nimemaanisha pharmacist akiwa darasani ana fundisha sana on how to manufacture drug(herbal or modern medicine),yani anafundishwa kabisaaUnazungumzia sayari gani kaka. Umesoma kweli hiyo Pharmacy au unasikiliza maneno ya watu humu. Narudia tena MD anaweza kusoma kozi yoyote kuanzia Pharmacy, Nursing etc lakini hauwezi kutoka huko kuja kusoma MD.
Halafu usihamishe goal kila mtu anaweza kufanya kazi popote na ndiyo maana MD wako kwenye miradi na mashirika mengine mengi kama wataalam / maboss halafu manakuja kulia humu.
Pharmacist akiwa darasani anafundishwa kupima ubora wa dawa(quality control), na vile vile clinical pharmacy & pharmacy practice(ambayo anakuja kufanyia kazi hospital Sasa)
Unaposema mashirika,lini MD anasoma module ambayo inamfanya akafanye kazi kwenye mashirika???...kwenye mashirika kila kada ya afya anaweza fanya kutokana na uhitaji wa shirika husika....
Narudia Tena nenda kadownload kitabu kinachoeleza criterial za mwanafunzi kusoma pharmacy au MD then urudi hapa,mana naona unabisha bila sababu