Mh Rais Wetu asipochaguliwa 2020 kutuongoza,Nitaandamana

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,227
5,132
Wanajamvi bila ya kusita masema toka moyoni kwangu mimi sina chama wala sio mwana siasa
Lakini wallahy kama rais magu hajapita ktk uchaguzi wa 2020 ntaandama,potelea mbali wacha nife,jina langu na kumbukumbu itabaki kwa wana JF wenzangu‍♂️
 
Wanajamvi bila ya kusita masema toka moyoni kwangu mimi sina chama wala sio mwana siasa
Lakini wallahy kama rais magu hajapita ktk uchaguzi wa 2020 ntaandama,potelea mbali wacha nife,jina langu na kumbukumbu itabaki kwa wana JF wenzangu‍♂
Mimi asipochaguliwa tena kwa kishindo >70% ya kura zote nitatembeau uchi dar hii na nikiwa hivyo hivyo uchi siku ya jumatatu baada ya matokeo nitaenda kwenye mnara wa askari saa saba mchana na kupanda mnara wa askari na kuikalia ile ncha ya bunduki pale juu naning'inia.
 
Back
Top Bottom