Mh Rais mteule wako ameniharibia swaumu yangu leo

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Mh Rais, kwanza nina kusalimu kwa jina lipitalo majina yote hakika ili si jingine ni Jina la Baba la Mwana na la Roho Mtakatifu.

Kwetu sie Wakatoliki tunapenda salimia kwa kusema Tumsifu Yessu Kristu.

Ndugu Rais mimi ni miongoni mwa vijana ambao leo nimeungana na watanzania wote hasa niseme wengi tulio itikia wito wako wa kututaka tuingie kwenye maombi ya siku tatu kwa maana ya kuanzia leo mpaka jumapili hakika baada ya jana kuona ujumbe wako nilijiwa na roho iliyoniambia sina budi kuungana na wewe katika kuhakikisha ninaomba dhidi ya maradhi haya ya corona yasiendelee kuenea nchini mwetu.

kuusema ukweli, niliguswa sanaa na ujumbe wako wa jana na leo nikaanza kufunga ili nifunge vizur niliamua kuiweka mbali simu yangu na kuibeba Biblia muda wote na kuamua kusoma maandiko matakatifu ili niombee Taifa langu na Dunia nzima.

Nilifurai ilipofika majira ya jioni kupitia television ya TBC 1 walituunganisha na viongozi mbali mbali wa Dini na kutuonesha wakiwa nao wanasali nasi.kipindi hiki kilinitia moyo sanaa hata njaa skuweza kuiskia kamwe.

Ndugu Rais mfungo wang wa siku ya kwanza hata ilipofika saa mbili nikaangalia taarifa ya habari na kuona kuwa wagonjwa wameongezeka bado taarifa hiyo haikunikatisha tamaa nilijikuta nimenyanyuka ma kuingia chumbani kwangu na kuanza kusali.

Baadae Ndugu Rais, nipo zangu nimepumzika baada ya fungulia nikaamua kuishika simu yangu ya mkononi ghafla ninaona clip ya mteule wako kutoka mkoani Dodoma kwa maana ya mkuu wa Wilaya ya Dodoma akiwa anawapaka SENITAIZA walevi walio kusanyika Bar kibaya zaidi hata yeye ameonekana hata hajajikinga kwa kuvaa hata Mask kweli jaman ili TUKIO LIMENIKATISHA TAMAA, Yani watu wanakusanyika kipuuzi vile na mkuu wa wilaya anapita kati kati yao na wengine anakumbatiana nao kabisa?

Usku wa jana walevi kutoka bar za jijini dar baadhi yao walitandikwa bakora,leo nimeona mkuu wa mkuu wa Mbeya ameanza kuzuia mikusanyiko ya kilevi.

Hakika huyu mteule wako,ametukatisha tamaa wana wako waja wako, na hata wananchi tunao kutiii wewe kama jemedari mkuu wa nchi ili tukio sio tukio zuri kabsa.

ninatambua una wimbi la wakuu wa wilaya ambalo linatfta sifa za kugombea ubunge ila sio kwa kutafuta sifa kwa njia hizi.

Tafadhali, Mh Rais mimi na nina imani na watazania wenzangu tunao kubali kufunga kuombea taifa letu tunapo ona matukio ya namna hii kutoka kwa wateule wako yanatukatisha tamaa na tunaisi ni wewe kumbe sio ni wao.

ni mimi
kondoo niliye ndani ya zizi nichunge vyema nisitoke zizini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umerudia hujaachaga kugelezea?

Gwiji wa MAJUNGU...Jana kwa P. Mayala leo umehamia kwa DC Dodoma!!

Muhimu kwako ni kwamba leo umejitahidi kuandika, makosa yamepungua.

Rekebisha hapa .....
ili = hili
 
Mungu hadhihakiwi kaka pole kwa kusikiliza sauti ya Ibilisi halafu ukaitii. Mungu hasikilizi maombi ya watu waovu hata kama watasali uchi.Mungu amesema kama kuna jambo lolote anataka kulifanya lazima ataongea na marafiki zake MANABII hao huwa hawafichi kitu. Sasa wewe ulisikia sauti ya NABII ikikutaka ufunge na kuombea taifa ?

Sasa kama wew ulisikiliza Sauti kutoka KUZIMU ikisema jamani ombenii pole sana. Mimi hata sikujisumbua kuomba maana Biblia imesema hao manabii wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi.
Wanajifanya wamejivika MAVAZI ya mwanakondoo kumbe ndani ni MBWA MWITU wakali.

Mtawatambua kwa MATENDO yao, kama utekaji, mauaji, kupoteza watu, kulisha watu sumu, ukatili kwa raia n.k.

Aiseeee! Sitii neno

Naomba kesho nikupe lunch!
 
Gwiji wa MAJUNGU...Jana kwa P. Mayala leo umehamia kwa DC Dodoma!!

Muhimu kwako ni kwamba leo umejitahidi kuandika, makosa yamepungua.

Rekebisha hapa .....
ili = hili
ndugu yangu hiyo clip hujaiona kweli au umeamua kunisema bure mkuu wangu? hivi jina lako ni mkojo??nakojo au makojo au maniii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hadhihakiwi kaka pole kwa kusikiliza sauti ya Ibilisi halafu ukaitii. Mungu hasikilizi maombi ya watu waovu hata kama watasali uchi.Mungu amesema kama kuna jambo lolote anataka kulifanya lazima ataongea na marafiki zake MANABII hao huwa hawafichi kitu. Sasa wewe ulisikia sauti ya NABII ikikutaka ufunge na kuombea taifa ?

Sasa kama wew ulisikiliza Sauti kutoka KUZIMU ikisema jamani ombenii pole sana. Mimi hata sikujisumbua kuomba maana Biblia imesema hao manabii wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi.
Wanajifanya wamejivika MAVAZI ya mwanakondoo kumbe ndani ni MBWA MWITU wakali.

Mtawatambua kwa MATENDO yao, kama utekaji, mauaji, kupoteza watu, kulisha watu sumu, ukatili kwa raia n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu yangu nimeomba kws mengi hata yale ambayo kiongozo wa nchi hakuyasema, nimeomba dhidi ys Tundu Anti Pas lissu walio taka kumuua wafe wao, nimeomna dhidi Ben saanane popote alipo awe salama nimeomba dhidi ya azovory gwanda popote alipo Mungu ampokee. Hakika yeye ni Mungu atajibu Maombi yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom