Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

TIMING; Hapo kwenye red nimepapenda sana hii kauli uliyomtagia huyo shwetwani kijani!


shonza hatakiwi hata kujadiliwa, kale ni kapuuzi ka maisha

kukalinganisha na Lema ni kumdhalilisha Lema

cha maana ni kuweka mawazo mazuri ya Lema katika fasihi nzuri zaidi,

Please jamani, msimlete shonza kwenye hoja, kale ni kamalaya ka kisiasa, na Lema ni mpiganaji
 
Last edited by a moderator:
Ushauri mzuri sana lakini ndo umefikia kwenye sikio la kufa lisilosikia dawa!
 
HAKIKA JK AKIUFANYIA KAZI USHAURI HUU WA LEMA ATAJIACHIA HISTORIA YA HESHIMA

ila sasa "ORWITE MBWA RUBANZA ENYINDO"
 
Asante kamanda Lema na my wife wako kwa hoja njema kwa Rais na taifa kwa ujumla.Laiti wote tungekuwa tayari kusikiliza na kufuata ushauri bila ya kujali nani kautoa! Mungu awabariki.
 
Sisi wanaJf ni miungoni mwa wanaopika udini nchini, tunaongozwa na dini/imani zetu kujadili mwelekeo wa taifa letu.

Tunashindwa kuzuia mihemko ya kidini na kujikuta na sisi ni sehemu ya wasambaza sumu ya udini
 
Hakina mpangilio, km kweli ni barua inayoenda Ikulu km ni ya hapa JF sawa

hivyo asilimia kubwa ni mashemeji wa Wachaga na mimi najiuliza wanaweza vipi kufanya Siasa za Ukanda na Ukabila wakati wao wenyewe ni familia moja ? kwa mfano , Mh Mwigulu Nchemba ,Mh David Mathayo ,Mh January Makamba , Mh Benjamin Mkapa , Mh Fredrik Sumaye , Mh Theo , Mh Dr Faustin Ndungulile , Mh Prof Ibrahimu Lipumba , Pro Mahalu , Mh Dr Hamis Kigwangala , Mh John Mgufuli , Mh Sospeter Muhongo ,Mh Jaji Warioba ,Idd Simba ,Mh Salmin Amour , na wengine wengi wote hawa wameoa Kilimanjaro . Sasa unajiuliza hawa wote ni Viongozi ndani ya CCM
kulikuwa hakuna haja ya kuwataja hao wote kina January Makamba na wengineo kwani kuna uhakika gani
Hata hii utaiingiza kwenye Grammer gani? Mh Rais , “ We are pressed on every side by troubles , but not crushed and broken . We are perplexed because we don’t know why things happen as they do .

km ujumbe ni kuchinja utakuwa umefika lakini hata kwa Rais lakini Advisor wa Mbunge basi aelewe nini nini wakati wa proof reading kwani Window 2007 hata nyingine zinarekebisha hata kiswahili


Tofautisha technical writing na informal writing? Usilete mambo ya shuleni hapa! Wewe kama unajua kuandika sana grammer na tenses so what? Na kama wewe unazani u are more intelligent than Lema, embu tuambie umefanya nini katika scientific community mpaka sasa hivi?, labda unanobel prize mwenzetu? Otherwise, kafundishe watoto wavidudu kuandika critics zako!
 
Laiti kama Mhe.Rais Kikwete angepata washauri japo watano wenye fikra pevu kama Kamanda Lema bila shaka nchi ingeenda vizuri.Lakini nadhani huko wamejaa vilaza wanaotoa ushauri kwa kuangalia upepo wa kisiasa.Hongereni pia makamanda wote mlioshiriki kumjenga na kumtia moyo Kamanda Lema kwani amekuwa mzalendo kwa taifa.Tanzania imara itajengwa na wenye fikra pevu!
 
Kuboresha nini wewe nyambafu TIMING!!?, kama ungekuwa hujaelewa message sidhani kama ungetoa comment yoyote. Acha ujinga wewe muathirika wa mitaala mibovu

Mkuu nimeacha ujinga 1981... kuhusu mitaala mibovu sijawahi kusoma elimu ya msingi yenye mitaala... enzi za makweta

Kuhusu nyambaff, nadhani ni bibi yako mzaa baba, wewe ni worse than nyambaff

hata quoting unashindwa, unalink two different post ili tu upate some shitty comments. Komba Jr alikua anamjibu ng'wapalala na mimi nilikua najibu mtu mwingine, lakini sababu ya kutumia anus kufikiria basi kikapwita huko nyuma ukaamua kuunganisha ilimradi tu ujikune japo kwa chelewa au tooth pick..... Nimekujibu kwa kumheshimu tu bwanako, next time ntakudharau tu

'manina!!
 
Mungu wa mbinguni nakuomba endelea kumpigania Lema na kumpa hekima zaidi kwakua ni kazi ya mikono yako muepushe na kila hila za shetani
 
Tofautisha technical writing na informal writing? Usilete mambo ya shuleni hapa! Wewe kama unajua kuandika sana grammer na tenses so what? Na kama wewe unazani u are more intelligent than Lema, embu tuambie umefanya nini katika scientific community mpaka sasa hivi?, labda unanobel prize mwenzetu? Otherwise, kafundishe watoto wavidudu kuandika critics zako!
Povu la nini sasa unajua weka pembeni Ushabiki na mantiki ya taarifa ya kupeleka Ikulu
Tunazungumzia uandikaji wa Taarifa hata km ya vidudu Mwalimu wake ni wa Form IV sio hizi zenu za leo
kwanza hiyo scientific community sijaifanya hapa kwetu wala sikuisomea huko kwenu sijui arusha kwa sababu kuongoza Jumuia ya Wananchi haitakiwi sayansi unaweza wapeleka watu wote puta na SI SIKU ZOTE KUNA MWISHO
 
Subiri uone Magamba watakavyotoka mapovu hapa jamvini muda si mrefu.

Mkuu Crashwise ungeweka kabisa kwa sababu wengine tunatumia simu tunashindwa kufungua.

Kilewo ameiweka vizuri............ Nimeamini Kamanda Lema ni kiboko ya Kikwete.
Kumpelekea Lema kesi zamgambo ni kumdhalilisha
 
Last edited by a moderator:
mkuu Greenwhich nilikuwa kwenye maombi mara baada ya kupost tu, hata hivyo kileo kaiweka vizuri kiasi kwamba hata watumiaji wa simu wataweza nitaiweka kwenye thread mapema kesho..
 
Last edited by a moderator:
Povu la nini sasa unajua weka pembeni Ushabiki na mantiki ya taarifa ya kupeleka Ikulu
Tunazungumzia uandikaji wa Taarifa hata km ya vidudu Mwalimu wake ni wa Form IV sio hizi zenu za leo
kwanza hiyo scientific community sijaifanya hapa kwetu wala sikuisomea huko kwenu sijui arusha kwa sababu kuongoza Jumuia ya Wananchi haitakiwi sayansi unaweza wapeleka watu wote puta na SI SIKU ZOTE KUNA MWISHO

Hivi mtu kutoa maoni yako juu ya jambo flani unatakiwa uwe na PhD? Mbona maoni ya katiba mnayachukua kwa wakulima tu! Au kwasababu ni maoni ya lema! Wewe mwenyewe huwezi toa mawazo kama hayo!
 
Ritz ficha upumbavu wako..
 
Last edited by a moderator:
Hivi mtu kutoa maoni yako juu ya jambo flani unatakiwa uwe na PhD? Mbona maoni ya katiba mnayachukua kwa wakulima tu! Au kwasababu ni maoni ya lema! Wewe mwenyewe huwezi toa mawazo kama hayo!

lema huu ni waraka wake wa pili kwa kikwete kama vipi autafute uko humu JF atamjua Lema ni nani mpaka leo hawajathubutu kumjibu na ukurupukaji wa ikulu maana aliwarushia mawe ya kweli..
 
Inawezekana nikawa na matatizo ya uelewa. Binadamu tunatofautiana, Lakini naogopa sana hii kitu ya kupenga chongo na kuita kengeza.

halafu jina lalalina fanana sana na kijiji nilichokulia! vipi leo umeamua kuweka akiliyao pembeni au iko likizo..
 
Kamanda Lema, nanakupongeza kwa waraka mzuri na wenye ushauri wa kusaidia Taifa kama uliyemwandikia atatafakari na kuchukuwa hatua lakini wasiwasi wangu nikwamba hawezi kuchukuwa hatua kwani hawa jamaa wameshapigwa upofu na Mwenyenzi Mungu labda watubu kwanza ndo Mungu ataondoa huo upofu na kuwasaidia kuona yale maovu na mabaya wanayofanya.

Ninashangaa zaidi hata serikali kufikia hatua ya kuwakamata wale waliomwandikia makinda na ndugai meseji wakisema ni za matusi, si kwamba naunga mkono watu kuwatukana wenzao lakini ni vyema kuangalia ni nini kilipelekea watu hao wakapata msukumo na hasira hadi kupeleka meseji kama hizo, lazima kuna jambo ambalo watu wapenda haki wameona spika na naibu wake wanafanya ndivyo sivyo. Hata kwenye mpira wa miguu refa akichezesha mpira na kuonea timu nyingine wachezaji walioonewa huwa wanakasirika hata kutukana na kumpiga refa na si wachezaji tu hata mashabiki na si mashabiki tu hata wangine wapenda haki hukemea na kukasirika haki inapopindishwa, sasa hili ndilo alilofanya makinda na ndugai na kupelekea watanznaia kukasirika>

baadhi ya meseji zilizotumwa ni za matusi na baadhi ni za kuonya na kushauri lakini ni ajabu watu wanakamatwa, wanahojiwa na kunyimwa dhamana hili si sahihi na lisipowekwa na kumalizwa vizuri linaweza kuleta shida na machafuko na baadaye kuongeza chuki zaidi kwa serikali, makinda na ndugai (hata na visasi). Mtazamo wangu; waliyotuma meseji za matusi, kuonya au kushauri walikuwa na nia njema ya kuwataadharisha spika na naibu wake wanachokifanya kinawachukiza watanzania hivyo wasifanye tena na wasimamie bunge kwa usawa na kama kuna umuhimu wa kuwajibisha serikali basi iwajibishwe. kwa maana hiyo nashauri watu hawo wapewe tu onyo na wasichukuliwe hatua zozote za kisheria kwani kufanya hivyo kutazidi kuibua chuki na visasi kwa kuwa hawa waliyofanya hivyo wana ndugu jamaa na marafiki ambao wanaweza kulipiza visasi wakati jamaa zao wananyanyaswa. Nashauri tena serikali ya ccm iwaachie watanzania wafanye maamuzi yao kwani watanzania wengi wamejua haki zao, nilishawahi kusema na narudia tena; maji hayapandi kilimani na ngombe halazimishwi kunywa maji, Mungu saidia Tanzania ipate uhuru. AMEN.
 
Back
Top Bottom