Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

mimi ni mkristu, nimekula vilivyochinjwa na waislam kwa muda wote wa maisha yangu.

ninahitaji viongozi wangu wa dini wanipe elimu juu ya jambo hili kimaandiko sio kusema tu haifai kula ili nilidhike kuwa kweli kuchinjiwa na muislam ni kosa la kiblilia.
 
Mkuu,
Sijaelewa hata anachotaka kukisema ni nini achalia mbali mapendekezo yake kwa Rais. Labda uwezo wangu wa uelewa ni mdogo.

Hivi unafikiri kama waraka ungetoka kwa Mh. Mnyika au Mh. Lissu ungekuwa uko kwa aina hiyo. I doubt it.

This is the best we have.

Kama umesoma na hujapata maudhui ya waraka, ni wazi kuwa una matatizo ya uelewa!
 
Thanks Lema, nadhani mh. rais ameshauona mtikisiko huu, tunamuomba autafutie ufumbuzi kwa faida ya watanzania wote, kushabikia udini na ukabila ni sawa kabisa na kushabikia kifo.
 
Tatizo la JK na timu yake hawashauriki hata kidogo, sasa hivi anafanya utalii wake huko Addis hata ukimuuliza yanayojiri hapa nchini sidhani kama atakuwa na jibu la maana zaidi ya kujichekesha.
 
Unafikiri Zitto alitakiwa kufanya hivi badala ya kuwalaumu wana JF kujadili!!!!!

japo kila mtu ana maoni yake zzk hakutakiwa kutulaum jf kwa kutoa maoni,Lema wewe ni hazina ya nchi hii ila huyu fast jet wa magogoni sijui kama atasoma huu waraka wenye tiba ya udini
 
Ukweli ukisimamiwa sote tutakuwa huru na salama.Pongezi nyingi kwako Mh.Lema kwa kusimamia ukweli. Kamwe tusiruhusu siasa chafu kuleta maafa. Kumbukeni vita vya dayosisi huko Meru vilisababishwa na siasa na waliuana ni ndugu.
 
atafute editors wawe wanamsaidia kuweka hoja zake nzuri vizuri zaidi

Dah! ina maana hujauelewa huu waraka!!? sasa sijui tukusaidie vipi ndugu yetu. au wewe ni miongoni mwa wale >60% nini?
 
Muhimu kwako ni mpangilio wa hoja? Au hoja yenyewe?
Pungua chuki na lema.

kila kitu wewe mpumbavu, sio kila anayetoa mawazo ya kuboresha ana chuki na Lema wewe

tatizo letu liko hapo, kila tunapotoa hoja ya kuboresha mnakuja kuwa wabishi na silly observations

ningekua nina chuki nisingesema aboreshe, ningesema ni waraka ----

nadhani kuna haja ya JF kupanga watu kwa uelewa na na elimu labda itapunguza kuchanganya wapuuzi kama wewe na watu wenye nia njema

nyambafff wahed
 
mkuu its gud to be critic nenda mbali zaidi kosa la lema na huo waraka nini?amemtusi mwandikiwa?au wewe ujapenda yeye kufanya hivyo?ujumbe upo kwenye signature yangu.

Mkuu,
Sijaelewa hata anachotaka kukisema ni nini achalia mbali mapendekezo yake kwa Rais. Labda uwezo wangu wa uelewa ni mdogo.

Hivi unafikiri kama waraka ungetoka kwa Mh. Mnyika au Mh. Lissu ungekuwa uko kwa aina hiyo. I doubt it.

This is the best we have.

Kwani hapo wewe hujaelewa nini, au ndo mnajifanya vichwa nazi ili kuhamisha wananchi mawazo kutoka kwenye hoja muhimu za kitaifa ili tuendelee kuongelea matatizo ya udini. Hebu rudia kuusoma taratiiiiiiiiiibu kwa kina kama usipouelewa basi sina shaka utakuwa miongoni mwa wale >60%
 
ma editors wengi leo "kanjanja" bora mtu ujifanyie yalio yako. Cha muhimu message sent...!
Hivi mtu ukiwa kwako taa ya umeme ikaungua utasubiri fundi umeme ndo'aje aweke nyingine..???

nimekusoma

sio wapuuzi wengine mabingwa wa kurukia malibolo bila kupima kina
 
Fananisha na ule upuuzi wa shonza aliouandika uone upi ni mpangalio mzuri

shonza hatakiwi hata kujadiliwa, kale ni kapuuzi ka maisha

kukalinganisha na Lema ni kumdhalilisha Lema

cha maana ni kuweka mawazo mazuri ya Lema katika fasihi nzuri zaidi,

Please jamani, msimlete shonza kwenye hoja, kale ni kamalaya ka kisiasa, na Lema ni mpiganaji
 
Back
Top Bottom