Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

Hawa ndiyo wanaSiasa wetu.

Kwani ni kiasi gani kwa Mh. Mbunge kinaweza kumgharimu kutafuta Mwanasheria na mhariri mzuri ili kuweka waraka kama huu katika misingi, taratibu, kanuni na kisheria kabla hajautoa kwenye public domain.

It's all over the place mpaka hata kusudio la waraka linapotelea hewani.

Rais Jakaya kikwete ni taasisi ambayo inaendeshwa katika taratibu, kanuni na sheria hata kama kwa mawazo yake inaiona kama ni kibosera na haifanyi kama atakavyo.

Donald Rumsfeld said, "you go to war with the army you have, not the army you might want or wish to have at a later time"

This is the best we have. Nothing we can do until 2015

Ni angalizo tu.
 
got the guy very well.
it'z a brilliant articulation!!!
 
Swala la kuchinja ni lakiimani zaid,lema umejitahidi kuumiza kichwa juu yahili kama ambavyo hua lina niumiza,mimi ni muislamu siamini kuchinjiwa na mkristo na kwa mkristo anahaki ya kuto kumuamini muislamu kwasababu imani yake inamuelekeza hivyo,kwani hizi dini zinautofoauti na nandio maana kuna biblia na msahafu,na kuna nguzo tano na amri kumi,hivi havilandani kabisa.sasa kazi kwake rais,akae chini atatue mzozo huo kwa umakini mkubwa,mbona nch nyingine hawakn ktk mzozo huu?inamaana USA na UINGEREZA na mataifa mengine wao nidini moja?mbona hawana mitafaruku hii? Na rais akumbuke kutumia ukanda na udini sio dawa ya kuinawilisha ccm,bali ni kutuingiza ktk hofu ya kuchinjana na kuuana kabisa,aangalie nigeria,namkumbuka nyerere kwa sasa aliyajua haya mpaka akasema watanzania wote niwamoja na tutumie KISWAHILI kama lugha ya Taifa ili tusije kua kama kenya,maana tumeoana makabila na dini tofauti sasa libeneke likianza asidhani kama hatuto mfuata mjengoni plz rais zima ***** ***** hizi kwani mikoa mingi sasa iko ktk sinto fahamu na sio upepo tu utapita.mungu ibariki Tanzania
BAHARIAA umenena, jambo likishatokea ni kulipatia ufumbuzi siyo kulifukia halafu lije kuwa tatizo kubwa baadae, hapa Lema ametoa suluhu ya tatizo ni viongozi wahusika kulifanyia kazi, kuendelea kuwanyima sauti wakristo juu ya haki ya kuchinja wanyama kwa imani yao ni kuwafanya wawe na kinyongo na ndugu zao waislam ambao wameishi nao kwa udugu na upendo kwa muda mrefu!
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndiyo wanaSiasa wetu.

Kwani ni kiasi gani kwa Mh. Mbunge kinaweza kumgharimu kutafuta Mwanasheria na mhariri mzuri ili kuweka waraka kama huu katika misingi, taratibu, kanuni na kisheria kabla hajautoa kwenye public domain.

It's all over the place mpaka hata kusudio la waraka linapotelea hewani.

Rais Jakaya kikwete ni taasisi ambayo inaendeshwa katika taratibu, kanuni na sheria hata kama kwa mawazo yake inaiona kama ni kibosera na haifanyi kama atakavyo.

Donald Rumsfeld said, "you go to war with the army you have, not the army you might want or wish to have at a later time"

This is the best we have. Nothing we can do until 2015

Ni angalizo tu.

mkuu its gud to be critic nenda mbali zaidi kosa la lema na huo waraka nini?amemtusi mwandikiwa?au wewe ujapenda yeye kufanya hivyo?ujumbe upo kwenye signature yangu.
 
Ng'wamapalala huu waraka unaeleweka na ni mawazo binafsi ya Mh. Lema na familia yake, siyo waraka wa chama chake, ameuandika kwa nia njema, at least you should acknowledge that! Kwa bahati mbaya kikwete ndo rais tuliyonaye kwa sasa, anapaswa kushughulikia maswala ya kitaifa kama haya, kama hawezi ajiuzuru!
 
Last edited by a moderator:
mkiusoma na mkiufanyia kazi kuna vitu ameshauli vizuri big up sana
 
Lema na crush wise ni MARAFIKI kwahiyo you can connect the dots, wako wote Arusha!

Bado dots hazi connect mkuu Curriculum Specialist, yaani mara jamaa ya kuandika waraka huo asubuhi akamtafuta mshikaji wake Crash akamwambia upeleke jamvini au Crash aliupataje na kuamua aupost humu, Je lema sio memba humu yaani bado sielewi vizuri
 
mkuu its gud to be critic nenda mbali zaidi kosa la lema na huo waraka nini?amemtusi mwandikiwa?au wewe ujapenda yeye kufanya hivyo?ujumbe upo kwenye signature yangu.

Mkuu,
Sijaelewa hata anachotaka kukisema ni nini achalia mbali mapendekezo yake kwa Rais. Labda uwezo wangu wa uelewa ni mdogo.

Hivi unafikiri kama waraka ungetoka kwa Mh. Mnyika au Mh. Lissu ungekuwa uko kwa aina hiyo. I doubt it.

This is the best we have.
 
Tatizo ni je watausoma?maana hao jamaa ni mabingwa wa kusoma vichwa vya habari tu.
 
Mkuu,
Sijaelewa hata anachotaka kukisema ni nini achalia mbali mapendekezo yake kwa Rais. Labda uwezo wangu wa uelewa ni mdogo.

Hivi unafikiri kama waraka ungetoka kwa Mh. Mnyika au Mh. Lissu ungekuwa uko kwa aina hiyo. I doubt it.

This is the best we have.

Pumba zingine bana!!!!
Haya lete na wewe wa kwako sasa tuuosome,unajifanya unajua kukosoa wakati wewe huna uwezo wa kuandika wa kwako.
 
Huu siyo waraka ila ni barua ya kirafiki.

Hii barua inahitaji uhariri.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Team yako imekuwa ikifanya sana propaganda hizi za ,Udini , Ukabila , na Ukanda usiku na mchana , lakini nimekuwa nikikerwa sana na Jinsi kabila la Wachaga linavyochukuliwa katika propaganda hizi na wanaofanya hivyo asilimia kubwa ni mashemeji wa Wachaga na mimi najiuliza wanaweza vipi kufanya Siasa za Ukanda na Ukabila wakati wao wenyewe ni familia moja ? kwa mfano , Mh Mwigulu Nchemba ,Mh David Mathayo ,Mh January Makamba , Mh Benjamin Mkapa , Mh Fredrik Sumaye , Mh Theo , Mh Dr Faustin Ndungulile , Mh Prof Ibrahimu Lipumba , Pro Mahalu , Mh Dr Hamis Kigwangala , Mh John Mgufuli , Mh Sospeter Muhongo ,Mh Jaji Warioba ,Idd Simba ,Mh Salmin Amour , na wengine wengi wote hawa wameoa Kilimanjaro . Sasa unajiuliza hawa wote ni Viongozi ndani ya CCM na wengine ndio mabingwa wa kufanya Siasa za Udini na Ukanda , je wake zao ndani ya nyumba wanajisikiaje wanapoona waume zao wanatukana kabila la ndugu zao kwa sababu ya Siasa ? hii ni hatari kubwa
Dr. Slaa yeye kakamatwa na kinanshomile............... tee! tee! teee!
 
Ng'wamapalala huu waraka unaeleweka na ni mawazo binafsi ya Mh. Lema na familia yake, siyo waraka wa chama chake, ameuandika kwa nia njema, at least you should acknowledge that! Kwa bahati mbaya kikwete ndo rais tuliyonaye kwa sasa, anapaswa kushughulikia maswala ya kitaifa kama haya, kama hawezi ajiuzuru!

Mkuu inawezekana uelewa wangu ni mdogo.

Haihitaji hata elimu kujua kama ni mawazo yake kwa sababu CHADEMA kama chama is better than this. Cha muhimu tu ni kwamba, hatuwezi tukamtenganisha Mh. Lema na ubunge ndiyo maana ni makosa au kukosa adabu kuandika jina lake bila kuweka neno MHESHIMIWA.

Labda tu unisaidie, huu waraka ulikuwa unaenda kwa Rais Kikwete kama Rais au Kama Kikwete?. Huwezi vile vile tenganisha Rais Kikwete na taasisi ya Urais.

Tukubali kutokubaliana.
 
Ng'wamapalala

You seem to have a point. Please go further advising what the writer would have done. On the other hand, you know official channels under this party and its gvt have not made it.

There are brilliant ideas out of ccm and the gvt but it's evident that they are not ready to buy them and implement for the benefit of tzns. I guess the writer has opted this way for public awareness and push for implementation. Again, the gvt has proved failure in looking for a sln, re: Wassira' s and Pinda' orders on the issue in Mwanza and Geita.

If the writer had to follow your suggested channels of MP's submssion, would jk/ccm acknowledge this?

If the answer is NO, then the writer has opted best way of doing it and the credit goes to him.
 
atafute editors wawe wanamsaidia kuweka hoja zake nzuri vizuri zaidi

ma editors wengi leo "kanjanja" bora mtu ujifanyie yalio yako. Cha muhimu message sent...!
Hivi mtu ukiwa kwako taa ya umeme ikaungua utasubiri fundi umeme ndo'aje aweke nyingine..???
 
Swala la kuchinja ni lakiimani zaid,lema umejitahidi kuumiza kichwa juu yahili kama ambavyo hua lina niumiza,mimi ni muislamu siamini kuchinjiwa na mkristo na kwa mkristo anahaki ya kuto kumuamini muislamu kwasababu imani yake inamuelekeza hivyo,kwani hizi dini zinautofoauti na nandio maana kuna biblia na msahafu,na kuna nguzo tano na amri kumi,hivi havilandani kabisa.sasa kazi kwake rais,akae chini atatue mzozo huo kwa umakini mkubwa,mbona nch nyingine hawakn ktk mzozo huu?inamaana USA na UINGEREZA na mataifa mengine wao nidini moja?mbona hawana mitafaruku hii? Na rais akumbuke kutumia ukanda na udini sio dawa ya kuinawilisha ccm,bali ni kutuingiza ktk hofu ya kuchinjana na kuuana kabisa,aangalie nigeria,namkumbuka nyerere kwa sasa aliyajua haya mpaka akasema watanzania wote niwamoja na tutumie KISWAHILI kama lugha ya Taifa ili tusije kua kama kenya,maana tumeoana makabila na dini tofauti sasa libeneke likianza asidhani kama hatuto mfuata mjengoni plz rais zima ***** ***** hizi kwani mikoa mingi sasa iko ktk sinto fahamu na sio upepo tu utapita.mungu ibariki Tanzania
Kama nimemuelewa Lema vizuri nadhani anaongelea kilekile alichokisema Zitto kwamba mgogoro huu wa udini unapikwa na wanasiasa na wala hauna mashiko ya kweli kwenye dini kwa kuwa mbona mambo ya msingi sana ya kidini kama amri kumi au nguzo tano yanapuuzwa na kuvunjwa hadharani bila kujali na wakati huohuo watu kung'ang'ania vijimambo ambavyo hata ukiambiwa uvitafute kwenye maandiko utachukua mwezi hujavipata. Kwa maneno mengine Lema anamwambia baba mwenye nyumba inayoitwa ccm anyamazishe wanae kwani wao ndio wahariri wa shida zote hizi. Kama ni ccm pekee walioko katika hilo au katika msafara wa mamba na kenge wapo tusubiri FBI wamalize kazi yao tuwe na uhakika na hilo ila hongera Lema kwa kushauri tuanze mara moja na hao akina nonino.
 
Pumba zingine bana!!!!
Haya lete na wewe wa kwako sasa tuuosome,unajifanya unajua kukosoa wakati wewe huna uwezo wa kuandika wa kwako.

Mkuu unapozijibu pumba na wewe unachokiandika lazima kitakuwa ni pumba.

Kutakuwa na maana gani hata nikileta kwa sababu kwako itakuwa ni pumba.

Nilichoandika ni pumba za mawazo yangu, achana nazo.
 
Back
Top Bottom