Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

Ni waraka mzuri ila tatizo ni raisi,je ataufanyia kazi au ataupuuzia kwa sababu za kisiasa au cheo chake?
 
Tatizo la mamlaka ni kwamba zenyewe ndiyo chanzo cha tatizo, je, are they ready to admit that they're the cause of this tatizo? hata watu wa ccm wote wanajua walichokifanya kwa faida yao, Advise: w/viti wa vyama vyote, dini zote, na wadau wakutane!
 
Nashukuru Mh. Lema, sikuuona waraka wako wakwanza ila hata mimi nabaadhi ya wenzangu awali kabisa tuliwah kujiuliza y chama tawala kinatakakuleta hofu ya udini? Tunashukuru kwa mawazo yako, cha msingi hapa ni kuweka chama pembeni tujali taifa letu tulinde amani kisha tuendelee na siasa. Wana jf sisi sote niwatz haitamsaidia yeyote iwapo kutakuwa namachafuko... Nape na Wenzio mnadhamana kubwa ya mustakabali wa taifa letu, plz dont let us fight with our relatives.
 
Unafikiri Zitto alitakiwa kufanya hivi badala ya kuwalaumu wana JF kujadili!!!!!

Tusimuhukumu zito muda wote.Alichokisema zito c kibaya yeye alicholaumu ni watu kujadili kiudini zaini na kila mtu akionekana kuegemea upande wa dini yake zaidi.tujaribu kutofautisha kidini,udini,kiudini na dini bila shaka tutamwelewa vema alichosema.Hata hivyo tumpongeze Mh G Lema kwa kile alichoelezeana ushauri wake.Amelihutubia taifa kupitia kwa Mh Raisi hivyo sote tunapaswa kufata ujumbe huu bila kujali itikadi za vyama na dini zetu.
 
BAHARIAA umenena, jambo likishatokea ni kulipatia ufumbuzi siyo kulifukia halafu lije kuwa tatizo kubwa baadae, hapa Lema ametoa suluhu ya tatizo ni viongozi wahusika kulifanyia kazi, kuendelea kuwanyima sauti wakristo juu ya haki ya kuchinja wanyama kwa imani yao ni kuwafanya wawe na kinyongo na ndugu zao waislam ambao wameishi nao kwa udugu na upendo kwa muda mrefu!
Na kwa vile amesema Lema wa CHADEMA atapuuzwa kama angesema Lameck sijuwi nani vile wa ccm ingetekelezwa moja kwa moja .Lakini kiukweli tukitoa itikadi za kivyama na dini hili ndilo linaweza kuwa suluhisho la kudumu kwa tatizo hili otherwise tutapostipone na baadae maafa zaidi yataibuka.Ndio kunawatu wamelalamikia editting sawa lakini pamoja na yoote ujumbe umetufikia na kwa MH JK pia utafika.
 
Point taken:
President ana sifa ya kuwa msikivu.Nahakika atalifanyia kazi.
 
Too much knowing lakini kupitia mawazo ya wengine..huu ni ulemavu wa akili...toa tamko lako na wewe ni mwananchi kama lema, kisha tafuta wanasheria bila kusahau na bakita ili liwe na kiswahili fasaha....nchi imeuelewa ujumbe wa lema..

"Nchi umeuelewa ujumbe wa lema". Nchi ni kina nani hao kama mimi siyo mwananchi. By the way, wewe ndiye msemaji wa hao unaowasema nchi.

Hayo ni mawazo yangu na haya niya kwako na haimaamishi kama niya wengi au wachache.
 
Tusimuhukumu zito muda wote.Alichokisema zito c kibaya yeye alicholaumu ni watu kujadili kiudini zaini na kila mtu akionekana kuegemea upande wa dini yake zaidi.tujaribu kutofautisha kidini,udini,kiudini na dini bila shaka tutamwelewa vema alichosema.Hata hivyo tumpongeze Mh G Lema kwa kile alichoelezeana ushauri wake.Amelihutubia taifa kupitia kwa Mh Raisi hivyo sote tunapaswa kufata ujumbe huu bila kujali itikadi za vyama na dini zetu.

Sijamuhukumu Zitto kwa lolote. Hata kwenye thread ya hiyo topic yake aliniquote na kujaribu kufafanua alivyomaanisha. Ila nilichokuwa namshauri au kumaanisha kwenye hii thread ni kuwa Zitto ni Kiongozi na tena ana urafiki na Rais. Kwa nini asimwandikie barua kama alivyofanya Lema au kuomba kukutana naye ana kwa ana na kumwambia au kumshauri badala ya kuishia kwenye magazeti na mitandaoni!!
 
Nashukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na upendo kwa kutujalia viongozi wasio waoga na wenye uwezo wa kusimama na kuongea bila kutetemeka.nakushukuru pia kwa kuonyesha kuwa elimu si maarifa na kutuonyesha kuwa elimu ni chombo cha kujenga confidence kwa wale wasiojiamini.Nimetafakari na kuja na jibu kweli akili ndogo inaweza ikatawala akili kuwa nikiwa na maana haya maneno aliyoandika lema zitamchukua mtu mwenye degree/ masters/phd miezi kibao kukaa chini na kuandika haya.ila ndugu yangu lema ambaye natumaini hana degree ameweza kukaaa na kuandika haya maneno mazuri na yenye suluhisho kwa jamii.Mungu akujalie ndugu Lema maisha marefu uje uone haki ikitendeka katika jamii ya watanzania.
 
huyu lema si ndio alimuita dr.batilda buriani al-qaeda kwa sababu ni muislam. Huyu ni mdini namba moja
 
Mtazamo wangu bucher nyingi zinaendeshwa na wakristo.Tukianza kugawanyika wengi wao watafungu biashara hizo na ikumbukwe kuwa hata wakiristo sio wengi watakao nunua nyama kwenye bucha zao.Kwani wengi wetu tumechanganyikana.Suala la halali food lipo kila kona ila wenzetu hawajachanganyika sana kama sisi wa tz tulivyo
 
Mh. kamanda Lema hongera sana kwa ujumbe wenye kuleta solution ktk pande mbili za kiiman.Nawe Raisi HAKIKISHA MAWAZO HAYA UNAYAFANYIA KAZI ili kunusulu machafuko ktk nchi yetu
mmechelewa udini umeitafuna nchi mwislamu atachaguliwa na waislamu na mkristo atachuguliwa na mkristo sasa ni kama Lebanon
 
Ushauri mzuri..natumaini mheshimiwa Rais atafikishiwa taarifa..
 
Umenena vyema mkuu. Pinda alikuwa hajajiandaa kutafuta suluhu kuhusu jambo hili ndo maana aliishia kujenga hoja nyepesi juu ya nani ana haki ya kuchinja. Kimsingi wote wana haki kwani dini zao ni tofauti. Well said mkuu. Big up!
Swala la kuchinja ni lakiimani zaid,lema umejitahidi kuumiza kichwa juu yahili kama ambavyo hua lina niumiza,mimi ni muislamu siamini kuchinjiwa na mkristo na kwa mkristo anahaki ya kuto kumuamini muislamu kwasababu imani yake inamuelekeza hivyo,kwani hizi dini zinautofoauti na nandio maana kuna biblia na msahafu,na kuna nguzo tano na amri kumi,hivi havilandani kabisa.sasa kazi kwake rais,akae chini atatue mzozo huo kwa umakini mkubwa,mbona nch nyingine hawakn ktk mzozo huu?inamaana USA na UINGEREZA na mataifa mengine wao nidini moja?mbona hawana mitafaruku hii? Na rais akumbuke kutumia ukanda na udini sio dawa ya kuinawilisha ccm,bali ni kutuingiza ktk hofu ya kuchinjana na kuuana kabisa,aangalie nigeria,namkumbuka nyerere kwa sasa aliyajua haya mpaka akasema watanzania wote niwamoja na tutumie KISWAHILI kama lugha ya Taifa ili tusije kua kama kenya,maana tumeoana makabila na dini tofauti sasa libeneke likianza asidhani kama hatuto mfuata mjengoni plz rais zima ***** ***** hizi kwani mikoa mingi sasa iko ktk sinto fahamu na sio upepo tu utapita.mungu ibariki Tanzania
 
Lema wape live bila kutafuna maneno, mimi napenda unavyosema ukweli. Mimi mkristo, nina waislam wengi rafiki zangu, nimeajiri waislam. Siko tayari kutengana na rafiki zangu waislam. CCM fanyeni kazi wananchi wawaone, mmeua CUF kwa udini na sasa mnataka muue CHADEMA. Kumbuka CHADEMA itabaki, watu ndiyo watauawa

Thanks Godbless Lema, May God bless Godbless Lema
 
Ritz ni wakala wa kueneza udini kwa vyama hum jamii forum
 
Back
Top Bottom