Mh.Rais Askari wanakudai posho ya chakula

Mh.Rais Askari wanakudai posho ya chakula

Egoinya

Senior Member
Joined
Jun 12, 2025
Posts
192
Reaction score
398
Wanadai hujaongeza posho yao miaka 10 sasa vilevile posho yao ya maji na umeme imegomewa wizarani. Mh.Rais mwenye nchi ni wewe malalamiko haya wameyawasilisha bungeni mara nyingi na yamepelekwa sehemu husika lkn imeshindikana.

Kila la kheri mh.Rais
 
dadeeeeeki ndio maana hasira zao wakahamishia kwa waumini wa Gwajima, wapumbavu sana hawa jamaaa, wacha tuone
Ukienda mabwalo ya Magereza, polisi hizo ndo stori zao wanalialia Wana kamsemo kao eti "NO KUONGEZA POSHO NO KUBEBWA" kuwapiga watu wanaomuomba Mungu ni kujitafutia laana ambayo utatafuta mganga wa kukutibu hutampata! Nawaonea huruma mtu unapigana nae kimwili yeye anapigana nawe kiroho hata hujishtukii!!? Kisa kulinda wahuni!? Laana inayotoka hapo sijui wapi utatambika ikutoke.
 
Nyinyi mnamdai Rais ?

Na kule kupiga wananchi na wengine kuwauwa, kumbe hamlipwi vizuri?

Na msilipwe kabisa nyie
Machoko hawajitambui mi nakaa nao kwenye mabwalo yao wanalialia tu
 
Wanadai hujaongeza posho yao miaka 10 sasa vilevile posho yao ya maji na umeme imegomewa wizarani. Mh.Rais mwenye nchi ni wewe malalamiko haya wameyawasilisha bungeni mara nyingi na yamepelekwa sehemu husika lkn imeshindikana.

Kila la kheri mh.Rais
Afande si miaka ya karibuni tu hapa mmepewa posho ya pombe.....😁
 
Wakandarasi wanadai hata hela za PforR za wafadhili anbazo zilikuwa maponyeo Kwa sasa ni issue
 
Back
Top Bottom