Hoja yako sio ya kweliYale ni maigizo tu, TRA wanachokifanya ni maelekezo / shinikizo toka juu! kila mwezi wanawekewa malengo ya makusanyo na Serikali ni wakali kweli kwa TRA wanapolegalega kukusanya ushuru.
Huko nyuma ya pazia shinikizo la kuwataka wawe 'aggressive' linatoka juu na wao wanatii, njia pekee ya kufikisha malengo ni kuwa wakali na kutoa makadirio makubwa ya kodi kwakuwa walipaji na walewale.
(japo ni kweli kuna tatizo la rushwa, ambalo sio la TRA peke yao bali ni Serikali yote)
Rais Magufuli jana amekataa kutoa maagizo hayo unayoyasema eti kutoka juu. Pamoja na kuwa TRA wanawekewa target bado jana imeonekana kuwa hata hiyo target wanayowekewa na Serikali ni ndogo sio kubwa. Wafanyabiashara wamesema fedha nyingi huishia mifukoni mwa maafisa wa TRA. Kwahiyo Serikali kuwawekea target ni muhimu ili isikose chote.Yale ni maigizo tu, TRA wanachokifanya ni maelekezo / shinikizo toka juu! kila mwezi wanawekewa malengo ya makusanyo na Serikali ni wakali kweli kwa TRA wanapolegalega kukusanya ushuru.
Huko nyuma ya pazia shinikizo la kuwataka wawe 'aggressive' linatoka juu na wao wanatii, njia pekee ya kufikisha malengo ni kuwa wakali na kutoa makadirio makubwa ya kodi kwakuwa walipaji na walewale.
(japo ni kweli kuna tatizo la rushwa, ambalo sio la TRA peke yao bali ni Serikali yote)
Na badooooo!
We jamaa hua unanifurahisha sana kwa maneno yako hahahaha eti magundu.Tamthilia za Magundu haziishi.. .. ni muendelezo tu kama Isidingo
Waajiriwa wengi wanatoka kanda ileeeee. Wangewaajiri wasukuma ili wakusanye vizuri,Yale ni maigizo tu, TRA wanachokifanya ni maelekezo / shinikizo toka juu! kila mwezi wanawekewa malengo ya makusanyo na Serikali ni wakali kweli kwa TRA wanapolegalega kukusanya ushuru.
Huko nyuma ya pazia shinikizo la kuwataka wawe 'aggressive' linatoka juu na wao wanatii, njia pekee ya kufikisha malengo ni kuwa wakali na kutoa makadirio makubwa ya kodi kwakuwa walipaji na walewale.
(japo ni kweli kuna tatizo la rushwa, ambalo sio la TRA peke yao bali ni Serikali yote)
sky kama una clip yoyote ya jana naomba unirushie pm
tupe maelezo ya Mwambe ambayo yamemkuna jiweKama ulikuwa una mfuwatilia mh Rais jana alifika mahali wakati anaongea Mwambe alipo maliza akasema. Amegunduwa kuna mnyama mkali ambaye ni TRA.
Ukweli nikwamba TRA imeumiza watu kiasi chuki iliopo kati ya TRA na wateja nikubwa kiasi cha watu hata kutaka kuuwana.
Na ukichunguza mzizi wote wa fitina upo kwenye kitengo cha Estiment watu wengi wamefunga biashara na hata kufunga akaunti kutokana na watu kupewa bils mbaya zisizo za haki na hii ni kwa sababu TRA ni mnyama mkali anauwa biashara badala yakuzikuza na kuzilinda.
Niukweli usio pingika ikiwa Rais angeunda kamati kufuwatilia nyendo za Tra na unyama tra umewafanyia watu wake nadahni 75% ya watumishi Tra wangepukutishwa nimambo yakutisha nahakuna anathubutu kusema why?
Stay tune
Kichere alijaza Wakurya kila kona, kuanzia Bukoba hadi Sumbawanga. Unafika ofisi ya TRA inakuwa kama umefika kituo cha polisi, Duu.Kama ulikuwa una mfuwatilia mh Rais jana alifika mahali wakati anaongea Mwambe alipo maliza akasema. Amegunduwa kuna mnyama mkali ambaye ni TRA.
Ukweli nikwamba TRA imeumiza watu kiasi chuki iliopo kati ya TRA na wateja nikubwa kiasi cha watu hata kutaka kuuwana.
Na ukichunguza mzizi wote wa fitina upo kwenye kitengo cha Estiment watu wengi wamefunga biashara na hata kufunga akaunti kutokana na watu kupewa bils mbaya zisizo za haki na hii ni kwa sababu TRA ni mnyama mkali anauwa biashara badala yakuzikuza na kuzilinda.
Niukweli usio pingika ikiwa Rais angeunda kamati kufuwatilia nyendo za Tra na unyama tra umewafanyia watu wake nadahni 75% ya watumishi Tra wangepukutishwa nimambo yakutisha nahakuna anathubutu kusema why?
Stay tune
Wangewaweka Watu wa kigoma, wagogo na watu wa Iringa wangetusaidia Sana, maana haya makabila yaliyopo pale TRA yana kwiba sana.TRA wachaga wamejaa unategemea rushwa itaisha?
Wangewachunguza Mali wanazomoriki kila mfanyakazi wa TRA na kulinganisha na kiwango Cha mshahara wake na mikopo aliyo nayo bank. Alafu wakishafanya ivyo tujue. Tatizo sio wafanyabihashara, tatizo lipo kwa wafanyakazi wa TRA, ni watu wa rushwa sana.Ila vijana wa tra wana utajiri wa kutisha. Huwa najiuliza wanapataje pesa?
Kile kitengo cha assesement and auditing kiende kwa hao maboss wa kijeshi, wasio na tamaa ya kupata mali za haraka harakaBila JWTZ kupewa TRA hakika tutaibiwa sana
In my opinion, this should be the first step. Tuache masihala na kupokea rushwaWangewachunguza Mali wanazomoriki kila mfanyakazi wa TRA na kulinganisha na kiwango Cha mshahara wake na mikopo aliyo nayo bank. Alafu wakishafanya ivyo tujue. Tatizo sio wafanyabihashara, tatizo lipo kwa wafanyakazi wa TRA, ni watu wa rushwa sana.
Estiment ndio mnyama mpya? Maana naona hata kwenye kamusi ya lugha yoyote bado hajaingizwa... hata ile kamusi ya watu wa botania