Kwanza nimpongeze Rais wangu Magufuli, pia nimtakie heri na fanaka ktk kuutumikia umma wa watanzania, hasa kazi nzito yakutumbuwa majipu, vipele na vijibu uchungu. Jambo kubwa kabala sijaandika kile kipo ktk kichwa cha habari ni veme niseme wengi waliofika ikulu ni sehemu ndogo ya nguvu kazi ilio jitoa kukunadi nakukupigia debe uwe rais, ukiacha kamati za juu za kitaifa na wazee walio kuona unafaa kuongoza taifa lipo kundi kubwa nyuma lililo fanya kazi nzuri kukunadi na kwaniaba yao bado napenda kusema bado tupo pamoja nawe kukunadi nakukuuza nyumba kwa nyumba kijiji kwa kijiji, wilayani, mkowani na kitaifa na kimataifa nia tunayo nguvu tunayo na uwezo tunao. Wewe ni mwana wa Africa na nyota yako itang'aa sana ndani na nje ya mipaka ya taifa hili. shime Magufuli.
Lakini leo natamani kuonge kile uwenda nakiamini nakukiita siri japo sito andika ktk lugha ya kuonekana ila msg itakuwa imewafikia wale walio dhani hujuwi au huwazi hayo mimi nayaita siri na ndio nimesema Mh Rais unasiri nzito moyoni.
Niukweli usio pingika sasa unauwona ukweli na ukweli huo unakufanya kuwa na siri nzito moyoni, maana ukikosea waweza kujikuta ktk mtego wa wale walio kuamini na kukupa jukumu lakuijenga Tanzania mpya yenye maziwa na asali. Jambo kubwa ambalo naweza kuita siri nzito moyoni ni uchafu na ufisadi ulio vuka record zote ktk serikali sasa unagunduwa hata wale unakula nao nakujadili maswala nyeti ya kitaifa wamefanya madudu, na kama amiri jeshi mkuu unao uwezo wakuwatia ndani ila usingependa kufanya hivyo unawaheshim na kuwapenda kama wa zee wako na siku zote zee hakosei kwa mila za kiafrica ama kwa hakika kichwa kinakuuma mkuu wangu. Lakini hilo halitoshi unagundua taasisi za serikali na hasa zile nyeti kuna mlundikano wa vijana wa vigogo na wanahujumu serikali kwa kutumia nafasi za wazee wao amabao walikuwa na nafasi nyeti ktk taifa hilo nalo kwa hakika lakukosesha usingizi.
Mh Dk Magufuli niseme tu tumeika hapa kwa sababu watu walijisahahu, kila mtu alio ona anawezo wakumueka ndugu na motto wake panapo cake ya taifa ili ale hata pasipo kunawa mikono alikaribishwa na akala na mikono mchafu na mbaya Zaidi ni pale alie karibishwa aliambiwa ale vile awezavyo pasipo kujuwa nini kitamtokea alimradi tu mpaka avimbiwe ndipo ajuwe kashiba. Ukweli ni kwamba umepokea serikali yenye watu ndani yake wamevimbiwa na kama unavyojuwa mh Rais mtu alie vimbiwa anajamba sana na kucheuwa kwa hiyo harufu mbaya inamduruyule alie karibu kiasi anaweza fungua madirisha na milango arufu itoke nje.
Mh Rais siri hii ya harufu mbaya ndani ya serikali yako inakutesa na inakunyima usingizi lakini mimi ninayo dawa pasipo kudhuru hao unao waheshim na kuweka hai ya uepndo na mshikamano baina yao na wewe haya yanaweza punguza mamivu ktk serikali nakuleta taifa bora lenye uchumi wa kati siku za mbeleni.
kwanza jambo lakwanza taasisi zote nyeti na zenye kuleta masilahi mapana kwa taifa staafiha watu kwa manufaa ya serikali hii ndio dawa namba moja, na hili haki itendeke anza na wakuu wa idara kwa mfano TRA, tpdc, wizara ya fedha na Bot nisehemu za kuanza napo malalamiko yatakuwepo ila we will save our nation.
pili baada ya hiyo kazi ajii ma elfu ya vijana wenye hari na nguvu yakufanya kazi kwa mfano wale mahakimu wanaosomeshwa na serikali zaid ya 500 why wasipumzishwe ukaajiri best law student wenye elimu yao kufanya kazi hii siri itakuumiza ila ulikipunguza na kuajiri itakupa kuingiza dam mpya na hawa walio vimbiwa waendelee kujamba na kucheuwa huko mtaani ila wakati huo wewe unapata good air.
Ipo shida ya uongozi taifa hili na tusijidanganye eti vijana wapo tayari kupokea kijiti ktk hali hii zipo taarifa wapo vijana wamenunulia na watu tangu zamani eti ili waje kuwa viongozi wetu lakini hawana hiyohadhi uzalendo haupo mioyoni mwao na walio waanda wanajuwa kabisa nini wanataka kutufanya siwezi taja majina ila najuwa hii mh inakuumiza sana lakini ni kweli Tiss hawajuwi vijana watiifu na wenye hari yakulitumikia taifa hili? wanajuwa na kwakuwa wanajuwa niwakati muwafaka wakuandaa vijana wazalendo toka kila kona ya taifa hili nakuwawezesha. Achana nawanafiki simamia hii sera tafuta vijana wa kweli kukusaidia kama alivyofanya Mwalim.
Mh Rais niseme taifa linakuombea sana na watu wote wenye mapenzi mema na taifa hili fanya kazi kwa nguvu zote na akili zote maana ni kweli hakuna anaye juwa ila malaika ni walinzi na watumishi wa mwanadam na bila shaka kama dunianai utaweza kuwainua wanyonge ni Zaidi sana kuwa mkuu wahao malaika kule juu. Mungu ibariki Tanzania na watu wake wote.AMEN