Mh Rais amemgundua mnyama mkali TRA

Mh Rais amemgundua mnyama mkali TRA

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,275
Reaction score
14,315
Kama ulikuwa una mfuwatilia mh Rais jana alifika mahali wakati anaongea Mwambe alipo maliza akasema. Amegunduwa kuna mnyama mkali ambaye ni TRA.
Ukweli nikwamba TRA imeumiza watu kiasi chuki iliopo kati ya TRA na wateja nikubwa kiasi cha watu hata kutaka kuuwana.

Na ukichunguza mzizi wote wa fitina upo kwenye kitengo cha Estiment watu wengi wamefunga biashara na hata kufunga akaunti kutokana na watu kupewa bils mbaya zisizo za haki na hii ni kwa sababu TRA ni mnyama mkali anauwa biashara badala yakuzikuza na kuzilinda.

Niukweli usio pingika ikiwa Rais angeunda kamati kufuwatilia nyendo za Tra na unyama tra umewafanyia watu wake nadahni 75% ya watumishi Tra wangepukutishwa nimambo yakutisha nahakuna anathubutu kusema why?
Stay tune
 
1121265
 
Yale ni maigizo tu, TRA wanachokifanya ni maelekezo / shinikizo toka juu! kila mwezi wanawekewa malengo ya makusanyo na Serikali ni wakali kweli kwa TRA wanapolegalega kukusanya ushuru.

Huko nyuma ya pazia shinikizo la kuwataka wawe 'aggressive' linatoka juu na wao wanatii, njia pekee ya kufikisha malengo ni kuwa wakali na kutoa makadirio makubwa ya kodi kwakuwa walipaji na walewale.

(japo ni kweli kuna tatizo la rushwa, ambalo sio la TRA peke yao bali ni Serikali yote)
 
yale ni maigizo tu, TRA wanachokifanya ni maelekezo / shinikizo toka juu! kila mwezi wanawekewa malengo ya makusanyo na serikali ni wakali kweli kwa TRA wanapolegalega kukusanya ushuru. huko nyuma ya pazia shinikizo la kuwataka wawe 'aggressive' linatoka juu na wao wanatii, njia pekee ya kufikisha malengo ni kuwa wakali na kutoa makadirio makubwa ya kodi kwakua walipaji na walewale.
(japo ni kweli kuna tatizo la rushwa, ambalo sio la TRA peke yao bali ni serikali yote)
Tamthilia za Magundu haziishi.. .. ni muendelezo tu kama Isidingo
 
Mh ni msanii acha unaweza chinja mwanao kwa unafiki wake anajua A to Z hapo anatafuta sympathy za watanzania tuone TRA ndio wana tatizo siyo yeye, kitu ambacho si kweli

Kumbuka zoezi la vitambulisho vya wajasilia mali wakurugenzi wa halmashauri waliofanya vibaya kuuza kawafanya nini kawatumbua wote hapo ndio utajua big dady ni bonge la snitch na ni muiigizaji nzuri sana zaidi ya ray kigosi anajua kupritend balaa kuwa yanayofanyika hayajui kumbe wapi anajua A to Z sema anataka tuhadaa watanzania
 
Nilimuona Mh Rais akimkabidhi PM bulungutu la karatasi likiwa limesheheni majina ya wakwepa kodi! Haya mambo yanafikirisha; hapa TRA wakali na wanakula rushwa, huku kuna wafanyabiashara wanakwepa kodi kwa idadi kubwa.
 
Hili suala liko wazi, ni watanzania wengi humu mtandaoni wataleta kila aina ya story kwa sababu ndio hao hao wanao husika na ndio hao hao walio banwa.

Ebufikiria wewe ukiwa umeajiria hapo TRA na hapo zamani ukawa kila unapoingia ofisini unarudi nyumbani na bunda la pesa sasa ule mrija ukabanwa, utafanya nini baada ya hapo?

Ni wazi kwamba utatafuta kila aina ya njia kuivuruga huo mpangilio mpya na hao walio leta huo utaratibu mpya waonekne ni wabaya. Sasa hawa TRA ndio wamefanya biashara nyingi zidorore.

Kama Mh. Rais nataka kuliondoa hili tatizo kubwa aunde kamati ya kuwadhibiti hawa vijana wahuni. Kuna vijana wengi mitani wana. Ulimi nzuri na wanatafuta kazi.
 
yale ni maigizo tu, TRA wanachokifanya ni maelekezo / shinikizo toka juu! kila mwezi wanawekewa malengo ya makusanyo na serikali ni wakali kweli kwa TRA wanapolegalega kukusanya ushuru. huko nyuma ya pazia shinikizo la kuwataka wawe 'aggressive' linatoka juu na wao wanatii, njia pekee ya kufikisha malengo ni kuwa wakali na kutoa makadirio makubwa ya kodi kwakua walipaji na walewale.
(japo ni kweli kuna tatizo la rushwa, ambalo sio la TRA peke yao bali ni serikali yote)
Asante mkuu!
 
Mh ni msanii acha unaweza chinja mwanao kwa unafiki wake anajua A to Z hapo anatafuta sympathy za watanzania tuone TRA ndio wana tatizo siyo yeye, kitu ambacho si kweli

Kumbuka zoezi la vitambulisho vya wajasilia mali wakurugenzi wa halmashauri waliofanya vibaya kuuza kawafanya nini kawatumbua wote hapo ndio utajua big dady ni bonge la snitch na ni muiigizaji nzuri sana zaidi ya ray kigosi anajua kupritend balaa kuwa yanayofanyika hayajui kumbe wapi anajua A to Z sema anataka tuhadaa watanzania
Lazima tuanze kampeni kwa staili hii w/biashara waone wanae mtetezi tuzikusanye nyingi tu2020 tukichanganya na goli LA mkono % more than 89
 
Bongo matakataka unaleta mada za kitakataka peleka hii Facebook ndio kuna wajinga wenzako wengi wa chichiemu

Estiment ndio nini
 
yale ni maigizo tu, TRA wanachokifanya ni maelekezo / shinikizo toka juu! kila mwezi wanawekewa malengo ya makusanyo na serikali ni wakali kweli kwa TRA wanapolegalega kukusanya ushuru. huko nyuma ya pazia shinikizo la kuwataka wawe 'aggressive' linatoka juu na wao wanatii, njia pekee ya kufikisha malengo ni kuwa wakali na kutoa makadirio makubwa ya kodi kwakua walipaji na walewale.
(japo ni kweli kuna tatizo la rushwa, ambalo sio la TRA peke yao bali ni serikali yote)
100% true!
 
Back
Top Bottom