Mh Rais salam kwako mkuu wangu. Binafsi nakupenda sana kama wewe Mh Rais Magufuli.
Huku mtaani watu wanamsemo alipo anza alianza vizuri ila sasa amebadilika.
Maneno haya yananipa maswali mengi sana nakujiuliza wapi amekosea Rais wangu mpendwa?
Kwa ufupi haya ndio nimegunduwa:-
Wakati unatoa hotuba unaongea vizuri tu mithili ya baba wa Taifa ila tofauti na baba wa Taifa wewe unazidiwa na hisia na wakati mwingine unaongea mambo yasio paswa kuongea ktk mikutano jambo wakati mwingine huleta hofu na kusinyaa kwa watu wako. Mfano kila mtu anataka privacy sasa ukiongea sentence kuonyesha unafuwatilia watu unaleta chuki zisizo za msingi kwa sababu wengi wenye hekima wanajuwa ila wanakuwa kimya sababu ni siri. Pia unawafanya watu kubuni njia nyingine za mawasiliano jambo litaipa tiss kaz kupata taarifa nyeti.
Hathari ni kubwa sana na uwenda nikitisho kwa uongoz wako. Jambo lingine kuonyesha unampenda kiongoz fulani direct while huyo kiongoz hana sura nzuri mbele ya jamii na walio mzunguka hili linaleta chuki pia na ndio maana taasisi yako haina mafungamano na mtu wala taasisi yeyote na hii ni kwa serikali zote. Kufanya hivyo kunatengeneza chuki hata kati yako na walio kuzunguka watacheka ila wanaumia mioyoni. Pia hili linafanya ukose vitu vya muhimu toka kwa yule unamsifia au watu mtumia kucheza na mind yako that is why ofisi yako haina mfungamano na awaye yeyote.
Haya na andika fuwatilia uone kama kuna Rais mstaafu alifanya the way unafanya wewe. wengi tulikuona mpiganaji ila na wao walikuona ila hawakukujenga vile unawajenga hawa na ndio maana unaona serkalin kila mtu anataka kuonekana kwenye screen na ndio maana kuna bifu zakijinga why while hawa wote ni watu wako zaidi sana wateule wako embu liangalie hili kwaumakini.
Jambo lingine kiongoz ni mtumishi wa watu walio muweka kama kuna watu unatakiwa kuwalamba miguu basi ni hawa watanzania. Kwann nasema hivyo taifa hili lina mambo ya muhimu sana kuyafanyia kazi na kuna mambo muhimu sana ukiyachukua poa yatalitesa taifa na hata utawala wako. Mambo ya jamii ndio dhiki ya hawa watu na kama kupanga nikuchaguwa katika miradi ya maana unafanya uwenda miwili ndio ingepata kura kiasi wakati mingine ingekosa kura hata moja kwanini?
Hii inamanisha watanzania wana mambo yanawatesa sana na hasa kisaikolojia hivyo lazima ucheze na mind zao. Yani ung'ate na kupuliza sehem nyingine piga mkwara mpaka watu wajambe na ushuzi usikike ila usijihusishe direct. Utafanya mangapi mkuu wangu taifa hili nikubwa sana usipo endesha kwa ku relaxy utajichosha while unauwezo wakufanya vizuri zaidi ya vile umefanya.
Watanzania ukiwapikia wali leo ukaondoka akaja mwingine akawabebesha mawe wajenge hosp ya amini usiamini ukirudi kwenye kijiji kile kile mkataka ardhi alie wapa chakula atapata ardhi wakwanza hiyo ndio mindset ya watu wetu hivyo kwakuwa yote yapo ktk mikono yako wajengee hosp na wape wali pia potelea mbali wewe wape ndio mind set yao na ndio maana tumeliwa sana sana.
Wewe ni boss wa ma boss wote ukiwa kila mahali unazuwia watu kukuwa na ukiwa mkali kupita kiasi unazuwia karama zingine kukuwa while unayo kazi kukuza watu kama wewe na kuzidi wewe lakini ukishika kila kitu mkuu siku moja utasema nilisahau kuacha watu wakufanya kile nimekifanya same what happen to late Nyerere.
Busara nilazima Itawale ukijuwa wewe sio wa mwisho after all unahitaji kuacha legacy itakayo ishi ndani ya Mioyo ya watu wako, usiwe na huruma sana Wala usiwe mkali sana, usiwe na. Upendo sana na usiwe na chuki sana, usimpendelee huyu ukamsahau yule. Sisi wananchi na vyombo vyote Vya ulinz na usalama ni watu wako. Hivyo basi kumbuka tunaweza kuwa hatuoni. Ila usituchape sana tuka sahau Upendo wako kwetu.
Taifa likiongozwa kwa Upendo na busara. Inaleta amani nafuraha ktk taifa watu wanafurahi na watu wakifurahi kazi zinafanyika vyema. Nakazi zikifanyika vyema productivity inaongezeka jambo linasababisha pato la taifa kukuwa namaendeleo kuongezeka.
Naweza kuandika sana ila mimi, wewe na taifa tujiulize uzalendo nikitu gani?
Je ni hali yakufunga nakujitesa kwa taifa lako bila kitu?
Au ni hali yakupenda taifa lako nakutamani kila mtu afurahie taifa lake. Nakujivunia utanzania na kama ndvyo sisi uzalendo wetu upo wapi.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania