Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,993
Mtazamo wako.. hauwezi kupingwa..Rushwa itazidi mara TATU. Na nitawaambia kwa nini. Fikiria scenario hii:
Mtu kateuliwa kwenye nafasi ambayo mtangulizi wake "katumbuliwa" karibuni. Mteuliwa mpya haoni kosa alilofanya mtangulizi wake (kwa mantiki hiyo nae anajua kutumbuliwa kwake sio la kuuliza "kama nitatumbuliwa" bali "lini nitatumbuliwa". Mteuliwa huyu ni LAZIMA ajiandae kisaikolojia kutumbuliwa anytime of the day. So, atumbuliwe bila kuambulia kitu wakati kuna possibility ya kuchukua kitu kidogo?
Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Ila watz tunatabia ya kutaka sifa tukiwekwa nafasi za aliyetenguliwa... Making sure naonekana nafaa
Siku ya 1 ofisini.. "mimi sio kama yule aliyewalea msinichezee..."
It might help pia... ni mtazamo wangu tu not conclusive