Mh Rais, achia pesa tunakufa njaa mitaani huku

Kwa muda sasa serikali imekuwa haiachii pesa iingie kwenye mzunguko kwa kigezo cha kubana matumizi. Pesa inakusanywa lakini hairudishwi mitaani ili mzunguko uendelee na uchumi ukue.

Serikali imebana sana au kuondoa kabisa matumizi ya fedha kama katika kutoa tenda mbali mbali, kukodi kumbi za mikutano na makongamano, n.k. Kwa ujumla serikali imeishikilia pesa.

Matokeo yake sisi watu masikini ndio tunaumia. Vibiashara vyetu vidogovidogo vimekosa mnunuzi, bia bar haziuki, n.k.

Kubana pesa na kwenda kuzinunulia ndege, au kujengea mabarabara sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini ni ndogo. Kuhamia dodoma sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini, machinga na mama ntilie ni ndogo.

Mh ebu achia pesa iingie kwenye mzunguko kama kawaida cha msingi tu matumizi sahihi yazingatiwe! Kuna tetesi kutoka Hazina kwamba umeamua kushikilia pesa kwa hofu eti ukiyoa mafungu kama budget ilivyopitisha zitaliwa na wafanyakazi hewa n.k! Inasemekana unalipa tu mishahara na kugharimia mahitaji ya lazima ya wizara, hela nyingine yote unaizuia.

Hebu pia kaa na wachumi wako mjaribu kutatua hii hali hii mapema. Wananchi watashindwa uvumilivu.

Hii hali ikiendelea usishangse watu wakaamua kuingia mitaani bila hata kuchochewa kulalamikia ugumu wa maaaisha. Haiwezeksni kila unayeongea naye analalamikia ugumu wa maisha.

Mh achia hayo matrilioni yaingie mitaani. Halafu baadaye utayakusanya tena yarudi serikalini. Ndivyo uchumi wa nchi maskini unavyoendeshwa. Hali ni mbaya huku mitaani, haviuziki, havinunuliki! Tutafika kweli? Unatuumiiza sisi maskini mheshimiwa.

Kama kuna kitu kitafanikisha UKUTA kwa kiasi kikubwa ni hili la ukata na ugumu wa maisha, ambalo wengi wanasema wewe ndio umesababisha, na wala sio hili la kuminya demokrasia! La kuminya demokrasia nalo ni kubwa lakini kwa sasa watu wengi wana hasira kwasababu ya ukata unaoaminika umesababishwa na sera zako za kukurupuka.
Acha porojo,serikali haimwagi magunia ya pesa barabarani
Ukiona biashara hailipi nenda kalime,utatoka tu,watu wametajirika kwa mananasi na matikiti maji
Mnakaa mijini mnajazana ujinga tu,mliozea hela za kupiga na kukwepa kodi hizo tusahau
 
Sio kumwaga pesa mitaani we mburula, ni kwamba serikali haispendi pesa, hivyo mzunguko wa fedha umekuwa mdogo.
 
Nimegunduwa Hawa kula kalala kunya bure wanamatatizo sana. Nyie mnajuwa tunaolalamika humu ni wafanyakazi WA kuajiriwa kama wao., sisi wengine ni wafanya biashara WAdogo wakujitegemea. Kwanza mzunguko umepinguwa wateja hakuna kodi zinapiga hodi kila siku. Ukiangalia pesa ipatikanayo haitoshi Kwa sababu mahitaji Muhimu yapo juu sana
 
Mh alitakiwa aplay very smart katika nia yake ya kujaribu kurekebisha mambo. Hii nchi naweza kuifananisha na mgonnjwa aliyekuwa na homa kali! Sasa wewe daktari badala ya kuchukua hatua za kushusha homa yake pokepole kwsnza, unakurupuka na kumpiga sindano za kwinini, kwa nini asife?
Ukiona kila mmoja anasema kuna tatizo kweli kunatatizo ,haihitaji nguvu akitumia nguvu za nguvu bila kutanguliza weledi wa maarifa inaweza ikawaumiza hata wasio na hatia kama ilivyo
 
Ela atoe wapi au akaprint mnajidai kuwavimbia wafadhili hivi mnazani Mkwere ni mjinga kusema bila misaada hatutoki

Alishaicheza hii ngoma anaijua nchi changa hii tusujidanganye tunaweza kujitegemea katika dunia hii uchumi umeshikiliwa na mataifa giant

USA yenyewe inawabembeleza washirka wenzaka wanajua wakizingua wanayumba wewe umetoka sijui namtumbo unawavimbia wababe haya tuone
 
Acha Roho mbaya haitakusaidia,viwango vya Maisha ni mhimu,pesa haipatikani lakini haina thamani,sasa tuwaelewe vipi,Rais asiogope kimvuli chake,Asafiri lakini asizidishe kama mshikaji wa Bagamoyo,Aruhusu Semina na Makongamano,ila iwe kwa Manufaa ya wote.Hali ni Mbaya usijikune kwa upupu wewe Lumumba Jazz.
Hata kwenda nje kwa Wafanakazi ina umuhimu lakini iwe kwa Wastani
Utendaji wa Magufuli bado ni 0 Kwa maana hakuna tofauti ya maisha ya kipindi cha Jakaya na kipindi chake!
 
Kiukweli hali ni ngum biashara haiendi
Sijui mwisho wa hii hali ni lini ,maana wengine tunaelekea kufunga vibanda vyetu
 
Kwa muda sasa serikali imekuwa haiachii pesa iingie kwenye mzunguko kwa kigezo cha kubana matumizi. Pesa inakusanywa lakini hairudishwi mitaani ili mzunguko uendelee na uchumi ukue.

Serikali imebana sana au kuondoa kabisa matumizi ya fedha kama katika kutoa tenda mbali mbali, kukodi kumbi za mikutano na makongamano, n.k. Kwa ujumla serikali imeishikilia pesa.

Matokeo yake sisi watu masikini ndio tunaumia. Vibiashara vyetu vidogovidogo vimekosa mnunuzi, bia bar haziuki, n.k.

Kubana pesa na kwenda kuzinunulia ndege, au kujengea mabarabara sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini ni ndogo. Kuhamia dodoma sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini, machinga na mama ntilie ni ndogo.

Mh ebu achia pesa iingie kwenye mzunguko kama kawaida cha msingi tu matumizi sahihi yazingatiwe! Kuna tetesi kutoka Hazina kwamba umeamua kushikilia pesa kwa hofu eti ukiyoa mafungu kama budget ilivyopitisha zitaliwa na wafanyakazi hewa n.k! Inasemekana unalipa tu mishahara na kugharimia mahitaji ya lazima ya wizara, hela nyingine yote unaizuia.

Hebu pia kaa na wachumi wako mjaribu kutatua hii hali hii mapema. Wananchi watashindwa uvumilivu.

Hii hali ikiendelea usishangse watu wakaamua kuingia mitaani bila hata kuchochewa kulalamikia ugumu wa maisha. Haiwezeksni kila unayeongea naye analalamikia ugumu wa maisha.

Mh achia hayo matrilioni yaingie mitaani. Halafu baadaye utayakusanya tena yarudi serikalini. Ndivyo uchumi wa nchi maskini unavyoendeshwa. Hali ni mbaya huku mitaani, haviuziki, havinunuliki! Tutafika kweli? Unatuumiiza sisi maskini mheshimiwa.

Kama kuna kitu kitafanikisha UKUTA kwa kiasi kikubwa ni hili la ukata na ugumu wa maisha, ambalo wengi wanasema wewe ndio umesababisha, na wala sio hili la kuminya demokrasia! La kuminya demokrasia nalo ni kubwa lakini kwa sasa watu wengi wana hasira kwasababu ya ukata unaoaminika umesababishwa na sera zako za kukurupuka.

fanya kazi acha kulialia weye, badili mbinu acha kuganda kwenye mbinu moja tu ya uzalishaji. Mfano kama pesa imebanwa kwenye ukodishaji wa kumbi za mikutano lazima kuna mahali pengine imepelekwa, fanya assignment yako ya kujua wapi imepelekwa na wewe jichanganye huko pesa ilipoenda. Mfano kama pesa imepelekwa kwenye kilimo nenda kalime, anzisha biashara zinahusiana na kilimo n.k. Kipindi hiki cha awamu ya tano hakuna pesa za ujanjaujanja na misheni town bali ni ubunifu, kutumia profession, na kufanya kazi kwa bidii na maharifa ndio kunakupatia fedha. Chumi zote za kisasa ndio zinavyoendeshwa, serikali ikiacha pesa izagae mtaani mfumuko wa bei lazima uongezeke na hapo maisha yanakuwa magumu zaidi.
 
nilijishaua kuacha kaz ya kuajiriwa nikaona ujasiliamali utanitoa kweli nilipoanza 2014,15 freshiii duuuuh..ebwana Toka anko ngosha aingie natamani sim za kuitwa interview ziingie niende...Noma kweli mtaani...
 
Kwa muda sasa serikali imekuwa haiachii pesa iingie kwenye mzunguko kwa kigezo cha kubana matumizi. Pesa inakusanywa lakini hairudishwi mitaani ili mzunguko uendelee na uchumi ukue.

Serikali imebana sana au kuondoa kabisa matumizi ya fedha kama katika kutoa tenda mbali mbali, kukodi kumbi za mikutano na makongamano, n.k. Kwa ujumla serikali imeishikilia pesa.

Matokeo yake sisi watu masikini ndio tunaumia. Vibiashara vyetu vidogovidogo vimekosa mnunuzi, bia bar haziuki, n.k.

Kubana pesa na kwenda kuzinunulia ndege, au kujengea mabarabara sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini ni ndogo. Kuhamia dodoma sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini, machinga na mama ntilie ni ndogo.

Mh ebu achia pesa iingie kwenye mzunguko kama kawaida cha msingi tu matumizi sahihi yazingatiwe! Kuna tetesi kutoka Hazina kwamba umeamua kushikilia pesa kwa hofu eti ukiyoa mafungu kama budget ilivyopitisha zitaliwa na wafanyakazi hewa n.k! Inasemekana unalipa tu mishahara na kugharimia mahitaji ya lazima ya wizara, hela nyingine yote unaizuia.

Hebu pia kaa na wachumi wako mjaribu kutatua hii hali hii mapema. Wananchi watashindwa uvumilivu.

Hii hali ikiendelea usishangse watu wakaamua kuingia mitaani bila hata kuchochewa kulalamikia ugumu wa maisha. Haiwezeksni kila unayeongea naye analalamikia ugumu wa maisha.

Mh achia hayo matrilioni yaingie mitaani. Halafu baadaye utayakusanya tena yarudi serikalini. Ndivyo uchumi wa nchi maskini unavyoendeshwa. Hali ni mbaya huku mitaani, haviuziki, havinunuliki! Tutafika kweli? Unatuumiiza sisi maskini mheshimiwa.

Kama kuna kitu kitafanikisha UKUTA kwa kiasi kikubwa ni hili la ukata na ugumu wa maisha, ambalo wengi wanasema wewe ndio umesababisha, na wala sio hili la kuminya demokrasia! La kuminya demokrasia nalo ni kubwa lakini kwa sasa watu wengi wana hasira kwasababu ya ukata unaoaminika umesababishwa na sera zako za kukurupuka.
Sera ya JPM ni hapa kazi tu, Hakuna jinsi tufanye kazi, hela za bure bure hazipo tena.
 
Utendaji wa Magufuli bado ni 0 Kwa maana hakuna tofauti ya maisha ya kipindi cha Jakaya na kipindi chake!
Mi naona kama ameingia kukusanya kodi tu, kuhusu hiyo kodi itakua vipi au ustawi wa wananchi wake utakua vip sidhani kama ana habari na hiyo kitu.
 
Wengine tumeshasahau alichowai kusema sugu kama kuna mtu ana hiyo clip aiweke ili kuweka recod sawa
 
Sera ya JPM ni hapa kazi tu, Hakuna jinsi tufanye kazi, hela za bure bure hazipo tena.
Tupo kazini kaka tangu saa 12 ssubuhi mpaka saa tano usiku, ni kufukuza inzi na kupiga miayo tu, wateja hamna.
 
Sio kumwaga pesa mitaani we mburula, ni kwamba serikali haispendi pesa, hivyo mzunguko wa fedha umekuwa mdogo.
ispendi pesa kivipi?serikali inatumia pesa kwa vipaumbele vyake bana sio kukuangalia wewe shomvi bar yako haina watu ikuletee
 
Ndo mjue ni kwa nini wapinzani walikuwa wanasema ya kuwa ccm ni ileile, na kwa kuwa mliamua kuchagua kuishi maisha magumu endeleeni kuishi hivyohivyo
 
Kwa muda sasa serikali imekuwa haiachii pesa iingie kwenye mzunguko kwa kigezo cha kubana matumizi. Pesa inakusanywa lakini hairudishwi mitaani ili mzunguko uendelee na uchumi ukue.

Serikali imebana sana au kuondoa kabisa matumizi ya fedha kama katika kutoa tenda mbali mbali, kukodi kumbi za mikutano na makongamano, n.k. Kwa ujumla serikali imeishikilia pesa.

Matokeo yake sisi watu masikini ndio tunaumia. Vibiashara vyetu vidogovidogo vimekosa mnunuzi, bia bar haziuki, n.k.

Kubana pesa na kwenda kuzinunulia ndege, au kujengea mabarabara sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini ni ndogo. Kuhamia dodoma sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini, machinga na mama ntilie ni ndogo.

Mh ebu achia pesa iingie kwenye mzunguko kama kawaida cha msingi tu matumizi sahihi yazingatiwe! Kuna tetesi kutoka Hazina kwamba umeamua kushikilia pesa kwa hofu eti ukiyoa mafungu kama budget ilivyopitisha zitaliwa na wafanyakazi hewa n.k! Inasemekana unalipa tu mishahara na kugharimia mahitaji ya lazima ya wizara, hela nyingine yote unaizuia.

Hebu pia kaa na wachumi wako mjaribu kutatua hii hali hii mapema. Wananchi watashindwa uvumilivu.

Hii hali ikiendelea usishangse watu wakaamua kuingia mitaani bila hata kuchochewa kulalamikia ugumu wa maisha. Haiwezeksni kila unayeongea naye analalamikia ugumu wa maisha.

Mh achia hayo matrilioni yaingie mitaani. Halafu baadaye utayakusanya tena yarudi serikalini. Ndivyo uchumi wa nchi maskini unavyoendeshwa. Hali ni mbaya huku mitaani, haviuziki, havinunuliki! Tutafika kweli? Unatuumiiza sisi maskini mheshimiwa.

Kama kuna kitu kitafanikisha UKUTA kwa kiasi kikubwa ni hili la ukata na ugumu wa maisha, ambalo wengi wanasema wewe ndio umesababisha, na wala sio hili la kuminya demokrasia! La kuminya demokrasia nalo ni kubwa lakini kwa sasa watu wengi wana hasira kwasababu ya ukata unaoaminika umesababishwa na sera zako za kukurupuka.
Ama kweli tutakula upepo hahaha..............
 
ispendi pesa kivipi?serikali inatumia pesa kwa vipaumbele vyake bana sio kukuangalia wewe shomvi bar yako haina watu ikuletee
Bila shaka we ni kabombe kweli maana sijui kama hata umeelewa hii mada kwa hali ya kawaida sasa sijui kama ungeelewa angeongea kiuchumi zaidi iam sorry for you.
 
Mwaka huu mutakula nyasi...! Na bado .
 
Kazana baba kazana usilegeze, usigeuke nyuma utakuwa jiwe washaanza kulia lia waliozoea za dezo ongeza speed tuko nyuma yako sisi tuliokupigia kura tunafurahishwa na jitihada zako za kubana matumizi na kutumbua waliokuwa wanafisadi nchi. Tutazidi kukuombea mola akulinde Na kila anaekusudia baya juu yako limpate mwenyewe. Usikubali mtu akucheleweshe nasisi wananchi tuliokupigia kura hatutakubali kuona mtu anakuchelewesha. Aluta continue. Tafuteni shughuli halali za kuongeza kipato
du kweli alie na shibe haezi mkumbuka mwenye njaa.Kumbuka hao maombi yasije yakageuka adhabu .Du hivi mafisadi gani wamefilisiwa au ndo ile hamisha hamisha ndo imekushtua du imeleta matokeo gani karibu mwaka unaisha?mahakama yenyewe bado haijaanza sasa sijui ufisadi gani umeondolewa wakati mafisadi.Wale waliohamishwa walikua vivuli tu na si mafisadi halisi ndugu rudi shule kila uongozi una mbwembwe zake za ntoke vipi.Amka !!!
 
Back
Top Bottom