Mh Rais, achia pesa tunakufa njaa mitaani huku

SEMINA zimeadimika,hakuna tenda za kupika chai na chakula kwenye kumbi za mikutano.Wakipata posho za semina njiani wananunua asali,mkaa,viazi,nyanya,mitaani watu wanapata fedha.
 
COamoTFUYAABRI4.jpg
WACHA WAISOME NAMBA
 
Kweli pesa hakuna mtaani nilikua kwenye Bar flani tulikua wateja watano tu...meneja wa Bar hiyo anasema wamepunguza wafanyakazi kama kumi kati ya June na August...Bring Back The Money
 
Mheshimiwa rais Magufuli, hakuna kulegeza kamba, wembe ni ule ule hata kama watu walie namna gani. Hata waisrael walipokuwa njiani kuelekea nchi ya ahadi walilia lia hivyo hivyo wakamlaumu Musa na hata kumnung'unikia mwenyezi mungu, lakini hatimaye walifika. NI HERI TUKAPATA SHIDA SASA NA HAPO BAADAYE TUKAISHI KWA RAHA. Mchumia juani hulia kivulini.
 
Hahaaaaa mkuu kweli huwapendi hadi umenitusi!!! Ila kwa hizo hasira utakua uliwapigia kura ndo mana inakuuma
Hahaha wapi bwana. Mimi tangu nianze kupiga kura sijawahi kuipigis ccm. Hata kipindi upinzani upo dhaifu km 2005 bado nilipiga upinzani.
 
Kwa muda sasa serikali imekuwa haiachii pesa iingie kwenye mzunguko kwa kigezo cha kubana matumizi. Pesa inakusanywa lakini hairudishwi mitaani ili mzunguko uendelee na uchumi ukue.

Serikali imebana sana au kuondoa kabisa matumizi ya fedha kama katika kutoa tenda mbali mbali, kukodi kumbi za mikutano na makongamano, n.k. Kwa ujumla serikali imeishikilia pesa.

Matokeo yake sisi watu masikini ndio tunaumia. Vibiashara vyetu vidogovidogo vimekosa mnunuzi, bia bar haziuki, n.k.

Kubana pesa na kwenda kuzinunulia ndege, au kujengea mabarabara sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini ni ndogo. Kuhamia dodoma sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini, machinga na mama ntilie ni ndogo.

Mh ebu achia pesa iingie kwenye mzunguko kama kawaida cha msingi tu matumizi sahihi yazingatiwe! Kuna tetesi kutoka Hazina kwamba umeamua kushikilia pesa kwa hofu eti ukiyoa mafungu kama budget ilivyopitisha zitaliwa na wafanyakazi hewa n.k! Inasemekana unalipa tu mishahara na kugharimia mahitaji ya lazima ya wizara, hela nyingine yote unaizuia.

Hebu pia kaa na wachumi wako mjaribu kutatua hii hali hii mapema. Wananchi watashindwa uvumilivu.

Hii hali ikiendelea usishangse watu wakaamua kuingia mitaani bila hata kuchochewa kulalamikia ugumu wa maisha. Haiwezeksni kila unayeongea naye analalamikia ugumu wa maisha.

Mh achia hayo matrilioni yaingie mitaani. Halafu baadaye utayakusanya tena yarudi serikalini. Ndivyo uchumi wa nchi maskini unavyoendeshwa. Hali ni mbaya huku mitaani, haviuziki, havinunuliki! Tutafika kweli? Unatuumiiza sisi maskini mheshimiwa.

Kama kuna kitu kitafanikisha UKUTA kwa kiasi kikubwa ni hili la ukata na ugumu wa maisha, ambalo wengi wanasema wewe ndio umesababisha, na wala sio hili la kuminya demokrasia! La kuminya demokrasia nalo ni kubwa lakini kwa sasa watu wengi wana hasira kwasababu ya ukata unaoaminika umesababishwa na sera zako za kukurupuka.

hivi raisi aliyepita alikuwa anagawa pesa sio
 
Tulia wewe pesa tunaitumia kuamia dodoma na kumsafirishia tundu lissu kutoka singida
 
Wanaomwombea mabaya rais wetu washindwe na walegee .

Mashetani wakubwa
 
Umefanya kazi ukakosa hela???
Kazi zimeota mbawa kwa sababu pesa imebanwa! Kazi bila pesa. Ikilima mazao yajo huna wa kumuuzia, ukifungua umachinga huna wa kumuuxia, sssa hizo pesa zitatoka wapi. Wanaolalamika hawaoni pesa ni hao hao wanaoitafuta kwa kufanya kazi!
 
Kwa muda sasa serikali imekuwa haiachii pesa iingie kwenye mzunguko kwa kigezo cha kubana matumizi. Pesa inakusanywa lakini hairudishwi mitaani ili mzunguko uendelee na uchumi ukue.

Serikali imebana sana au kuondoa kabisa matumizi ya fedha kama katika kutoa tenda mbali mbali, kukodi kumbi za mikutano na makongamano, n.k. Kwa ujumla serikali imeishikilia pesa.

Matokeo yake sisi watu masikini ndio tunaumia. Vibiashara vyetu vidogovidogo vimekosa mnunuzi, bia bar haziuki, n.k.

Kubana pesa na kwenda kuzinunulia ndege, au kujengea mabarabara sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini ni ndogo. Kuhamia dodoma sawa, lakini impact yake kwa sisi masikini, machinga na mama ntilie ni ndogo.

Mh ebu achia pesa iingie kwenye mzunguko kama kawaida cha msingi tu matumizi sahihi yazingatiwe! Kuna tetesi kutoka Hazina kwamba umeamua kushikilia pesa kwa hofu eti ukiyoa mafungu kama budget ilivyopitisha zitaliwa na wafanyakazi hewa n.k! Inasemekana unalipa tu mishahara na kugharimia mahitaji ya lazima ya wizara, hela nyingine yote unaizuia.

Hebu pia kaa na wachumi wako mjaribu kutatua hii hali hii mapema. Wananchi watashindwa uvumilivu.

Hii hali ikiendelea usishangse watu wakaamua kuingia mitaani bila hata kuchochewa kulalamikia ugumu wa maisha. Haiwezeksni kila unayeongea naye analalamikia ugumu wa maisha.

Mh achia hayo matrilioni yaingie mitaani. Halafu baadaye utayakusanya tena yarudi serikalini. Ndivyo uchumi wa nchi maskini unavyoendeshwa. Hali ni mbaya huku mitaani, haviuziki, havinunuliki! Tutafika kweli? Unatuumiiza sisi maskini mheshimiwa.

Kama kuna kitu kitafanikisha UKUTA kwa kiasi kikubwa ni hili la ukata na ugumu wa maisha, ambalo wengi wanasema wewe ndio umesababisha, na wala sio hili la kuminya demokrasia! La kuminya demokrasia nalo ni kubwa lakini kwa sasa watu wengi wana hasira kwasababu ya ukata unaoaminika umesababishwa na sera zako za kukurupuka.
vipi posho za maandamano zimekata? nendeni ikungi bado maandamano yapo.
 
kweli tuliambiwa tutaisoma namba tukajua UKAWA ndio wanaisoma kumbe tunaisoma wote
 
Back
Top Bottom