Acha Roho mbaya haitakusaidia,viwango vya Maisha ni mhimu,pesa haipatikani lakini haina thamani,sasa tuwaelewe vipi,Rais asiogope kimvuli chake,Asafiri lakini asizidishe kama mshikaji wa Bagamoyo,Aruhusu Semina na Makongamano,ila iwe kwa Manufaa ya wote.Hali ni Mbaya usijikune kwa upupu wewe Lumumba Jazz.Kazana baba kazana usilegeze, usigeuke nyuma utakuwa jiwe washaanza kulia lia waliozoea za dezo ongeza speed tuko nyuma yako sisi tuliokupigia kura tunafurahishwa na jitihada zako za kubana matumizi na kutumbua waliokuwa wanafisadi nchi. Tutazidi kukuombea mola akulinde Na kila anaekusudia baya juu yako limpate mwenyewe. Usikubali mtu akucheleweshe nasisi wananchi tuliokupigia kura hatutakubali kuona mtu anakuchelewesha. Aluta continue. Tafuteni shughuli halali za kuongeza kipato
Hata kwenda nje kwa Wafanakazi ina umuhimu lakini iwe kwa Wastani