Mh. Mwigulu, Mkuya na Dr. Kawambwa, tunaomba mtusaidie upesi sisi wanafunzi tunaoteseka Ujerumani

Kiwewe

Senior Member
Nov 22, 2011
159
51
Mh. Saada Mkuya Salum, Mwigulu Nchemba na Dr. Shukuru Kawambwa, tafadhali tunaomba mtusaidie sisi wanafunzi wa shahada ya uzamivu tuliopo kwenye vyuo mbalimbali nchini Ujerumani. Tupo kwenye mpango wa elimu unaoratibiwa na DAAD ujerumani (20%) na Wizara ya Elimu Tanzania (80%), Sasa tumeanza mwezi wa pili bila kupata pesa za kijikimu. Kwasasa wengiwetu tumeathirika vibaya hasa kutokana na utaratibu wa kimaisha huku. Tumeshindwa kulipia pesa za pango, gharama za mwezi za usafiri, mawasiliani/internet, heating system, utupaji wa takataka, muhula wa semester inayokuja mwisho wa mailpo ilikuwa Januari nk. Hali hii imepelekea wengine kushitakiwa na kupigwa faini kubwa sana. Wengi wetu sasa tumeshindwa kuendesha shughuli za elimu, tumekuwa tukiokota chupa for recycling angalau tupate pesa ya mkate ili tusife njaa.

Tunaomba mlishughulikie tatizo letu kwa haraka ama kama programu hii imeshindikana, basi tunaomba mtujulishe na mtusaidie nauli za kurudi majumbani kwetu haraka kuliko kuadhirika huku ughaibuni. Tumeshapoteza kabisa matumaini kutokana na ahadi hewa tunazopewa na watendaji wa wizara zenu. Tukiwauliza wizara ya ELIMU wanasema hawajapewa pesa kutoka HAZINA kwasababu kuna uhaba wa pesa na sisi hatupo kwenye kipaumbele. Tunatambua kuwa Mh. Mkuya na Mwigulu ni wanafunzi wa shahada ya uzamivu pia, ila kusomea huku ughaibuni hasa nchini Ujerumani ni vigumu sana kufanya shughuli nyingine za kupata kipato sambamba na darasa hasa ukiwa unapewa pesa na DAAD. Tunaomba muelewe hali tuliyonayo na mchukue hatua maramoja.Mh
 
Dah pole mkuu. Huku walikua wanakula Bata Birthday Party ya CCM wananchi wakiendelea kuteseka
 
acheni kujilegeza nyie. tafuteni hata tempo za kufanya mjikimu ..watoto wa kiume mnalialia ovyo komaeni acheni utoto wa mama
 
Division of Labor... Kwahiyo MWIGULU kinamhusuje ??? sidhani hizo scholarship mlizopata pia HAZINA iliziomba na kuzikatia hilo fungu....

La Hasha... FUNGU HILO limetolewa zamani tayari na either some International NGO's such as WORLD BANK or IMF to TZ GVT... Ubaya ni Wazembe wameongeza Wanafunzi ndugu zao badala ya 10 wao wamepeleka 100; ending up exhausting all funds and aid Money for the sake of their CULT

Ndio Maana tunasema Hao VIONGOZI hawafai kuwatukuza kwa Majina -- Ni kuwapumzisha wakae nje ya Madaraka yao kwa MUDA ili WAELEWE kuwa na VYEO ni DHAMANA...

Acha Chama Chochote kibebe hii NCHI... either whatever name of the party !!!!
 
Nakusikitikia sababu huelewi mfumo uliopo huku, kipindi cha MSc wengine tulifanya UK ama Neatherland system ya huko ni tofauti kabisa na hapa Germany. Kwanza uelewe ukifanya kazi popote lazima uwekwe kwenye system yao ya kudhibiti kodi. Kama unapata pesa ya serikali (ingawa sisi tunapata 20%) tu, haturuhusiwi kupata kwingine, na kama utafanya kazi basi watakuwa wanapunguza kwenye pesa unayopata through scholarship yako. Vilevile kulingana na majukumu ya shule ni vigumu kupata muda wa kufanya kazi hata hizo zisizohitaji kuwa registered (mfano kuokota chupa na kuzipeleka kwenye recycle machines yeyote ili kupata pfunds). Wengi wetu tuna kazi za Lab, na shule ya huku ina course work vilevile, na bado hujaandika thesis and papers. Pia hatutaki kukaa huku muda mrefu, hivyo tumejikita kwenye elimu ili turudi nchini kuendelea na shughuli zetu.
 
Poleni. Bilashaka kilio chenu kimesikika. Mlipwe au msilipwe tambueni Tanzania imevurugwa na viongozi mliowachagua wenyewe. Ombeni katiba mpya iboreshwe nanyi ughaibuni mwezeshwe kupiga kura mkikichagua CDM.
 
Division of Labor... Kwahiyo MWIGULU kinamhusuje ??? sidhani hizo scholarship mlizopata pia HAZINA iliziomba na kuzikatia hilo fungu....

La Hasha... FUNGU HILO limetolewa zamani tayari na either some International NGO's such as WORLD BANK or IMF to TZ GVT... Ubaya ni Wazembe wameongeza Wanafunzi ndugu zao badala ya 10 wao wamepeleka 100; ending up exhausting all funds and aid Money for the sake of their CULT

Ndio Maana tunasema Hao VIONGOZI hawafai kuwatukuza kwa Majina -- Ni kuwapumzisha wakae nje ya Madaraka yao kwa MUDA ili WAELEWE kuwa na VYEO ni DHAMANA...

Acha Chama Chochote kibebe hii NCHI... either whatever name of the party !!!!

This is a typical verbal diarrhea. Kama hujui kith kinachoongelewa ni heri ukakaa kimya.
 
Unaona Mnavyoishi Ki-Superficial ?? Ina Maana ni kweli na Unajua kila kitu kinatoka HAZINA hadi TUITION FEES what a BLCKE of HUMAN BRAIN

Unbearable --- 4 Real This is Brain Drain...
 
Kama kuna Waislamu basi wanaweza kwenda Msikiti ulio karibu na kuandika katika ubao wa matangazo kuwa unatafuta kazi ya muda, ujielezee na sababu zako za kutaka kazi, andika namba yako ya simu.

Jiandae kupokea simu za wamiliki Waislamu wa Kebab houses, mikahawa na nyinginezo.

Tarajia kazi za kuosha vyombo na kufagia.

Kutokana na tatizo lako utapewa cash mkononi.

Mko mji gani?
...zamani kulikuwa kuna Misikiti iliyokuwa na program maalum za kuwasaidia wanafunzi Waislamu,hili tatizo si la wanafunzi wa TZ tu.

Nafahamu pia kuwa Wapakistani na Wahindi wana program zao za kusaidia wanafunzi.
 
Sidhani kwa jinsi CCM imefulia km walikuwa na hiyo ktk fikra zao za fundraising wakitumia rungu la TRA.
 
Hivi mpango wa DAAD unatoa partial scholarship? miaka yote nilikuwa najua wanatoa full package...

Jaribuni kuongea vizuri na balozi wa TZ huko aishinikize serikali, la hasha bebeni virago kurudi nyumbani maana hii serikali ishawahi kutelekeza wanafunzi Ukraine na hata Russia miaka kama mitano iliyopita.
 
Kweli inasikitisha! Serikali ilipoingia kwenye huo mpango wa kuwasomesha, ina maana pesa ilishatengwa kwa ajili hiyo.!

Sasa kinachokwamisha kutuma pesa kwa wakati ni nini?!

Kitakachotumaliza kama nchi ni kitendo cha kutokuthamini Elimu kuanzia ya msingi hadi vyuo vikuu!
 
Du!hv mkuu hujui hawa mawaziri ni mizigo?jana wenzio wamekula mikuku mbeya.njoon böngo ila mvua hazinyeshi.
 
Back
Top Bottom