Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Status
Not open for further replies.
Sidhani kama anawadhalilisha walimu wa UDSM nadhani anaidhalilisha familia yake, wazazi wake na ndugu zake.

anamdhalilisha kitila mkumbo ambaye ni mwalim wake af ameenda kuuwa ndugu yake huko ndago
 
Kwa matendo anayofanya huyu jamaa ni sawa na kudhalilisha elimu ya UDSM. Kitendo cha kuchana na kutupa bajeti ya mmbadala ya upinzani bungeni, ni dharau tosha kwa msomi mwenzako. (kinyume na code of ethics). Matamshi aliyokuwa anatoa Bungeni, utajua jamaa hajaenda shule au ni USHAMBA NA UMASIKINI aliokulia UMEMUATHIRI KIFIKRA. Kitendo cha kuruhusu wafuasi wake kumvisha Mbwa bandera ya CDM ni udhalilishaji wa ELIMU YA UDSM na Walimu waliomfundisha.
Lakini ukweli ni kwamba VIPANGA wengi wanakosa social skills na hawafiti ktk jamii. Hili jamaa kama inekuwa Ulaya angeitwa "He is danger to himself and society" kwa hiyo angewekwa ktk Hospitali za vichaa

we ni kilaza kweli,vipi kuhusu mwalim wake kityila mkumbo na vibaraka wake walioenda kuua huko ndago?vp kuhusu huyo mhuni/chizi wa ubungo aliewatukana watanzania wote bungeni?au ndio mkuki kwa nguruwe?mwigulu lazima akutieni adabu mana hamjafunzwa na mama zenu.
 
Kina mwigulu ni zao la udsm na mafisadi wengi wataalum wengi wametoka udsm ndiyo hata dhaifu mkuuu wa nchi katoka udsm wachakachu

we wa st augustine ndio cream?au waongea tu kwa kuwa hulipii
 
Kitendo alichokifanya mwigulu ni cha kipuuzi mno hakuna hata sababu ya kukipa umuhimu kiasi hiki. Kwanza kajidhalalisha mwenyewe na wote wenye uhusiano nae. This man is very sick upstairs. Hivi wale wote mnaomshabikia mnamwona ni kiongozi mwadilifu? Je mngependa mtu wa aina hii awe Rais wa Tanzania siku moja?
 
kwenda zako huko,huyo alievalishwa hicho kitambaa ni sawa kabisa kwa kuwa tabia za wenye hicho kitambaa zinafanana na alievalishwa.mwigulu fanya kazi yako,waelimishe hao.
 
Bado kidogo utahukumu kuwa Mungu ni wa hovyo kwa kuwa Mwigulu ni hovyo. Akili finyu.
 
product ipi ya udsm iliyojenga hii nchi?

warioba,samwel sitta,mwakyembe,zitto,kikwete,magufuli,mbunge wa mbozi kupitia cdm na wengine wengi tu.acha chuki binafsi.huwezi kutaja maendeleo ya tanzania bila kutaja chuo kikuu cha dsm,utakuwa mwendawazimu wewe.
 
we ni kilaza kweli,vipi kuhusu mwalim wake kityila mkumbo na vibaraka wake walioenda kuua huko ndago?vp kuhusu huyo mhuni/chizi wa ubungo aliewatukana watanzania wote bungeni?au ndio mkuki kwa nguruwe?mwigulu lazima akutieni adabu mana hamjafunzwa na mama zenu.
Mkuu matusi ya nini? punguza jazba, ingiza busara
 
we ni kilaza kweli,vipi kuhusu mwalim wake kityila mkumbo na vibaraka wake walioenda kuua huko ndago?vp kuhusu huyo mhuni/chizi wa ubungo aliewatukana watanzania wote bungeni?au ndio mkuki kwa nguruwe?mwigulu lazima akutieni adabu mana hamjafunzwa na mama zenu.
Hakuna hata mahali pamoja ulipoanza bila kutukana, Vipi ndio nidhamu ya ccm hiyo? M/Mungu akujaalie hekima
 
Waalimu wa UDSM wanahusika vipi?

Ni zao lao kitaaluma na malezi kama mwanafnzi na mwanajamiii...
Kama sikosei jamaa Advance kaskuli Mazengo sekondari alikuwa kichwa sana sijui kawaje siku hizi dah! siasa bwana...
 
Mwigulu alikuwa kichwa sana wakati yuko Mazengo na hata UDSM sema siasa haikuwa sehemu nzuri sana kwake na kitengo alichopo pia mmhhh!
 
Kwa matendo anayofanya huyu jamaa ni sawa na kudhalilisha elimu ya UDSM. Kitendo cha kuchana na kutupa bajeti ya mmbadala ya upinzani bungeni, ni dharau tosha kwa msomi mwenzako. (kinyume na code of ethics). Matamshi aliyokuwa anatoa Bungeni, utajua jamaa hajaenda shule au ni USHAMBA NA UMASIKINI aliokulia UMEMUATHIRI KIFIKRA. Kitendo cha kuruhusu wafuasi wake kumvisha Mbwa bandera ya CDM ni udhalilishaji wa ELIMU YA UDSM na Walimu waliomfundisha.
Lakini ukweli ni kwamba VIPANGA wengi wanakosa social skills na hawafiti ktk jamii. Hili jamaa kama inekuwa Ulaya angeitwa "He is danger to himself and society" kwa hiyo angewekwa ktk Hospitali za vichaa

kama huna hoja ni bora ukae kimya!
 
we ni kilaza kweli,vipi kuhusu mwalim wake kityila mkumbo na vibaraka wake walioenda kuua huko ndago?vp kuhusu huyo mhuni/chizi wa ubungo aliewatukana watanzania wote bungeni?au ndio mkuki kwa nguruwe?mwigulu lazima akutieni adabu mana hamjafunzwa na mama zenu.

Mbona umejitukana mwenyewe? Hivi ccm mnaipendea nini wenzetu?
 
First class economist haishi vituko.

Lakini tukianza kutafuta wanaodhalilisha UDSM wako wengi, tukianzia na Mkuu wa Kaya mwenyewe.

Katika jamii zinazopenda wanyama, hususan mnyama rafiki wa binadamu kama mbwa, kumvalisha mbwa bendera ya CHADEMA ni kuipa ujiko CHADEMA kwamba inakubalika si na binadamu tu, mpaka na mbwa.
 
Wasomi wengi wa Tanzania wana ugonjwa wa entitlement; wanajisikia kuwa elimu yao ya shuleni inawafanya wawe entitled kwa mambo mengi ya kifahari na kuheshimiwa. Wanaonyesha hivyo kila wanapopata nafasi zinazoendana na mambo hayo. Wakiwekwa kwenye nafasi za kuikusanyia serikali mapato, wanaiba sehemu kubwa ya mapato hayo. Wakitumwa kuandika mkataba kwa manufaa ya nchi wanaiuza nchi kupitia mikataba hiyo. Hilo ni swali nimewahi kujiuliza hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom