CHIEF MVUNGI
Member
- Apr 6, 2012
- 99
- 15
Jamani huyu M***** msiwe mnatanguliza neno mh mkiwamnamjadili humu
Jifunze kumuelewa mtu! Hapo anamaanisha ma-lecturer wa UD wanamfundisha mtu na hatimae mtu kubadilika hadi matendo na siyo kufaulu tuu mitihani !!. Mtu unatakiwa kuwa critical towards occations, then count ten before you decide. Sio kukurupuka na kufanya vitu vyenye ishara tosha ya Emotional and behavioral dis order.
Kweli ukiwa si miongoni mwa Great Thinker! Lakini wengi wanailewa nini kilichomaanishwa
Ha! Mwigilu kawashika sehemu mbaya
Kama wewe ni mchawi, kazi imekushindwa, na Tubu kwa Mola wako. Nilipata nafasi na kumaliza UDSM, Kama ulienda Chuo, basi hauta kuwa na shida kunielewaAcha kutuhadaa we victim uliyekosa Udsm! Habari yako imekaa kinafiki sana
Nenda kafute kipengele cha freedom of speech ndani ya katiba ya nchi, then nitakaa kimya.kama huna hoja ni bora ukae kimya!
we ni kilaza kweli,vipi kuhusu mwalim wake kityila mkumbo na vibaraka wake walioenda kuua huko ndago?vp kuhusu huyo mhuni/chizi wa ubungo aliewatukana watanzania wote bungeni?au ndio mkuki kwa nguruwe?mwigulu lazima akutieni adabu mana hamjafunzwa na mama zenu.
acha porojo zako walimu wa UDSM hawako pale kufundisha siasa
labda kwa wale wa political science
nchi hii imejengwa na wengi waliopitia pale
Kwa matendo anayofanya huyu jamaa ni sawa na kudhalilisha elimu ya UDSM. Kitendo cha kuchana na kutupa bajeti ya mmbadala ya upinzani bungeni, ni dharau tosha kwa msomi mwenzako. (kinyume na code of ethics). Matamshi aliyokuwa anatoa Bungeni, utajua jamaa hajaenda shule au ni USHAMBA NA UMASIKINI aliokulia UMEMUATHIRI KIFIKRA. Kitendo cha kuruhusu wafuasi wake kumvisha Mbwa bandera ya CDM ni udhalilishaji wa ELIMU YA UDSM na Walimu waliomfundisha.
Lakini ukweli ni kwamba VIPANGA wengi wanakosa social skills na hawafiti ktk jamii. Hili jamaa kama inekuwa Ulaya angeitwa "He is danger to himself and society" kwa hiyo angewekwa ktk Hospitali za vichaa
kwani wewe kwa uelewa ulionao CHUO KIKUU KWA HAPA TANZANIA NI UDSM TU? tupe maoni yako REJAO PAMOJA NA TUMBIRI TUPENI MAELEZO. NA vile vingine tunavyovijua tuviweke kundi gani WATZwenzangu? nipeni jibuMajeruhi waliokosa admission UDSM utawajua tu.
Kama kuna mtu amesoma elimu ya juu bila kupitia UDSM consider yourself kilaza (Rejao, 2012)
Kwani wewe kwa uelewa ulionao CHUO KIKUU KWA HAPA TANZANIA NI UDSM TU? Tupe maoni yako. REJAO PAMOJA NA TUMBIRI TUPENI MAELEZO. NA vile vingine tunavyovijua tuviweke kundi gani WATZ wenzangu? nipeni jibu