Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Status
Not open for further replies.
Kwa matendo anayofanya huyu jamaa ni sawa na kudhalilisha elimu ya UDSM. Kitendo cha kuchana na kutupa bajeti ya mmbadala ya upinzani bungeni, ni dharau tosha kwa msomi mwenzako. (kinyume na code of ethics). Matamshi aliyokuwa anatoa Bungeni, utajua jamaa hajaenda shule au ni USHAMBA NA UMASIKINI aliokulia UMEMUATHIRI KIFIKRA. Kitendo cha kuruhusu wafuasi wake kumvisha Mbwa bandera ya CDM ni udhalilishaji wa ELIMU YA UDSM na Walimu waliomfundisha.
Lakini ukweli ni kwamba VIPANGA wengi wanakosa social skills na hawafiti ktk jamii. Hili jamaa kama inekuwa Ulaya angeitwa "He is danger to himself and society" kwa hiyo angewekwa ktk Hospitali za vichaa

Mkuu..maombi ya marekebisho ya heading..huyu anaitwa mwigulu nchemba..mheshimiwa ni mtu anayejiheshimu yeye kwanza.
 
Kina mwigulu ni zao la udsm na mafisadi wengi wataalum wengi wametoka udsm ndiyo hata dhaifu mkuuu wa nchi katoka udsm wachakachu
 
UDSM kile chuo kimeliharibu hili taifa sana product nyingi za pale ni matatizo

Mia mia mkuu UDSM imefanya taifa liwe dhaifu kama ilivyo CCM

Kina mwigulu ni zao la UDSM na mafisadi wengi wataalum wengi wametoka UDSM ndiyo hata dhaifu mkuuu wa nchi katoka UDSM wachakachu

Majeruhi waliokosa admission UDSM utawajua tu.

Kama kuna mtu amesoma elimu ya juu bila kupitia UDSM consider yourself kilaza (Rejao, 2012)

 
Mkuu..maombi ya marekebisho ya heading..huyu anaitwa mwigulu nchemba..mheshimiwa ni mtu anayejiheshimu yeye kwanza.
Mkuu Sijakuelewa kabisa,
This is my guess!Mh Mwigulu anajiheshimu sana? If so, asinge kubali ndani ya mkutano wake uvunjifu wa amani. Kama ingekuwa Mnyika/Lema, tungesikia Policcm wanamshikilia.
Acha ushabiki, kwani upuuzi kama tukifumbia macho, then damu zitamwagika
 
Ha! Mwigilu kawashika sehemu mbaya

kimsingi huko si kuishika chadema pabaya, bali ni upofu wa siasa za ushinda na mikakati halisia ya ushindani wa kisiasa.hakuna sheria ya vyam vingi vya kisiasa inayosema ushindani ni kuharibu mali za vyama vingine, wala hakuna sheria inayokubali mumdharilisha mtu, chama, taasisi, au asasi.Kufanya hivyo si ushindani wa kisiasa bali ni ujambazi na uvunjivu wa sheria za nchi.chadema ina mali zake na rasilimali zake zikiwemo bendera , hivyo kumvisha mbwa, maanake ni kuharibhama na kuidharilisha taasisi ya chama cha chadema ambayo ipo kisheria na inatambulika kama legal body inayoweza kushitaki.
Kwa hiyo vyama vya siasa vipo kuonyesha ushindani wa sera, uongozi kwa mantiki ya kuwaendeleza wananchi wake.lakini hili si namna yeyote inayokubalika kisiasa hasa za ushindani bali ni ujuha mpevu.
 
Sidhani kama anawadhalilisha walimu wa UDSM nadhani anaidhalilisha familia yake, wazazi wake na ndugu zake.
 
usiwasingizie walimu, ni ushamba wake tu, huo ukipanaga unaousema hana, hawa ndio waliokuwa wanakesha na wanakalili tu, maana yeye anaonekana kasoma lakini hakuelimika
 
Waacheni hata wanyama wapeperusha bendera yetu. Peopleoooooooooooooooooooooooz!
 
Anawakimbiza mno ndo mana mmemgeuza topic of the week.na mpaka mtasambaratika tu.
 
usiwasingizie walimu, ni ushamba wake tu, huo ukipanaga unaousema hana, hawa ndio waliokuwa wanakesha na wanakalili tu, maana yeye anaonekana kasoma lakini hakuelimika

mwalim wake alieua huko ndago ndio ameelimika?acheni uzuzu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom