Mh. Membe atoa kauli nzito Bungeni kuhusu Malawi!

Mh. Membe atoa kauli nzito Bungeni kuhusu Malawi!

Hawapo vijana wa KITANZANIA wa aina hii kwa sasa. Wameiua JKT wakidhani ni gharama sana kuiendesha! Vijana wa sasa wanapigana vikumbo kwenye kutafuta madaraka na vyeo tu. January, Nape, Mnyika, Wenje, Mkosamali, Kafulila, Zitto,..., hakuna aliyepita JKT!
Aliyeua JKT ni Mwinyi. Halafu akamkaribisha Kamuzu Banda kwenye Ikulu yetu. Go figure.
 
UPDATE!

Wiki iliyopita, Bunge liliahidiwa kuwa leo, Jumatatu, Serikali ingetoa tamko kuhusu suala la mpaka wa Ziwa Nyasa/Malawi.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ametimiza ahadi hiyo Bungeni leo kwa kutoa kauli ambayo imenukuliwa kwenye audio iliyopachikwa hapa. Tafadhali bofya kifute cha pleya kuisikiliza.


[TABLE="class: wsite-multicol-table"]
[TR="class: wsite-multicol-tr"]
[TD="class: wsite-multicol-col"]

[/TD]
[TD="class: wsite-multicol-col"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[h=2]Suala la Mpaka Kati ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa[/h]65. Mheshimiwa Spika, lipo tatizo la muda mrefu kati yetu na nchi jirani ya Malawi linalohusiana na mpaka kwenye Ziwa Nyasa. Tatizo lenyewe ni kwamba Malawi wanadai kuwa Ziwa lote Kaskazini ya Msumbiji kuelekea Ruvuma na Mbeya ni mali yao kwa mujibu wa Mkataba wa Heligoland uliowekwa saini tarehe 1 Julai 1890.

66. Mheshimiwa Spika, Tanzania kwa upande wetu tunasema kuwa mpaka wa kweli kati yetu na Malawi unapita katikati ya Ziwa hivyo kufanya eneo lote la kaskazini mashariki ya Ziwa kati ya Latitude digree 9° na digree 11° kuwa mali ya Tanzania kwa mujibu wa Mkataba huo huo wa Heligoland (Ango-German Agreement) wa mwaka 1890 ambao ulikubali kuwa kwa vile kuna maeneo ya mpaka ambayo hayana mantiki, pande zinazohusika zikutane na kurekebisha kwa kuunda “Border Commissions”. Aidha, tunazo ramani ambazo Waingereza wenyewe (ambao wakati huo walikuwa wakitawala Nyasaland na Tanganyika) walikubaliana kurekebisha na hivyo kusogeza mpaka katikati kama ulivyo mpaka kati ya Malawi na Msumbiji.

67. Mheshimiwa Spika, kutokana na tatizo hili, mwaka 2005 Marehemu Rais Bingu wa Mutharika, alimwandikia Rais wa awamu ya tatu Mheshimiwa Mkapa akimtaka waunde Kamati ya kuliangalia tatizo hilo na kulipatia ufumbuzi. Awamu ya Nne ikaendeleza kwa kuunda Kamati ya Mawaziri wa Mambo ya Nje kuliangalia tatizo na kulitolea mapendekezo. Kama zilivyokutana mwaka 2010, mwaka 2012 zilikutana tena ili kuendeleza mazungumzo ya mwaka 2010 na pia kujadili matukio ya kuonekana kwa ndege ndogo ndogo za utafiti wa mafuta na gesi kwenye Ziwa Nyasa zikitafiti hadi pwani ya Ziwa hiloupande wa Tanzania.

68. Mheshimiwa Spika, baada ya majadiliano makubwa kati yetu na Malawi, Serikali yetu iliwataka wenzetu wa Serikali ya Malawi pamoja na kampuni za utafiti au uchimbaji kusitisha mara moja shughuli zote za utafiti hadi majadiliano yatakapokamilika. Ni matumaini yetu kuwa wenzetu wa Malawiwametuelewa. Hata hivyo, kuna uwezekano mkubwa wa mgogoro huu mbele ya safari kutatuliwa na Msuluhishi badala ya sisi wenyewe.

69. Mheshimiwa Spika, sehemu ya pili ya mgogoro bado iko mezani kwa majadiliano. Kufuatia maelekezo ya Marais wa pande mbili, Mawaziri wa Mambo ya Nje na wataalamu wetu wa masuala ya mipaka, ulinzi na usalama tulikutana Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2012 kujadili kwa kina mgogoro na kuupatia suluhu ya kudumu. Majadiliano yanaendelea vizuri na tumekubaliana kuwa wakati tukiendelea na mazungumzo, nchi zote zijiepushe na shughuli zozote kwenye Ziwa Nyasa ambazo zinaweza kutafsiriwa kuathiri maslahi ya nchi mojawapo. Kwa makubaliano haya, naomba niwatoe hofu wananchi wa mikoa ya Mbeya na Ruvuma kuhusu hali ya usalama mpakani mwa nchi yetu na Malawi. Chini ya uongozi wa Serikali ya CCM, wananchi waTanzania daima watakuwa salama dhidi ya tishio lolote la dhahiri au la kificho la kiusalama. Tumefanya hivyo tokea uhuru na hatutachelea kufanya vinginevyo wakati wote tukiwa madarakani. Hili limeelezewa katika Ibara ya Nane, aya ya 191 na 192 ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 - 2015.




Hotuba nzima ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapatikana: ForeignTanzania.blogspot.com

588455598.jpg



Source: wavuti - wavuti
 
Tanzania inategemea general international law inayosema kwamba nchi mbili zinazopakana na water body zita-share hiyo body na mpaka utakuwa katikati ya water body husika. Malawi wanajibu wanasema sheria hiyo inatumika kusipokuwa na treaty, hivyo kwa Ziwa Nyasa kwa kuwa kuna hiyo treaty sheria ya kimataifa hai-apply. Sijui Tz tuna argument gani zaidi?

Ukiamini sana masuala ya treaty, kwa hiyo Egypt ina mamlaka ya matumizi ya mto Nile pamoja na maji ya Lake Victoria. Sawa?
 
Ukiangalia military rank kati ya Malawi na Tanzania kwa mwaka 2012,kadri ya CIA report Malawi ni ya 112 na Tanzania ni ya 169!!

Ungeeleza kwa undani kwamba hizo nafasi zimehesabiwa kwa kigezo cha asilimia ya pato la taifa linalotumiwa kila mwaka kwa ajili ya jeshi. Wanaweza wakawa wanatumia kutuzidi, ila hadi sasa thamani ya zana za kivita za Tanzania ni mara 42 ya zile za Malawi.
 
[h=1]Cold war over Lake Malawi continues: Ghost of Kamuzu, Nyerere revisit Malawi[/h]
By Wise One From East and Garvey Karvei
August 1, 2012 · 58 Comments Email This Post

Malawi: 2012, July: "But our terms are clear on this. According to the 1890 ecoland agreement between Britain and Germany, the border between Malawi and Tanzania is the edge of the waters of Lake Malawi. So we are very clear about that but we will continue to engage with Tanzania as a good neighbour," Patrick Kabambe, Principal Secretary, Principal Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Malawi quoted by Malawi's Daily Times.
Tanzania: 2012, July: "We don't want Tanzanians to ask for permission from Malawi to fetch water or fish from Lake Nyasa. If we don't reach a consensus, we will take recourse in international law." Tanzania‘s Attorney General Judge Frederick Werema, responding to a concern from the Member of Parliament for Mbeya Region (special seats), Hilda Ngoye.
Ms Ngoye had charged that the Malawian tourists and fishing boats have been trespassing on Tanzanian territorial waters at will, https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...zania-malawi-row-over-lake-nyasa-again-5.htmlescalating tensions.
"Tanzanians around Lake Nyasa's shores have the right to fish or engage in other productive activities on the lake, without being intimidated," she had told the Tanzanian parliament, demanding an explanation from the government on the status of the border between Tanzania and Malawi.
nyerere_receiving_kamuzu_banda-300x243.jpg
Kamuzu and Nyerere
The gist of the dispute:
T he dispute is about who owns what is, as far as Malawians are concerned, Lake Malawi and as far as Tanzanians are concerned, Lake Nyasa.
According to Malawi, this isn't even a subject for debate. Malawi owns 100% of Lake Malawi and if we are to go by the vision of Malawi's founding president, Dr. Hastings Kamuzu Banda, Malawi just like its predecessor the Maravi Kingdom should in facthttp://www.iss.org.za/pubs/Books/Evol_Revol Oct 05/Chap5.pdf extend to some parts of present day Tanzania and even Mozambique.
According to Tanzania on the other hand, the lake is shared and the <span style="text-decoration: underline;http://edocs.nps.edu/npspubs/scholarly/theses/2011/June/11Jun_Msafiri.pdf boundary of these two neighbouring countries should follow the median line in Lake Nyasa.
This is the official stance of the Tanzanian Government hence any Malawian activity beyond this line are deemed "trespassing". The Historical Context; This dispute traces its origin to the Berlin Conference, and trouble is rooted in the Berlin Act of 1885, that was signed by the 13 European powers that attended the conference that formalised the BBC - History - British History in depth: Slavery and the 'Scramble for Africa'
Scramble for Africa
According to documents on the demarcation of the border around Lake Nyasa encapsulated by the Anglo-Germany Treaty of July 1, 1890 &#8211; verbatim &#8211; the border runs as below:"To the south by the line that starts on the coast of the northern border of Mozambique Province and follows the course of the Rovuma River to the point where the Messinge flows into the Rovuma. From here the line runs westward on the parallel of latitude to the shore of Lake Nyasa. Turning north, it continues along the eastern, northern, and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the http://germanhistorydocs.ghi-dc.org/pdf/eng/606_Anglo-German Treaty_110.pdf"mouth of the Songwe, Tanzania, of course, doesn't agree with this, with Tanzanian scholars calling this demarcation http://edocs.nps.edu/npspubs/scholarly/theses/2011/June/11Jun_Msafiri.pdf.
Put to Kamuzu Banda by Tanzania's Julius Nyerere that the map between independent Malawi and Tanzania should follow the median line, in his unique blunt style Dr. Banda responded as below: "We will never recognize or accept this claim: we will never agree to the suggestion or proposal. The Lake has always belonged to Malawi&#8230;.Everyone knew Nyerere as a coward and communist inspired jellyfish: We know while pretending to be a staunch supporter of the OAU, Nyerere is the worst agitator and betrayer of the cause for which the Organization was formulated. History, geography or even ethnical knowledge will convince Nyerere that four districts to the South of Tanganyika belong to us by nature. It is only that we respect the feasible unification of Mother Africa that we do not claim these districts. All that we are doing is setting [sic] historical truth."
Dr. Banda in 1962 reinforced his claim in addition to the authority of the Anglo-Germany Treaty of July 1, 1890 with some maps from the "http://www.societyofmalawi.org/talks/nationalarchives.pdf. He even went as far as suggesting to Mwalimu Julius Nyerere that a part of http://www.ajol.info/index.php/asr/article/viewFile/23256/19939Mozambique was supposed to be part of Malawi&#8211; then still Nyasaland.
But as is usually case in any dispute, Tanzania is equally able to produce maps that show the median as the boundary, but such maps have never disputed the contents and spirit of the Anglo-Germany Treaty of July 1, 1890.
Pre-Independence Treaties and the Lake Malawi /Nyasa dispute:
The reason this dispute will not disappear any day soon is rooted in Malawi's and Tanzania's divergent views vis-à-vis pre-independence treaties including the Anglo-Germany Treaty.
Julius Nyerere, as the first Tanganyika Prime Minister, prepared a policy document for implementation after independence in which the Secretary-General of the United Nations was informed thus:
"As regards bilateral treaties validly concluded by the United Kingdom on behalf of the territory of Tanganyika, or validly applied or extended by the former to the territory latter, the Government of Tanganyika is willing to continue to apply within the territory, on a basis of reciprocity, the terms of all such treaties for a period of 2 years from the date of independence [i.e. until 8 December 1963] unless abrogated or modified by mutual consent. At the expiry of that period, the government of Tanganyika will regard such of these treaties, which could not by the application of the customary international law be regarded as otherwise surviving, as having terminated."
As a result, http://edocs.nps.edu/npspubs/scholarly/theses/2011/June/11Jun_Msafiri.pdf Tanzania refused to recognize the treaties that naturally gave the lake to Malawi on independence on 6 July 1964 since its allegiance to such expires on December 8, 1963.
And this was the major recipe for this dispute because, it meant that in practice; Malawi and Tanzania now had different points of reference, which explains the continued stand-off.
Parties that have different points of reference in any argument are as good as parallel lines. They can never meet. In the least, it explains where Malawi and Tanzania are at, with respect to Lake Malawi a.k.a Lake Nyasa.
In all likelihood, Dr. Banda would have viewed such a policy, which was supposed to be outward looking but designed in a way that only serves internal interests, with utter contempt.
Any merit in Tanzania's claim to half the lake?
Having said all this one then wonders if Tanzanians are mad to be claiming half the lake and on what basis some map makers show the median line as the boundary. There are several International Conventions that deal with rights associated with water.
Rights associated with water that is not flowing are called littoral. Generally land beneath non-sovereign lakes are owned by the surrounding upland owners. When all the deeds call to the lake, each owner has title to a centre point. This principle is referred to riparian rights and is the basis for Tanzania's claim.
Should Malawi buy this?
From the statement of Patrick Kabambe, Malawi's Principal Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, this seems like a far-fetched idea and one is tempted to subscribe to this thought.
"Indeed, we went for discussion on the border issue and we categorically put it to them that as far we are concerned, the entire lake belongs to Malawi."
The point is: if one person unilaterally decides to annul existing international treaties (like the Anglo-Germany Treaty &#8211; which by the way is all there is on this &#8211; and both Tanzanians and Malawians were not represented which makes them both victims); why should another person suffer from subscribing to the treaty?
Advice to Malawi: Let's by all means meet, eat, drink together, and talk with Tanzania. But the talking will not undo the Anglo-Germany Treaty.
As Dr. H. Kamuzu Banda used to say, we are all brothers and sisters &#8211; the maps and divisions were imposed on us by the colonialists; therefore, let us all (Malawians and Tanzanians) fish and swim in the beautiful Lake Malawi.
But please, our brothers and sisters from across the border shouldn't stop us from exploring ventures that can lift our livelihood and economy.
Just as the learned Tanzanian scholar,http://edocs.nps.edu/npspubs/scholarly/theses/2011/June/11Jun_Msafiri.pdf, quoted William Shakespeare &#8211; Merchant of Venice, we will go a step further and paraphrase the same: Tanzania will be taking our lives, if Tanzania takes away the means by which we want to prosper and live!
 
Ungeeleza kwa undani kwamba hizo nafasi zimehesabiwa kwa kigezo cha asilimia ya pato la taifa linalotumiwa kila mwaka kwa ajili ya jeshi. Wanaweza wakawa wanatumia kutuzidi, ila hadi sasa thamani ya zana za kivita za Tanzania ni mara 42 ya zile za Malawi.

Naungana na wewe mkuu,Lakini napenda kuongezea hili kuwa hata kwa matumizi ya jeshi kwa mwaka hawatuzidi,ukiangalia pato lao la mwaka ni tsh ngapi na hela inayokuwa allocated kwenye jeshi ni ngapi utakubaliana na mimi!Hawa kama hawataki mazungumzo ni kuwatandika tu.
 
hili ni swala kubwa.Rais inabidi ndio atoe tamko rsmi sababu yeye ni amiri jeshi mkuu na swala la kupokonywa eneo na nchi ya malawi ni kubwa.
 
Good show!!!!

Uchokozi wa Malawi nauona katika jambo moja tu hata kama ziwa Nyasa ni la kwao na sisi tunasema hapana tuna sehemu yetu ...... Hawana budu kuwa waungwana kumaliza mgogoro mezani hata ikibidi kuitumia jumuia ya kimataifa kuliko kupuuza mazungumzo na kuendeleza miradi ndani ya ziwa.............. Hizi ni dharau hata kwa Rais mnayemuita ni dhaifu hawezi kuvumilia ubinafasi huu.

kama kweli malawi wana ushahidi kwa kutosha kwa nini hawakimbilii kusuluhishwa na jirani yao (Tanzania) wao wanakimbilia kuingiza makampuni ya utafiti wa mafuta ziwani?

Hawa jamaa sio wa kulealea. Hebu angalia toleo la leo the Nyasa times

[h=1]Columns[/h][h=1]Lake Malawi/Nyasa row: Time to show strong leadership[/h]
By Cedrick Ngalande
August 6, 2012 · 15 Comments Email This Post

At around the time of independence quite a few people in Tanzania wanted to claim a huge part of Lake Malawi or Lake Nyasa . Cool heads eventually prevailed, as most Tanzanians, including the legendary President Julius Nyerere, understood the importance of respecting boundaries emanating from colonial times.
During most of Dr Kamuzu Banda’s rule, Tanzania never really pushed this crazy idea of dividing up the lake. The issue was almost forgotten during the rule of Dr Bakili Muluzi and thereafter. In fact, Dr Bingu wa Mutharika commissioned a company to start exploring oil in the lake. Tanzania said nothing at that time.
Now we have a new president and all of sudden the Tanzanians are demanding that our government stop all exploration activities in the lake until all border issues have been clarified. Why now?
Folks, there is a reason why we have tradition. Tradition may appear useless and outdated but it is important because it usually become established after a long experience. In politics there is what is known as ‘presidential protocol’. These are small things which over the years have proven to be niceties a president must or must not do in order to represent his/her country correctly.
Test for President Joyce Banda to diplomatically manage the dispute on the boundary
You would think some of them are not important but they are. Here are a few of them – presidents never bow for other presidents in public; presidents never escort anybody to their car; presidents walk with their arms spread outwards apparently projecting power and being in control; presidents usually put on a solid color (one color) necktie because it portrays power; when two presidents greet each other while facing the camera, each of them jostle to be on the right side so that his palm will face the camera- another sign of power, apparently; when in company of other presidents, they try to be the last one to enter the door – a fatherly gesture; there is an interesting video clip of Chairman Yassier Arafat and PM Ehud Barak jostling to be the last one to enter a room at Camp David. The sight of President George W Bush gently pushing PM Gordon Brown into Number 10 Downing Street before himself angered some British political experts.
Statesmanship is a game because image is everything in international politics. A country’s image depends a lot on the demeanor of its leader. President Barak Obama likes to pat other leaders on their back after greeting them; you thought that was an unplanned coincidence? Just remember, how your father used to pat you on the back when you were a good boy!
It is said that Bill Clinton failed to get a good deal at his summit with Boris Yelsin in Moscow because President Clinton having sprained his ankle arrived in Moscow on a wheelchair. The sight of a sick American president is said to have psychologically emboldened Boris Yelsin. Ghana is said to have regained its respect in West Africa when President J.J. Rawlings arrived at the 25th Organization of African Unity meeting in Togo in July 2000 in a military uniform portraying a very youthful image.
The presidency is acted on a world stage. What a president says and does is very important!
When Joyce Banda took over the presidency, she made it appear like Malawi will now be doing everything the donor community tells her to do. In fact some British newspapers were so pleasantly surprised with this that they called us ‘a donor fearing nation’.
President Joyce Banda went to London and even bowed before Queen Elizabeth, a very strange gesture considering that both are heads-of-state. Well, all these words and actions have now collectively given an image of a weak leadership in Malawi. The world has sensed blood. Now Tanzania has decided it is time to split up the lake. Notice that they did not bring up this crazy idea when Muluzi or Mutharika were in charge.
If we dignify Tanzania’s unreasonable request, one wonders what the next thing will be. Are they now going to claim Chitipa? Will Mozambique now claim Mulanje Mountain?
Government must make clear that no part of Malawi is up for discussion – full stop! It is time to show strength. Tell Tanzania that Lake Malawi was, is and will always be Malawian.
Surprisingly, after all these arrogant statements by the Tanzania government, our government’s response is at best a whimper. The minister of foreign affairs has issued a statement saying the issue will be settled ‘amicably’. Really, Mr. Minister? What could be an amicable statement? Are you planning to even dignify Tanzania’s unreasonable demand? Do you plan to divide up the lake? How can you have an amicable settlement to an unreasonable demand?
 
Ukiamini sana masuala ya treaty, kwa hiyo Egypt ina mamlaka ya matumizi ya mto Nile pamoja na maji ya Lake Victoria. Sawa?

Treaties are one of the sources of international law, both multilateral and bilateral. Kwa hiyo Malawi wana haki ya ketegemea treaty, kama ipo. Issue sio whether it is fair or not, issue is whether it is legally binding today or not.
 
Gramsa,

Lakini heshima ya wafalme inatambuliwa na Marais. Heshima ya maPapa hali kadhalika. Kumwonesha mtu heshima hakuna maana kwamba umejiweka chini yake. Hata Obama aliwahi ku-bow mbele ya mfalme wa Saudi Arabia
Angalia hapa;
Obama Bows to Saudi King - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Mh. Membe tumekusikia tena umechelewa, hii kauli ingetoka wiki iliyopita. Laiti kama angeitoa AMIRIJESHI MKUU mwenyewe vijana tukaanza kupiga jaramba.

Mkuu mambo hayaendi hivyo. Amiri Jeshi akitoa tamko hakuna kupiga jalamba watu tunaingia front moja kwa moja! Unadhani kwamba kwa sasa hatupigi jaramba? Huwezi ukawa katika hali kama hii kisha watu wake tu wakisubiri CIC atoe tamko mnakuwa mnapiga jaramba tena la nguvu mkisubiri tu tamko muanze kazi. Kwa sasa tunanoa panga mzee!
 
angalieni msije mkawa mmmetupiwa mfupa wa kongoro mnyang'anyane halafu watu waendelee na dili zao!
 
Hivi hao wanajeshi hawajafika katikati ya ziwa tu? Naomba taarifa wakuu, kama hawajafika wanasubiri nini?hawajui wajibu wao? Mpaka raia aseme ndio Askari ukumbushwe wajibu wako? Mwamnyange, Hauna jeshi???? Kama hauna, ajiri vijana has a wale wakurya wanaojua kuogelea ziwa Victoria ,wadive wakazilipue Hizo meli za Malawi zilizopo Kwenye maji ya tz, hicho kiherehere cha Malawi kitakoma Mpaka warudi tena UN.
 
Hivi hao wanajeshi hawajafika katikati ya ziwa tu? Naomba taarifa wakuu, kama hawajafika wanasubiri nini?hawajui wajibu wao? Mpaka raia aseme ndio Askari ukumbushwe wajibu wako? Mwamnyange, Hauna jeshi???? Kama hauna, ajiri vijana has a wale wakurya wanaojua kuogelea ziwa Victoria ,wadive wakazilipue Hizo meli za Malawi zilizopo Kwenye maji ya tz, hicho kiherehere cha Malawi kitakoma Mpaka warudi tena UN.

ha ha ha ha ha
 
hii ni report ya usa
Malawi &#8211; Tanzania (Tanganyika and Zanzibar)
Boundary
(Country Codes: MI-TZ)
The Geographer
Office of the Geographer
Bureau of Intelligence and Research
 
hili ni swala kubwa.Rais inabidi ndio atoe tamko rsmi sababu yeye ni amiri jeshi mkuu na swala la kupokonywa eneo na nchi ya malawi ni kubwa.

watu washaenda huko mbeya
 
Back
Top Bottom