Mh. Membe atoa kauli nzito Bungeni kuhusu Malawi!

Mh. Membe atoa kauli nzito Bungeni kuhusu Malawi!

Ukiangalia military rank kati ya Malawi na Tanzania kwa mwaka 2012,kadri ya CIA report Malawi ni ya 112 na Tanzania ni ya 169!!

Hata kama utatataka tuamini hiyo ranking,hii ni kwa afrika au duniani? morari nazo CIA wanazisemaje? Historia hujirudia, japo sina ranking za Tanzania dhidi ya Uganda kabla ya ile vita ya Kagera, silaha walizokuwa nazo waganda zilituzidi sana! Muujiza uleule upo ninauona live!
 
sisi vijaaaaaaaaaanaaaa,vijanaaa vijana tayariiiii

kulitumikiaaaaaaaaaa

taifaaa taifaaa taifaaa

kulitumikiaaaaa taifaaa taifaaa tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hawapo vijana wa KITANZANIA wa aina hii kwa sasa. Wameiua JKT wakidhani ni gharama sana kuiendesha! Vijana wa sasa wanapigana vikumbo kwenye kutafuta madaraka na vyeo tu. January, Nape, Mnyika, Wenje, Mkosamali, Kafulila, Zitto,..., hakuna aliyepita JKT!
 
Kusema mbali vitendo mbali tunataka action pelekeni makomandoo wavunja matofali kwa kichwa wakalinde kule!
 
SAFI sana Benard Camillius Membe. Hii Kauli kali was long overdue. Tunataka tuone JWTZ wakianza kwenda kwenye mpaka wa Malawi kumuonesha Joyce Banda we are serious. Tamko hili liambatane na VITENDO hatutaki U-CCM wa KAULI MANENO MATUPU.

Huyu Joyce Banda anatikisa kiberiti amuulize marehemu Idd Amini Dada!
 
kwa kweli nimependa speech mh. Benard Membe inaonesha ni jinsi anaplay part yake katika kazi yake ,watanzania inabidi tuungane pamoja na tuache tofauti zetu kwani hili suala ni la kitaifa..watanzania walio ziwa nyasa ni sawa na watanzania walio maeneo mengine ya TANZANIA...hivyo ni vyema kumuunga mkono waziri membe..kwani tatizo lilkitokea litatugharimu watanzania wote kwa ujumla na mambo mengine hayataenda....nakubaliana na maneno yake kuwa "TANZANIA ITAHAKIKISHA INALINDA MIPAKA YA NCHI YAKE KWA GHARAMA YEYOTE ILE"....na hii kauli kwa nilivyomulewa si kwa malawi tu ni kwanchi zote ambazo zitaingilia mipaka yetu ....hivyo kuwataka hao wamalawi wasitishe shuguli za kiutafiti katika ziwa hilo...huu ndo wakati wa kuonesha umoja wetu kama watanzania na sio kuleta habari za uvyama,ukanda au ukabila...ni maoni tu
 
Hivi hayo mazungumzo yanalenga nini? Malawi tayari wamechukua ziwa lote, sisi tunang'ang'ania mazungumzo! Mazungumzo Mazungumzo mpaka lini. Piga huyo mama ngumi moja ya pua na aambiwe ziwa hili ni nusu kwa nusu. Full stop.
 
Jana vifaru vimepita hapa Bukombe vikitoka kagera nafikiri vinaelekea huko.
 
Chokochoko hizi ziliwah fuka mwaka1979,zikazima sasa wanarud tena,dawa hapa ni kutumia jesh kuwadhibit hao wataft wa oil
 
Historia ipo wazi wakoloni walivyogawa mipaka kwenye mkutano wa Berlin mwaka 1884 Tanzania na Malawi upande wa Ziwa Nyasa ulikuwa katikati ya ziwa hilo...sasa sijui wewe hiyo umeipata wapi, ngoja nikukumbushe kuna wakati kulikuwa na mgogoro kama huu kati ya Libya na Chad, kulikuwa na eneo lililokuwa na mafuta, Libya ikitaka kulichukuwa kwa nguvu lakini Chad ilikuja kushida kwa sababu eneo lilikuwa lao kwa mujibu wa mipaka ya kikoloni.
Je waweza kutuwekea ramani ya tanganyika baada ya hiyo berlin conference au hiyo mikataba?
Maana wamalawi wameleta hiyo heligoland treaty na upuuzi, wake, na wengine wamekuja na sheria ya mipaka ya bahari , mito, ziwa littoral law na riparian law.
 
nimesoma hiyo heligoland treaty , ilikuwa ni kwamba mjerumani na muingereza wanabadili mipaka ili kupeana strategy advantages kwenye sehemu ambayo mojawapo hana kitu fulani, sasa nawaza katika kupeana ziwa nyasa bin kamuzu banda nini kilikuwa trade off? mpaka nimeona bismark wa ujerumani alikuja tamkaa baadae kwamba hiyo treaty ni sawa na kuuza suruali na kununua kifungo.
 
If we dignify Tanzania's unreasonable request, one wonders what the next thing will be. Are they now going to claim Chitipa? Will Mozambique now claim Mulanje Mountain?
Government must make clear that no part of Malawi is up for discussion – full stop! It is time to show strength. Tell Tanzania that Lake Malawi was, is and will always be Malawian.
Surprisingly, after all these arrogant statements by the Tanzania government, our government's response is at best a whimper. The minister of foreign affairs has issued a statement saying the issue will be settled ‘amicably'. Really, Mr. Minister? What could be an amicable statement? Are you planning to even dignify Tanzania's unreasonable demand? Do you plan to divide up the lake? How can you have an amicable settlement to an unreasonable demand?
Lake Malawi/Nyasa row: Time to show strong leadership | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi
 
Kazi kweli sasa tuanze kazi wakuu ni mbeya tunapiga chuma kujiandaa kuwang'oa watafiti eneo letu.
 
Bahati nzuri mie nilikuwa Kyera majuzi, ni kweli kuna movement kubwa sana za makampuni yanayotafuta mafuta na gesi ziwani Nyasa, kwa kifupi Malawi wanadai hawatakubali katu kuachia ziwa hili, kama ni gesi Tanzania iko nyingi tu baharini na nchi kavu eti tuache kuwaganda na kuwasumbua. Katika uchunguzi wangu nikagundua kuwa Waingereza na Waisrael wako nyuma ya kiburi cha Malawi.

Nadhani hawa jamaa wametuchokoza, hebu tuone hicho kikao chao cha mwisho cha tarehe 20 ambacho wanadai hawatarejea tena mezani na kwamba msimamo wao hautabadilika. niwakati mwafaka kuliweka jeshi katika hali ya utayari, kwa kuwa suala la kulinda mipaka yetu halina mjadala, wacha tusubiri tuone, tutawachapa kama tumesimama vile na ushoga wao waliokubaliana na Conservative
 
Mimi ningekua na mawasiliano na Malima ningeomba aniazime smg yake nikaitumie kulinda heshima ya nchi yangu.
kwani ile smg yake si iliibiwa hotelini morogoro? au aliipata?
 
Membe ameshaoteshwa nini? naona safari yake ya kuusaka Uamiri Jeshi Mkuu ndiyo inaanzia Lake Nyasa...
 
Usipende kukurupuka mbona Membe kaeleweka vizuri wewe unataka serikali ifuate mawazo yenu nyie Pro-Chadema msioitakia mema nchi yetu.

Wewe kwa akili yako unataka JWTZ waanze vita ili suala linaitaji mazungumzo mpaka hatua ya vita kufikia mpaka mahakama ya Kimataifa ya Haki (International Court of Justice-ICJ) washindwe.

Malawi wanapoteza muda wanaleta usumbufu tu mkutano wa mwaka 1884 uliofanyika Berlin lazima kila nchi iheshimu mipaka iliyowekwa na wakoloni.
Hivi nani alikwambia kuwa Chadema haiitakii mema nchi yetu? Kwa sababu iko mstari wa mbele kupiga vita ufisadi?
 
tangu jana wanajeshi wa Tanzania wanaelekea huko mpakani...
Ni kweli.., na silaha nzito sana sana sana tayari zipo mpakani.., am tryn my best kuandaa thread kuhusu hali ilivyo sasa pale mpakani na jinsi tanzania ilivyojipanga kikamilifu.., ila am reluctant to write everythn, kiufupi, tupo vzr sana, jana trh 5, zilipelekwa zana nzito sana kwny locations flani flani mkoani mbeya..,
 
Bravio Membe. The statement came very late. hatuwezi kuchezewe na nchi saizi ya ukerewe au na Joyce.
 
tangu jana wanajeshi wa Tanzania wanaelekea huko mpakani...
Ni kweli.., na silaha nzito sana sana sana tayari zipo mpakani.., am tryn my best kuandaa thread kuhusu hali ilivyo sasa pale mpakani na jinsi tanzania ilivyojipanga kikamilifu.., utanzania kwanza, am reluctant to write everythn, kiufupi, tupo vzr sana sana, mobilization ya resources was very quick and relevant to their strength, jana trh 5, zilipelekwa zana nzito sana kwny locations flani flani mkoani mbeya..,
 
Back
Top Bottom