Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
621
Reaction score
434
Mwenyekiti,

SHKAMOO!

Mimi ni mpiga kura mwaminifu wa CDM. Mabomu yote na risasi za Arusha nimenusurika. Mbaya zaidi kwenye mabomu ya mwakajuzi yaliyoua watu watatu mimi nilichabangwa sana. Mimi niko bega kwa bega katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.

Kilichonileta hapa leo ni kukusihi
1. Utuoneshe mkanda wa aliyehusika na kurusha bomu arusha unaothibitisha kuwa ni polisi.
2. Akili ya ziada inaniambia tume huru haitaundwa wala hakutakuwa na kesi halali kwa aliyerusha bomu. Lakini mimi najua kwamba chama chetu kina sera ya kuwashtaki serikali kwa wananchi. Kwa hili, kama tulivyoona kwa Mwandosi naomba kupitia hapa JAMII FORUMS turushiwe vipande hivyo ili tuanze kutoa hukumu kwa hili jeshi la wahalifu yaani polisisiemu.
3.Siasa ni mchezo mchafu.Ili watu kama mimi tusiamini kwamba na chama chetu kina mchezo mchafu, na ili tusiwe na hofu wala kujutia kwa kuwaweka CDM madarakani 2015, na ili tuwe na imani na wewe mwenyekiti wetu kwamba hukuleta propoganda za kisiasa, tafadhali tuoneshe huo mkanda ama chochote ambacho ni ushahidi wa aiyerusha bomu la arusha.
4.CCM wanadai tulijilipua ili upate kura za huruma. Haya ni madai makubwa sana ambayo hayawezi kuvumiliwa nakukaa kimya kusubiri ushahidi upelekwe mahakamani ambako hakuna dalili, hebu mwenyekiti tuyazime maneno haya kwa kuwahukumu CCM kwa sisi wapiga kura wao.
5.Wapinzani wetu wengine wanadai kwamba chama chetu ni seheu ya FREEMASONRY na kwamba maandamano ya M4C ni juhudi za kutoa kafara za damu. Kwamba ni lazima idadi fulani ya watu wafe ndipo tushike dola. Haya maneno ni magumu sana kuliko kuushikilia ushahidi na kuuficha. Kwamba green brigade inahusika na mauaji hayo kwa kushirikiana na baadhi ya wakubwa walioko serikalini wanaotokea kaskazini kwa Tanzania. Njia ya kuzma ufitini huu ni kuanika ukweli hadharani.

MWISHO MWENYEKITI NAKUSIHI TENA NA TENA TUPATIE HUO MKANDA TUENDELEE KUIHUKUMU SERIKALI HII DHALIMU YA CHAMA TWAWALA.

NI MIMI MPIGA KURA WAKO
MPINGAUOEVU.
 
Mh! Unauma na kupulizia au?

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Acha hizo, mkanda utatolewa mahakamani kama sehemu ya ushahidi. Akiutoa leo magamba hawataenda mahakamani tunakokata waende.
 
Mleta uzi una sound kama umetumwa na magamba. Sisi chadema tuna utararibu wetu wa kupeleja malalaniko, mapendekezo, mawazo kwwnye vikao halali vya chama.sasa wewe utakuwa ni gamba na umetumwa na magamba. Huwezi kuja hapa jamiiforum kama ndio suluhisho la jambo nyeti kama hili la mabomu.haya nenda lumumba kachukuwe buku 7 yako.chadema hatuna upumbavu kama huu ulioleta hapa.
 
Hii ndio CHADEMA,M4C,CHAMA CHANGU.
Chama ambacho sera yake kuu ni MAANDAMANO,Chama ambacho Vijana hawafanyi KAZI wanadai Maisha ni MAGUMU, Chama ambacho wafuasi wake wanadhani kuwa viongozi wao hawana MAPUNGUFU.
Chama ambacho viongoz iwakifanya vurugu Bungeni tunawaita MAJEMBE!,Chama ambacho kikiomba mwongozo inaonekana kinajua SHERIA, Chama ambacho wajinga wakifeli mtihani tunawaandalia MAANDAMANO,Chama ambacho Vijana wanalalamika hawana maisha wape dili sasa wanaanza LONGOLONGO.
Hii ndio Chadema bwana!
PIPOOOOOOOOOOZZZ.
 
Achana na kuota ndogo za mchana unadhani CDM wataweza weka wazi huo mkanda? Laa hasha unajisumbua bure kijana mwenzangu kwani kila mpenda maendeleo anajua behind the scene. CDM walifanikiwa kwa hili na kwa hakika huitaji kuwa na PhD kujua hili.

Adhabu ya dhambi ni Mauti na CDM ndicho walichokifanya
 
Ila kiukweli CHADEMA mnaroho ngumi, mnapiga kona wenyewe halafu mnawahi kufunga wenyewe. Mepumbaza wana arusha mna mkanda mnamkanda na mageneza ya mliowaua mebeba ili tu kupata mlichokipata. Lakini sishangai. Ukiona chama kina mtu ambae uongozi wa kiroho ambao alikubali mwenyewe kwa hiari yake ameupiga chini. Sembuse nyie binadamu. Yule mzee kile kikono hakitapona na hawezi kupata uongozi mwingine. Mzee umalaya umefanya aache upadri. Haya sasa unakuja kutafuta mademu uzeeni.
 
Zile camera za sifa hapa zimeishia wapi? Maana ilikuwa sijui zinaitwaje kweli nikumbusheni
 
video ya mrusha bomu ipo tulozeni wenge muda mwafaka ukifika itatolewa..hivi kama ingekuwa jeshi la polisi halija hisika kodha mbowe akalituhumu na kwenye mikutano inayoendelea anaendelea kusisitiza unadhani wange mwacha...waliomuua Erasto wamesha kamatwa lakini walio ua watu wanne kwa bomu, risasi za smg na bastola hawajakamatwa bado una wasiwasi kutohusika kwa polisi utakuwa tahira, ushahidi hatutautoa kwa shinikizo la mtu cha kufanya ishinikize serikali iunde tume huru ya kijaji..
 
The statement was opened, clear and conclusive. Mwambieni kikwete aunde tume huru ya kijaji muone cha moto. Acheni kuleta maada kinafiki na hamuipati isipokuwa kwa court tu? We have alread investigated and you can't do that to us! F u.
 
The statement was opened, clear and conclusive. Mwambieni kikwete aunde tume huru ya kijaji muone cha moto. Acheni kuleta maada kinafiki na hamuipati isipokuwa kwa court tu? We have alread investigated and you can't do that to us! F u.

JK isn't that stupid. He doesn't see any point in setting up an inquiry commission to investigate into a crime the perpetrators of which are already known by nearly everyone. It's not secret anymore that Chadema leaders in association with their funders engineered the bombing and hired people who carried it out. They did so to gain public sympathy after learning that their chances of winning the then coming Arusha elections were almost non-existing and time was running so fast against them. The explosion took place, human lives were lost, and Chadema indeed gained the sympathy it looked for.
 
Badala ya kumlazimisha Kikwete aunde tume huru ya kimahakama manawalazimisha Chadema watoe mkanada,

kwa kuunda tume huru utafanyika uchunguzi huru utakaokua kwenye kumbukumbu ya vizazi vijavyo, tuache ushabiki na kucheza mdundiko wa ccm


kile unachokitaka wewe ndio wanachoking'ang'ania ccm, wanajua huo mkanda ukitolewa kizembe ni rahisi kuupigia propaganda na hatimae kuudhofisha hivyo hoja ya kufa kabisa.

Kwa pamoja tuipigie kelele Serikali ya ccm iunde tume huru ukweli ujulikane.!!!
 
Back
Top Bottom