Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

Hivi waharifu siku hizi wanasafilishwa bila kufungwa pingu? Au polisi walikusudia kuua?
 
mbowe alisema anaomkanda wa walipuaji mabomu Arusha tuna mwomba kwa heshima kubwa a tuangalizie kama ndugu Yahaya aliye uliye uliwa huko Arusha leo kama yupo baada ya kutaka kuwatoroka polisi ( nimeitoa kwenye fb Tanuru la fikra imepost wa na martin munisi )

nimeipenda maana imekaa vizuri mbowe yuko hapa atusaidie auweke huo mkanda hapa
Njia ya mwongo fupi.
Mbowe alishasema maneno hayo dasa slinganishe mkanda wake na akanushe.
 
Mnamwuliza Mbowe kwani anahusikaje na huyo Yahaya? Kama ni yahya bora mngemwuliza Lady Jay Dee maana ndio alikuwa anaulizia anaishi wapi na jina lake nani. Inawezekana hata huyo yahya amepewa wasifu usiokuwa wake. Aidha amesingiziwa kuhusika na ulipuaji kwa malengo maalum na ndio maana ameuawa ili asikanushe mahakamani, au kama kahusika, amenyamazishwa asije akasema alishirikiana au kushirikishwa na nani kwenye sakata hilo.

Yahya unaishi wapi, kwani jina lako halisi nani? Yahya weeeee! Huyo 'Yahya wa Lady Jay Dee' alikuwa tapeli, ila hapa nahisi polisi ndio wanatutapeli na Yahya mwingine.

ANGALIZO:
Wahusika wasijiamini sana kwamba wamefanikiwa kumnyamazisha. wakumbuke kuwa Marehemu ameweza kurudi duniani (albeit briefly) na kupiga kura ya ndiyo BMK, na mti mkavu umenyanyuka na kuota magome mabichi kule unyanyembeni Tabora, wasije wakashangaa Marehemu Yahaya 'akafufuka' na kueleza kila kitu.
 
ww umetoka lini mirembe

Ww tumia akiri unazan hana haki ya kuishi na unauhakika gani kama alitaka kutoroka? Na ushahid uko wapi kamakwel ndo muhusika? Msiwe mnakurupuka mwisho wa siku mnashindwa kesi wanandugu wanaumia
 
Mleta mada jingajinga kama ulivyo jinga kawaambie wajinga wenzako.
Jamaa amenyoosha maelezo yote kuanzia mwanzo na issue imeanzia kwenye system ya usalama, JeiKei mwenyewe zuzu tu hajui lolote.
Jamaa alivyonyoosha maelezo ikabidi wamuondoe jumla. Wewe Dada Usindandie vitu usivyovijua otherwise una bliidiii siku si zako
 
Tumepiga kelele sana na tutaendelea kupiga kelele kuwa polisi ndio walio lipua mabomu.watauaje mtuhumiwa wakati hajasema ukweli?
 
Viroba ukichanganya na bangi majibu yake ndio haya..hebu oneni uzi hauna kichwa wala miguu dah magamba mna kazi
 
Hivi huyu ni punguani nini? wewe kama nani? Chadema tulisema na tunasema kuwa huyo Rais wenu aunde Tume ya uchunguzi ya kijaji tuikabidhi hii video, alishaunda hiyo tume? mbona unaandika kwa kutumia masaburi?

Hayo matusi yako yanaoyesha dhahiri njisi ulivyo!!!
 
Mleta uzi una sound kama umetumwa na magamba. Sisi chadema tuna utararibu wetu wa kupeleja malalaniko, mapendekezo, mawazo kwwnye vikao halali vya chama.sasa wewe utakuwa ni gamba na umetumwa na magamba. Huwezi kuja hapa jamiiforum kama ndio suluhisho la jambo nyeti kama hili la mabomu.haya nenda lumumba kachukuwe buku 7 yako.chadema hatuna upumbavu kama huu ulioleta hapa.

Pole sa lupe kupenda ni ugonjwa unahitajika kufukizwa kwa uchafu wa tembo pengine utazinduka
 
Back
Top Bottom