Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

hivi bado ma-ccm wana weweseka kwa sababu ya huo mkanda, kweli damu za watu mliowaua zinawasumbua
 
Mtu mwovu utamjua tu, hata kama huna haja ya kumshitaki yeye hawezi kujiamini kila wakati atataka kujua unataka kuchukua hatua gani. Pongezi kwa cdm endeleeni kukaa nao bila kuendekeza matakwa ya hawa wanaolazimisha muuonyeshe mkanda waendelee hivyo hivyo kuumwa matumbo ya kuharisha.
Ila kwa taarifa tu kuna watu wameshauona na ni muda tu unasubiriwa kipengele kikipigwa na nyie pia mtauona mkiwa watu wa mwisho kabisa
 
JK isn't that stupid. He doesn't see any point in setting up an inquiry commission to investigate into a crime the perpetrators of which are already known by nearly everyone. It's not secret anymore that Chadema leaders in association with their funders engineered the bombing and hired people who carried it out. They did so to gain public sympathy after learning that their chances of winning the then coming Arusha elections were almost non-existing and time was running so fast against them. The explosion took place, human lives were lost, and Chadema indeed gained the sympathy it looked for.
Then if that is the case the current government is so pathetic and does not deserve to lead this country coz no matter what, the person who did the act of bombing should be behind bars by now. This is the government where the Kamuhanda's are more uplifted depending on the number of persons they kill.
 
Mleta uzi una sound kama umetumwa na magamba. Sisi chadema tuna utararibu wetu wa kupeleja malalaniko, mapendekezo, mawazo kwwnye vikao halali vya chama.sasa wewe utakuwa ni gamba na umetumwa na magamba. Huwezi kuja hapa jamiiforum kama ndio suluhisho la jambo nyeti kama hili la mabomu.haya nenda lumumba kachukuwe buku 7 yako.chadema hatuna upumbavu kama huu ulioleta hapa.


Nyie endeleeni tu kuuficha kama kweli upo! Kama hakuna aseme tu sisi tutamsamehe!
 
Mleta uzi una sound kama umetumwa na magamba. Sisi chadema tuna utararibu wetu wa kupeleja malalaniko, mapendekezo, mawazo kwwnye vikao halali vya chama.sasa wewe utakuwa ni gamba na umetumwa na magamba. Huwezi kuja hapa jamiiforum kama ndio suluhisho la jambo nyeti kama hili la mabomu.haya nenda lumumba kachukuwe buku 7 yako.chadema hatuna upumbavu kama huu ulioleta hapa.

Jamani jamani, sasa hii ni siasa au uhuni tuu, mleta uzi kaleta uzi wenye haki na ushauri mzuri hata kama katumwa, CDM mnao ushahidi wa mrusha bomu, ambalo tukio hilo limeuwa watanzania na kujeruhi wengi, na badoo Mwenyekiti wa CDM anauficha ushahidi ambao ungewapa haki zao waliouawa na kujeruhiwa katika tukio hilo. Ila cdm inaona ni vizuri waitumia kisiasa na kupata huruma za kisiasa, lakini hawawajali watanzania walikufa na majeruhi.

Jee huyu aliyeleta uzi kafanya lipi la kukosea, Ukweli ni kwamba hakuna ushahidi wowote kuhusu mhusika na janga la bomu la arusha, na huo uzushiwa kuwa cdm kujilipua litaonekana kuwa la ukweli ikiwa cdm hamtaweka hadharani hiyo evidence, watanzania sio wapumbavu.
 
Hii ndio CHADEMA,M4C,CHAMA CHANGU.
Chama ambacho sera yake kuu ni MAANDAMANO,Chama ambacho Vijana hawafanyi KAZI wanadai Maisha ni MAGUMU, Chama ambacho wafuasi wake wanadhani kuwa viongozi wao hawana MAPUNGUFU.
Chama ambacho viongoz iwakifanya vurugu Bungeni tunawaita MAJEMBE!,Chama ambacho kikiomba mwongozo inaonekana kinajua SHERIA, Chama ambacho wajinga wakifeli mtihani tunawaandalia MAANDAMANO,Chama ambacho Vijana wanalalamika hawana maisha wape dili sasa wanaanza LONGOLONGO.
Hii ndio Chadema bwana!
PIPOOOOOOOOOOZZZ.

Umekwisha tekeleza wajibu wako kwa leo,nenda kasign daftari la buku 7.
 

Mwenyekiti,

MWISHO MWENYEKITI NAKUSIHI TENA NA TENA TUPATIE HUO MKANDA TUENDELEE KUIHUKUMU SERIKALI HII DHALIMU YA CHAMA TWAWALA.

NI MIMI MPIGA KURA WAKO
MPINGAUOEVU.

Sasa akutumie wapi, kwenye email au akuwekee U-tube.
Naona propaganda za wauaji zimeanza kukuingia ndugu..
Kama wewe umekubali ulikuwepo kwenye mikutano miwili, na polisi wakakuchapa pia, unataka Mbowe akuoneshe nini ambacho hukukitegemea!?
 
unasema mwangsi waliweka hadharani labda jiulize kidogo then what next au kipi kimetekelezwa if not acha ushahidi wa Mbowe usubiri tume huru ya kimahakama !
 
JK isn't that stupid. He doesn't see any point in setting up an inquiry commission to investigate into a crime the perpetrators of which are already known by nearly everyone. It's not secret anymore that Chadema leaders in association with their funders engineered the bombing and hired people who carried it out. They did so to gain public sympathy after learning that their chances of winning the then coming Arusha elections were almost non-existing and time was running so fast against them. The explosion took place, human lives were lost, and Chadema indeed gained the sympathy it looked for.

What?

What kind of this government is? Whether it was done by the CDM or CCM or any political party, the investigation remain paramount and sole solution by the government. If it can not do so, then this country has no owner and this means that every one can do whatever s/he wants to do. As we approach 2015, the rule of law need to be strengthened to avoid further damage, unless a person like you do not need this and you will be automatically involved in the crime against humanity....your right place will be at the ICC..
 
CDM inajua ni lini mkanda huo uoneshwe au upelekwe. Hata mkijivisha u-cdm bado hamtafanikiwa juu ya hilo. You just regret for what you did and you will pay the cost of your evils....Remember, at the best time of God every evil will be revealed and that is when total liberty from life long suffocation for Tanzanians will come to light!
 
Mbwa mwitu kavaa ngozi ya kondoo akiwa na njaa ya buku 7 za Lumumbaaaaaa
 
Zile camera za sifa hapa zimeishia wapi? Maana ilikuwa sijui zinaitwaje kweli nikumbusheni

Zinaitwa DVR. Hata Gairo juzi alipotua Dr. Slaa kwa Chopa, zilifungwa 3...

attachment.php
 

Attachments

  • DVR.jpg
    DVR.jpg
    14.5 KB · Views: 190
wewe uliyomba mkanda uletwe hapa jf una akili? unafikri cdm ni maboy kama ccm. kama mnataka kuuona mkanda nendenio mahakamni si hapa jp? ccm bhana!
 
Sisi ni watu wenye maono,tunajua nini cha kufanya,mahali na wakati gani! ndo maana kila kukicha tunakubalika kwa watz na kuwasabishia vidonda vya tumbo nyie gambaz,sisi si wakukurupuka kama Mwigulu
 
Mbowe aliposema ana mkanda alikuwa anamaanisha 'mkanda wa kiunoni.' Nadhani mleta mada hukumuelewa mwenyekiti wako.

Naona mahang over ya mataputapu bado yamepanda vichwani mwa watu,nenda kale mishikaki uyapunguze
 
mbowe alisema anaomkanda wa walipuaji mabomu Arusha tuna mwomba kwa heshima kubwa a tuangalizie kama ndugu Yahaya aliye uliye uliwa huko Arusha leo kama yupo baada ya kutaka kuwatoroka polisi ( nimeitoa kwenye fb Tanuru la fikra imepost wa na martin munisi )

nimeipenda maana imekaa vizuri mbowe yuko hapa atusaidie auweke huo mkanda hapa
 
Wewe ni Kova ama Chagonja .? Maana ndio wana haki ya kusema uongo kama huu
 
Hivi huyu ni punguani nini? wewe kama nani? Chadema tulisema na tunasema kuwa huyo Rais wenu aunde Tume ya uchunguzi ya kijaji tuikabidhi hii video, alishaunda hiyo tume? mbona unaandika kwa kutumia masaburi?
 
Back
Top Bottom