Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

Bado video inafanyiwa editing Ujerumani,ukidhi matakwa ya Freemason Chagawood Ltd
 
Acheni ushabiki,kwa taratibu za ki-mahakama za Tanzania Picha na Mikanda ya video haikubaliki kama vielezo vya ushahidi.Vitu hivyo ni rahisi kuvitengeneza na havileti uhalisia wa tukio.Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri,utakumbuka web site ya utamu.com rais wenu alikuwa anafanya nini utajua ni nini na maanaisha.Na kutoa mkanda hadharani haimaanishi ushahidi haupo,cha msingi ni kutetea hoja inayobishaniwa.Mbona wao walitoa wa mh.Rwakatare na njama za ugaidi?.Achani woga,jiamini watanzania hawadanganyiki kwa hivyo.
 
Sijui mnachohangaikia nini wana CCM, mnaliagiza jeshi la polisi liue watu harafu mnaanza kuhangaika kutafuta mkanda wa video anaoumiliki mliyemlenga kumuua ili mharibu ushahidi. Lakini kama kweli mnautaka mkanda wa video kwani kunaugumu gani kwenda mahakamani kumshitaki Mbowe ili awaonyeshe mkanda huo? na kama Radhia anavyodai kwanini Mbowe asikamatwe kwa kusababisha mauaji ya kujilipua mwenyewe na kuua watu wengine. Hebu wana CCM oneni aibu na serikali yenu dhaifu, viongozi dhaifu, mmekalia maneno tu, kufungulia kesi za kijinga na kuua wafuasi wa CHADEMA, kuiba rasilimali za nchi na kusafirisha madawa ya kulevya. Poor CCM...
 
Badala ya kumlazimisha Kikwete aunde tume huru ya kimahakama manawalazimisha Chadema watoe mkanada,

kwa kuunda tume huru utafanyika uchunguzi huru utakaokua kwenye kumbukumbu ya vizazi vijavyo, tuache ushabiki na kucheza mdundiko wa ccm


kile unachokitaka wewe ndio wanachoking'ang'ania ccm, wanajua huo mkanda ukitolewa kizembe ni rahisi kuupigia propaganda na hatimae kuudhofisha hivyo hoja ya kufa kabisa.

Kwa pamoja tuipigie kelele Serikali ya ccm iunde tume huru ukweli ujulikane.!!!


Umeongea Vyema,na inaleta maana kwa uliyoyasema,
Ila sasa kama serikali ya CCM inafaham fika kwa kuunda Tume huru itafumua uozo wote na kuiweka hiyo serikali hatiani unadhani ombi la kuundwa kwa tume watalifanyia kazi?
Hawawez lifanyia kazi,
So,tusahau kuhusu suala la CCM kuunda tume huru,
On the other hand muda unakwenda na shauku ya sisi kutaka kumjua mhalifu inazid kuongezeka,na watu wanakufa kila siku,
Kama muhanga wa matukio hayo let say mtu aliefiwa,aliejeruhiwa na kupata ulemavu kutokana na kadhia hii,huon kama ananyimwa sana haki yake ya kutaka kumfaham muhusika na unyama ule aliofanyiwa?
Kama imeshindikana kwa serikali ni vema kuwashitaki kwa wananchi ili 2015 iwape maono zaid ya kuwaweka viongoz bora madarakan
 
Hakuna cha mkanda wa suruali hapa. Ile ilikuwa janja ya ili kushinda uchaguzi. Ila hii kitu haitawaacha cdm kamwe.
 
Mwenyekiti,

SHKAMOO!

Mimi ni mpiga kura mwaminifu wa CDM. Mabomu yote na risasi za Arusha nimenusurika. Mbaya zaidi kwenye mabomu ya mwakajuzi yaliyoua watu watatu mimi nilichabangwa sana. Mimi niko bega kwa bega katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.

Kilichonileta hapa leo ni kukusihi
1. Utuoneshe mkanda wa aliyehusika na kurusha bomu arusha unaothibitisha kuwa ni polisi.
2. Akili ya ziada inaniambia tume huru haitaundwa wala hakutakuwa na kesi halali kwa aliyerusha bomu. Lakini mimi najua kwamba chama chetu kina sera ya kuwashtaki serikali kwa wananchi. Kwa hili, kama tulivyoona kwa Mwandosi naomba kupitia hapa JAMII FORUMS turushiwe vipande hivyo ili tuanze kutoa hukumu kwa hili jeshi la wahalifu yaani polisisiemu.
3.Siasa ni mchezo mchafu.Ili watu kama mimi tusiamini kwamba na chama chetu kina mchezo mchafu, na ili tusiwe na hofu wala kujutia kwa kuwaweka CDM madarakani 2015, na ili tuwe na imani na wewe mwenyekiti wetu kwamba hukuleta propoganda za kisiasa, tafadhali tuoneshe huo mkanda ama chochote ambacho ni ushahidi wa aiyerusha bomu la arusha.
4.CCM wanadai tulijilipua ili upate kura za huruma. Haya ni madai makubwa sana ambayo hayawezi kuvumiliwa nakukaa kimya kusubiri ushahidi upelekwe mahakamani ambako hakuna dalili, hebu mwenyekiti tuyazime maneno haya kwa kuwahukumu CCM kwa sisi wapiga kura wao.
5.Wapinzani wetu wengine wanadai kwamba chama chetu ni seheu ya FREEMASONRY na kwamba maandamano ya M4C ni juhudi za kutoa kafara za damu. Kwamba ni lazima idadi fulani ya watu wafe ndipo tushike dola. Haya maneno ni magumu sana kuliko kuushikilia ushahidi na kuuficha. Kwamba green brigade inahusika na mauaji hayo kwa kushirikiana na baadhi ya wakubwa walioko serikalini wanaotokea kaskazini kwa Tanzania. Njia ya kuzma ufitini huu ni kuanika ukweli hadharani.

MWISHO MWENYEKITI NAKUSIHI TENA NA TENA TUPATIE HUO MKANDA TUENDELEE KUIHUKUMU SERIKALI HII DHALIMU YA CHAMA TWAWALA.

NI MIMI MPIGA KURA WAKO
MPINGAUOEVU.
Nakushauli uandike ujumbe kamaa huu kumwambia JK aunde tume ya kijaji aliyo ombwa na CDM aiunde au kama unaona itakuwa ngumu waandikie polisi ambao wanatuhumiwa waende mahakamani kuisihitaki CDM. Ukiendelea kuitaka CDM watoe mkanda tunapatwa na shaka kuwa ndio walewale wapigania buku 7 na ujue jf sio mahala sahihi pa kupeleka jambo zito kama lile au ndio kuzoe kupata ushahidi kupitia jf kama mlivyo mkamata LWAKATALE?
 
kwa sasa tuko na issue za ponda kwanza, tukileta mabomu mambo ya upepo yatabadilika
 
Wewe ni mwana ccm!
Wanachadema ni mazuzu wao hawahoji sasa wewe sijui unasubiri nini kwa makamanda mazuzu.
 
Usijipotezee muda bure hawezi kukuonyesha huo mkanda hewa alioahidi kuuonesha. Hukumbuki Dr. Slaa aliahidi kutuonesha jinsi walivyomchakachua ushindi wake mwaka 2005 na mpaka leo hatujawahi kuona huo ushahidi aliokuwa akiusema? Huo ndio ugonjwa mkubwa wa hawa vigogo wa CHADEMA hauna tofauti na ugonjwa wale wakuu wengine wa chama tawala wanaotamba kuwa na orodha za kila aina ya wahalifu lakini hawazioneshi hadharani na wala hatusikii wakichukua hatua yoyote. Wote ni "manje gha nyanja" tu hao.
 
Hii ndio CHADEMA,M4C,CHAMA CHANGU.
Chama ambacho sera yake kuu ni MAANDAMANO,Chama ambacho Vijana hawafanyi KAZI wanadai Maisha ni MAGUMU, Chama ambacho wafuasi wake wanadhani kuwa viongozi wao hawana MAPUNGUFU.
Chama ambacho viongoz iwakifanya vurugu Bungeni tunawaita MAJEMBE!,Chama ambacho kikiomba mwongozo inaonekana kinajua SHERIA, Chama ambacho wajinga wakifeli mtihani tunawaandalia MAANDAMANO,Chama ambacho Vijana wanalalamika hawana maisha wape dili sasa wanaanza LONGOLONGO.
Hii ndio Chadema bwana!
PIPOOOOOOOOOOZZZ.

nimekuhurumia sana !
 
video ya mrusha bomu ipo tulozeni wenge muda mwafaka ukifika itatolewa..hivi kama ingekuwa jeshi la polisi halija hisika kodha mbowe akalituhumu na kwenye mikutano inayoendelea anaendelea kusisitiza unadhani wange mwacha...waliomuua erasto wamesha kamatwa lakini walio ua watu wanne kwa bomu, risasi za smg na bastola hawajakamatwa bado una wasiwasi kutohusika kwa polisi utakuwa tahira, ushahidi hatutautoa kwa shinikizo la mtu cha kufanya ishinikize serikali iunde tume huru ya kijaji..

swadakta
 
Mwenyekiti,

SHKAMOO!

Mimi ni mpiga kura mwaminifu wa CDM. Mabomu yote na risasi za Arusha nimenusurika. Mbaya zaidi kwenye mabomu ya mwakajuzi yaliyoua watu watatu mimi nilichabangwa sana. Mimi niko bega kwa bega katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.

Kilichonileta hapa leo ni kukusihi
1. Utuoneshe mkanda wa aliyehusika na kurusha bomu arusha unaothibitisha kuwa ni polisi.
2. Akili ya ziada inaniambia tume huru haitaundwa wala hakutakuwa na kesi halali kwa aliyerusha bomu. Lakini mimi najua kwamba chama chetu kina sera ya kuwashtaki serikali kwa wananchi. Kwa hili, kama tulivyoona kwa Mwandosi naomba kupitia hapa JAMII FORUMS turushiwe vipande hivyo ili tuanze kutoa hukumu kwa hili jeshi la wahalifu yaani polisisiemu.
3.Siasa ni mchezo mchafu.Ili watu kama mimi tusiamini kwamba na chama chetu kina mchezo mchafu, na ili tusiwe na hofu wala kujutia kwa kuwaweka CDM madarakani 2015, na ili tuwe na imani na wewe mwenyekiti wetu kwamba hukuleta propoganda za kisiasa, tafadhali tuoneshe huo mkanda ama chochote ambacho ni ushahidi wa aiyerusha bomu la arusha.
4.CCM wanadai tulijilipua ili upate kura za huruma. Haya ni madai makubwa sana ambayo hayawezi kuvumiliwa nakukaa kimya kusubiri ushahidi upelekwe mahakamani ambako hakuna dalili, hebu mwenyekiti tuyazime maneno haya kwa kuwahukumu CCM kwa sisi wapiga kura wao.
5.Wapinzani wetu wengine wanadai kwamba chama chetu ni seheu ya FREEMASONRY na kwamba maandamano ya M4C ni juhudi za kutoa kafara za damu. Kwamba ni lazima idadi fulani ya watu wafe ndipo tushike dola. Haya maneno ni magumu sana kuliko kuushikilia ushahidi na kuuficha. Kwamba green brigade inahusika na mauaji hayo kwa kushirikiana na baadhi ya wakubwa walioko serikalini wanaotokea kaskazini kwa Tanzania. Njia ya kuzma ufitini huu ni kuanika ukweli hadharani.

MWISHO MWENYEKITI NAKUSIHI TENA NA TENA TUPATIE HUO MKANDA TUENDELEE KUIHUKUMU SERIKALI HII DHALIMU YA CHAMA TWAWALA.

NI MIMI MPIGA KURA WAKO
MPINGAUOEVU.
Halafu ukishauona wewe unayo nguvu gani ya ku hukumu serikali? Wananchi wa Arusha walishatoa hukumu na matokeo umeona kwenye udiwani cha zaidi unachotaka ni nini? Mwambie huyo aliekutuma hautoki mkanda mpaka wewe useme Umeifanyia kazi gani picha ya bomu lilivyoharibu mwili wa Mwangosi? Acha upuuzi leta thread ya kujenga!
 
Hii ndio CHADEMA,M4C,CHAMA CHANGU.
Chama ambacho sera yake kuu ni MAANDAMANO,Chama ambacho Vijana hawafanyi KAZI wanadai Maisha ni MAGUMU, Chama ambacho wafuasi wake wanadhani kuwa viongozi wao hawana MAPUNGUFU.
Chama ambacho viongoz iwakifanya vurugu Bungeni tunawaita MAJEMBE!,Chama ambacho kikiomba mwongozo inaonekana kinajua SHERIA, Chama ambacho wajinga wakifeli mtihani tunawaandalia MAANDAMANO,Chama ambacho Vijana wanalalamika hawana maisha wape dili sasa wanaanza LONGOLONGO.
Hii ndio Chadema bwana!
PIPOOOOOOOOOOZZZ.

Kazi zetu Maccm ni Sembe kwa kwenda mbele!
 
Hii ndio CHADEMA,M4C,CHAMA CHANGU.
Chama ambacho sera yake kuu ni MAANDAMANO,Chama ambacho Vijana hawafanyi KAZI wanadai Maisha ni MAGUMU, Chama ambacho wafuasi wake wanadhani kuwa viongozi wao hawana MAPUNGUFU.
Chama ambacho viongoz iwakifanya vurugu Bungeni tunawaita MAJEMBE!,Chama ambacho kikiomba mwongozo inaonekana kinajua SHERIA, Chama ambacho wajinga wakifeli mtihani tunawaandalia MAANDAMANO,Chama ambacho Vijana wanalalamika hawana maisha wape dili sasa wanaanza LONGOLONGO.
Hii ndio Chadema bwana! PIPOOOOOOOOOOZZZ.


Mimi ninae daktari wakukutibu. Ila nina uhakika hutaki kutibiwa huo ugojwa wa kukifia chama kinachojifia
 
Wewe mgumu kuelewa? Si umeambiwa mpaka J.K aunde tume huru? Nakushauri mwambie rais aunde tume hiyo ya majaji kabla ya kumdai Mbowe Mkanda
 
JK isn't that stupid. He doesn't see any point in setting up an inquiry commission to investigate into a crime the perpetrators of which are already known by nearly everyone. It's not secret anymore that Chadema leaders in association with their funders engineered the bombing and hired people who carried it out. They did so to gain public sympathy after learning that their chances of winning the then coming Arusha elections were almost non-existing and time was running so fast against them. The explosion took place, human lives were lost, and Chadema indeed gained the sympathy it looked for.

If that is the case then, Why the Government is hesitating to capture the Funders and the hired people who carried the bombing deal?
One of the very important roles of the government is to ensure maximum security to her Citizens.Why has the government failed to ensure the security and allowed the hired people to bomb innocent citizens......By the way why the Government is not holding the bombers accountable? Is the Government weak?
 
Badala ya kumlazimisha Kikwete aunde tume huru ya kimahakama manawalazimisha Chadema watoe mkanada,

kwa kuunda tume huru utafanyika uchunguzi huru utakaokua kwenye kumbukumbu ya vizazi vijavyo, tuache ushabiki na kucheza mdundiko wa ccm


kile unachokitaka wewe ndio wanachoking'ang'ania ccm, wanajua huo mkanda ukitolewa kizembe ni rahisi kuupigia propaganda na hatimae kuudhofisha hivyo hoja ya kufa kabisa.

Kwa pamoja tuipigie kelele Serikali ya ccm iunde tume huru ukweli ujulikane.!!!
hivi mkuu inashindikana kuuweka wazi huo mkanda then hao majangili wakiupigia propagandabaadae tukiwa na serikali inayojali utu iundwe tume ya majaji waanze uchunguzi upya? au ikishapigiwa propaganda na hao kina mwigulu hairuhusiwi tena miaka ijayo kufanyiwa uchunguzi?
 
Back
Top Bottom