Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

Badala ya kumlazimisha Kikwete aunde tume huru ya kimahakama manawalazimisha Chadema watoe mkanada,

kwa kuunda tume huru utafanyika uchunguzi huru utakaokua kwenye kumbukumbu ya vizazi vijavyo, tuache ushabiki.
kile unachokitaka wewe ndio wanachoking'ang'ania ccm, wanajua huo mkanda ukitolewa kizembe ni rahisi kuupigia propaganda na hatimae kuudhofisha kabisa.!!!!

Huo mkanda wenyewe haumtoshi hata Zitto pamoja na kuwa na kiuno kidogo kuliko hata Mnyika.
 
Tatizo la magamba bana wana post na ku comment wenyewe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi ni kitu gani kinafanya Cdm kukotoa huo mkanda hadharani watu tuone? Hapa lazma kuna kitu
 
Cdm sio chama cha kukurupuka kama unavypdhani,ni lazima tume huru kwanxa,then ushahidi utafuatia,
 
Mleta uzi una sound kama umetumwa na magamba. Sisi chadema tuna utararibu wetu wa kupeleja malalaniko, mapendekezo, mawazo kwwnye vikao halali vya chama.sasa wewe utakuwa ni gamba na umetumwa na magamba. Huwezi kuja hapa jamiiforum kama ndio suluhisho la jambo nyeti kama hili la mabomu.haya nenda lumumba kachukuwe buku 7 yako.chadema hatuna upumbavu kama huu ulioleta hapa.

ukiona kijana anatetea kikundi au mtu ambaye anawageuza Watanzania uwanja wa kujiuza kisiasa basi ata yeye si MZALENDO hata kidogo. mleta mada anahaki kabisa ya kujua kwanini Mh. Mbowe hatoi huo mkanda? au haupeleke Cnn, Bbc,au Aljazira. Mh. Mbowe ni mtoto wa mujini kama wasemavyo wakongomani. kama kweli unauchungu na Taifa hili basi lazima Mh. aseme mbivu na mbichi. tumechoka kugeuzwa kapu la shehena na viongozi MCHWARA.🙂🙂
 
Hv mbona taarifa za kuwepo askari fake wenye sare za jeshi la polisi zimezidi sana sasa hv?

Isijekuwa tunaandaliwa kisaikolojia kabla ya report ya Kamati ya Nchimbi. Just thinking out loud
 
Mbowe aliposema ana mkanda alikuwa anamaanisha 'mkanda wa kiunoni.' Nadhani mleta mada hukumuelewa mwenyekiti wako.

Kumbe kiuno huwa kina mkanda?!
Kiuno au SURUALI?
Kama ni kiuno, nadhani unarejea shanga ulizovaa!
Kiuno hakina mkanda...
Suruali ndo huwa na mkanda JAPO si LAZIMA
 
Siasa sio mchezo mchafu,ila watu wachache ndo wanafanya uonekane mchafu eg Mguu na Nepi
 
Cdm sio chama cha kukurupuka kama unavypdhani,ni lazima tume huru kwanxa,then ushahidi utafuatia,

Apolinary, nadhani hujawasoma cdm, kati ya binadamu mabingwa wa kukurupuka ni cdm hasa dr. yaani hanaga kifua cha kutlia akachuja jambo na sijui akiingia ikulu itakuaje! maana kila taifa lina siri zake ndio maana watu wanaapa kuzilinda lakini yeye hajui hilo anaropokaga bila kukumbuka trust watu waliyompa! chunguzi kwanza utabaini nisemayo!
 
Hv mbona taarifa za kuwepo askari fake wenye sare za jeshi la polisi zimezidi sana sasa hv?

Isijekuwa tunaandaliwa kisaikolojia kabla ya report ya Kamati ya Nchimbi. Just thinking out loud

wananchi wanajua, hakuna haja ya kuandaliwa kwani mwanajeshi fake tayari arusha mlishamtengeneza.
 
mtu asiyejua cdm inafuata siasa gani hawezi kuwa mpiganaji wa cdm
 
Mwenyekiti,

SHKAMOO!

Mimi ni mpiga kura mwaminifu wa CDM. Mabomu yote na risasi za Arusha nimenusurika. Mbaya zaidi kwenye mabomu ya mwakajuzi yaliyoua watu watatu mimi nilichabangwa sana. Mimi niko bega kwa bega katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.

Kilichonileta hapa leo ni kukusihi
1. Utuoneshe mkanda wa aliyehusika na kurusha bomu arusha unaothibitisha kuwa ni polisi.
2. Akili ya ziada inaniambia tume huru haitaundwa wala hakutakuwa na kesi halali kwa aliyerusha bomu. Lakini mimi najua kwamba chama chetu kina sera ya kuwashtaki serikali kwa wananchi. Kwa hili, kama tulivyoona kwa Mwandosi naomba kupitia hapa JAMII FORUMS turushiwe vipande hivyo ili tuanze kutoa hukumu kwa hili jeshi la wahalifu yaani polisisiemu.
3.Siasa ni mchezo mchafu.Ili watu kama mimi tusiamini kwamba na chama chetu kina mchezo mchafu, na ili tusiwe na hofu wala kujutia kwa kuwaweka CDM madarakani 2015, na ili tuwe na imani na wewe mwenyekiti wetu kwamba hukuleta propoganda za kisiasa, tafadhali tuoneshe huo mkanda ama chochote ambacho ni ushahidi wa aiyerusha bomu la arusha.
4.CCM wanadai tulijilipua ili upate kura za huruma. Haya ni madai makubwa sana ambayo hayawezi kuvumiliwa nakukaa kimya kusubiri ushahidi upelekwe mahakamani ambako hakuna dalili, hebu mwenyekiti tuyazime maneno haya kwa kuwahukumu CCM kwa sisi wapiga kura wao.
5.Wapinzani wetu wengine wanadai kwamba chama chetu ni seheu ya FREEMASONRY na kwamba maandamano ya M4C ni juhudi za kutoa kafara za damu. Kwamba ni lazima idadi fulani ya watu wafe ndipo tushike dola. Haya maneno ni magumu sana kuliko kuushikilia ushahidi na kuuficha. Kwamba green brigade inahusika na mauaji hayo kwa kushirikiana na baadhi ya wakubwa walioko serikalini wanaotokea kaskazini kwa Tanzania. Njia ya kuzma ufitini huu ni kuanika ukweli hadharani.

MWISHO MWENYEKITI NAKUSIHI TENA NA TENA TUPATIE HUO MKANDA TUENDELEE KUIHUKUMU SERIKALI HII DHALIMU YA CHAMA TWAWALA.

NI MIMI MPIGA KURA WAKO
MPINGAUOEVU.
ule hushahidi wa Mwangosi alivyouwawa umefanyiwa kazi gani? iko siku tutapata serikali makini ndio ushahidi utawekwa hadharani ili hatua za kisheria zichukuliwe
 
mpingauonevu mkanda mbona waliishaga too humu ukaonekana "fweki"? hamnaga mwingine labda mkanda wa sarawili ya mwenye kigoda wa cdm! otherwise ungekuwepo saa mingi ungeisha oneshwa huko ujerumani, BBC au hata aljazeera! cdm wawe na kitu cha kuishtaki serikali wakae nacho bado unaamini hivyo? mfano mdogo ni kauli ya pinda ya piga! tayari imekua dili na cdm wameipeleka mahakamani sembuse mkanda wa DVR walio urekodi wenyewe! forget about that film labda kama bado inaigizwa upya! ije part 2 otherwise part 1 iliisha toka humu jamvini watu wakatupa kule!
 
Back
Top Bottom