Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?
Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Ninafuatilia bunge jioni hii SUGU amesema serikali ni ya wapumbavu, Kigwangala yeye kawaita wabunge wa CHADEMA wapuuzi kisa walikuwa wanamzomea,kwa kifupi wabunge wengi hawajadili hoja za msingi na badala yake wanajadili mambo ya vyama vyao ,bunge limejaa vijembe na upuuzi mwingine.
Kwa bunge letu hili tuna haki ya kuwa maskini milele.
It makes no difference. Awe dume au jike, kwake jamaa ni mwanaume. Usisahau, hata same sex marriage sasa hivi ni injili duniani.
Mkuu ni Mwigulu yupi? Huyu wa tozo ama !!Michango ya mwigulu haijawahi kuwa serious kwa nchi tangu miaka ya nyuma
Atakua huyuhuyu mkuu kuna mwanasiasa mwingine mwiguluMkuu ni Mwigulu yupi? Huyu wa tozo ama !!