Mh.Makonda umejikwaa kidogo kumshambulia Pierre!

Kuna siku nlikuwa govorners napiga masanga kama kawaida yetu
Pembeni yetu alikaa dada mmoja na wenzake mmoja wao alikuwa kwenye mode mbaya,kama alikwazika na jambo fulani muda tu
Maraa dj ndani mule anatangaza leo govorners kinondoni imetembelewa na pierre mzee wa liquid yule dada alipokuja muona wachaa aanzee kucheka mbavu hana
Kwa hiyo upigaji tungi wake pierre muonekano,u fupi ule,maneno yke lazima watu watafurahi na kicheko juu!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Afanye comedy zake kwenye bar, siyo wampaishe hadi kuwa brand ambassador.
 
Mh.Makonda @baba_keagan binafsi umejikwaa ,umeteleza kutamka maneno, wanafiki wanaokupigia makofi.

Wewe Mh.Makonda ni muumini mkubwa sana wa dini ya kikristo,unasoma biblia kutwa kucha ,najua unafahamu kuwa Riziki na neema kwa mtu hutolewa na Mungu,Mungu kwa wanadamu wake habagui hata kidogo,yeyote amuombaye humpa,humpa kwa namna tofauti haijalishi ni kupitia ulevi,au kupitia biashara,au kupitia usanii au kupitia uongozi vyote Mungu hujalia.

Ndio maana ukisoma Wakoritho2 9:8 inasema "Na Mungu anaweza kuwajaza kila neema kwa wingi,ili nanyi mkiwa na Riziki za kila namna siku zote ,impate kuzidisha sana katika kila tendo jema"

Kwa waislam kupitia Hadithi Qudsi Mungu anasema ,inasema (4.) Wewe hula riziki Yangu (kutoka Kwangu) na unaniasi, lakini unaponiomba Mimi hukuitikia.

Hivyo umejikwaa au kuteleza kumshambulia @officialpierre_liquid @officialpiere_liquid @pierre_konki_liquid ,Pierre amepaishwa na neema ya Mungu ,hao unaotaka wafahamike sio kwa matakwa yako au yao ni Mungu tuu. Mungu akitaka kukupaisha au kukuinua sio lazima vyombo vya habari.

vyombo vya habar hasa online bloggers wanafanya biashara wanatafuta viewers,Pierre sio mlevi namna hivyo ila ni mnywaji tuu akiambatanisha vituko,vichekesho na ucheshi watanzania wakatokea kumpenda hadi nje Kama Kenya,wakimuona wanacheka wanafurahi,media zinapata viewer,Wafanyabishara Kama @tullyswine wanamtumia kutangaza biashara,Mungu ana muinua ,Kuwa Brand Ambassador kila mtu anaweza kuwa ila hutegemea na potentiality yako kwa biashara hiyo,Pirre wana mtumia sababu ametokea kuwavutia umma.Watu wanapenda kumuona hivyo ni rahisi kupitia Pierre kuona kabisa na biashara anayoitangaza

Mfano,Dr.Shika walikuwa wanamtumia sababu watu hupenda kumuona anavyoongea hivyo kupitia hii watu wakawa wanamtumia ku brand biashara,waandishi katika kupata viewers,haya mambo ni uwezo wa Mungu,hao unaotaka wajulikane subiri hadi Mungu atakapo amua iwe hivyo,usilazimishi.Mbona ulitangaza nusu bei ya pombe?

@officialpierre_liquid usivunjike Moyo ,pambana kuna watu ni walevi wa kutupa ila ndio marafiki zetu ,mabosi zetu ,Ndugu zetu,viongozi wetu mbona hatuwasemi tumemuona Pierre tuu !
Piga kazi @officialpierre_liquid.Utabaki kuwa juuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
.
IMG-20190331-WA0046.jpeg

Jr[emoji769]
 
Huyo rafiki yake ubrand ambassodor wa simtank unamfaa na wala hawampi , tumbo limezidi
Sijacheka wiki hii yote, ila haya maneno yako yamenifanya nilipuke kwa kicheko hadi wife aliyekuwa amelala amestuka na kuniuliza kulikoni.
Ati,
"ubrand ambassodor wa simtank."
Kwakuwa ni chinene sio ?
Ha...ha...ha...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nlikuwa govorners napiga masanga kama kawaida yetu
Pembeni yetu alikaa dada mmoja na wenzake mmoja wao alikuwa kwenye mode mbaya,kama alikwazika na jambo fulani muda tu
Maraa dj ndani mule anatangaza leo govorners kinondoni imetembelewa na pierre mzee wa liquid yule dada alipokuja muona wachaa aanzee kucheka mbavu hana
Kwa hiyo upigaji tungi wake pierre muonekano,u fupi ule,maneno yke lazima watu watafurahi na kicheko juu!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes,
Piere yupo kwa ajiri hiyo,
Kutuburudisha baada ya kazi za siku mzima.
Na sasa ameanza kutumika ktk kurusha matangazo ya biashara.

Kuna kosa gani hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa. Afanye comedy zake kwenye bar, siyo wampaishe hadi kuwa brand ambassador.
Uliyekuwa unapenwa apandishe ni nani hadi afikie u brand ambassador?

Acha wivu wa kiovyo ww,kila mtu aishi kulingana na upepo unavyomuendea,kinakuuma nini wewe piere kuwa brand ambassador! ,
Acha wivu wa kike ,munapenda wenzenu waishi maisha ya shida siku zote,hata wakipata hicho kidogo macho yanawatoka,kipi kigeni juu ya pombe,kwani matangazo ya pombe yameanza leo? Hata aonekane yeye ni mtu wa ovyo na kutokufaa,

Waafrika ndo maana hatusongi mbele kwa ajili ya chuki,wivu + roho mbaya,

Ukizeeka wewe usishangae ukiitwa mchawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangempa u brand ambassador wa vyoo vya "Good One". He belongs in the toilet.
 
Mh.Makonda @baba_keagan binafsi umejikwaa ,umeteleza kutamka maneno, wanafiki wanaokupigia makofi.

Wewe Mh.Makonda ni muumini mkubwa sana wa dini ya kikristo,unasoma biblia kutwa kucha ,najua unafahamu kuwa Riziki na neema kwa mtu hutolewa na Mungu,Mungu kwa wanadamu wake habagui hata kidogo,yeyote amuombaye humpa,humpa kwa namna tofauti haijalishi ni kupitia ulevi,au kupitia biashara,au kupitia usanii au kupitia uongozi vyote Mungu hujalia.

Ndio maana ukisoma Wakoritho2 9:8 inasema "Na Mungu anaweza kuwajaza kila neema kwa wingi,ili nanyi mkiwa na Riziki za kila namna siku zote ,impate kuzidisha sana katika kila tendo jema"

Kwa waislam kupitia Hadithi Qudsi Mungu anasema ,inasema (4.) Wewe hula riziki Yangu (kutoka Kwangu) na unaniasi, lakini unaponiomba Mimi hukuitikia.

Hivyo umejikwaa au kuteleza kumshambulia @officialpierre_liquid @officialpiere_liquid @pierre_konki_liquid ,Pierre amepaishwa na neema ya Mungu ,hao unaotaka wafahamike sio kwa matakwa yako au yao ni Mungu tuu. Mungu akitaka kukupaisha au kukuinua sio lazima vyombo vya habari.

vyombo vya habar hasa online bloggers wanafanya biashara wanatafuta viewers,Pierre sio mlevi namna hivyo ila ni mnywaji tuu akiambatanisha vituko,vichekesho na ucheshi watanzania wakatokea kumpenda hadi nje Kama Kenya,wakimuona wanacheka wanafurahi,media zinapata viewer,Wafanyabishara Kama @tullyswine wanamtumia kutangaza biashara,Mungu ana muinua ,Kuwa Brand Ambassador kila mtu anaweza kuwa ila hutegemea na potentiality yako kwa biashara hiyo,Pirre wana mtumia sababu ametokea kuwavutia umma.Watu wanapenda kumuona hivyo ni rahisi kupitia Pierre kuona kabisa na biashara anayoitangaza

Mfano,Dr.Shika walikuwa wanamtumia sababu watu hupenda kumuona anavyoongea hivyo kupitia hii watu wakawa wanamtumia ku brand biashara,waandishi katika kupata viewers,haya mambo ni uwezo wa Mungu,hao unaotaka wajulikane subiri hadi Mungu atakapo amua iwe hivyo,usilazimishi.Mbona ulitangaza nusu bei ya pombe?

@officialpierre_liquid usivunjike Moyo ,pambana kuna watu ni walevi wa kutupa ila ndio marafiki zetu ,mabosi zetu ,Ndugu zetu,viongozi wetu mbona hatuwasemi tumemuona Pierre tuu !
Piga kazi @officialpierre_liquid.Utabaki kuwa juuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pierra atabaki kuwa juu kileleni na bashite ataendelea kuwa ZIRO brain.
 
Back
Top Bottom