Mh.Makamba na Viepe vya Uswazi

Mh.Makamba na Viepe vya Uswazi

Asikudanganye mtu,vyepe vya uswazi vina utamu wake na kama wewe ni mtu wa kuingia 5 star hotels na umeshavionja vya uswazi unaweza kukubaliana nami kuwa huko mahotelini ni vurugu na kuibiwa fedha tu lakini uswazi kitu fresh kinatoka jikoni unakiona na hata siku moja huwezi pewa kiepe cha jana,keep it up dogo...
 
Kumbe zuzu mtoto, mi nlidhani zuzu mkubwa kaingia chobingo kusaka kyepe
 
JF kuna haters sijapata kuona...! eways mi namshauri mh. makamba ajue kuna kipindupindu pia...
 
JF kuna haters sijapata kuona...! eways mi namshauri mh. makamba ajue kuna kipindupindu pia...

kipindupindu?kwani we mwenzetu walia wapi vihepe,kempsiki?una madharau sana kwa raia wanaokula vihepe stand wote wanavipindupindu?
 
JF kuna haters sijapata kuona...! eways mi namshauri mh. makamba ajue kuna kipindupindu pia...




Mkuu kipindupindu ni kwa chakula kilichopoa lakini hapo kitu kinatoka jikoni sasa huyo mdudu atasavaivu vipi?
 
indusrty ya bongo movie ina wasanii wazuri sana ila hawajaamua tu!wamewaachia wasiojua kuigiza.
 
Naamini leo msosi haupandi tena anamsikitikia baba yake alivyokufa kisiasa
 
Safi sana, Mfano mzuri kabisa wa maisha ya Mtanzania, Uchafu wa maandalizi ya vyakula , mazingira na vyakula hatarishi kwa Afya zetu!
 
Back
Top Bottom