Mh.Makamba na Viepe vya Uswazi

Mh.Makamba na Viepe vya Uswazi

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,061
Makamba.jpg

Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba akiwa katika mitaa ya stendi ya mabasi Chalinze akisubiri viepe(chips) wakati akiwa njiani kuelea mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge.
 
.....Chips Yai a.k.a ZEGE
 
hii nzuri mkuu.kumuweka hapa umempandisha chati zaidi.kwa hili namuunga mkono.kidogo anajaribu kuvaa kuatu cha mtanzania wa kawaida
 
Kivumah

What the HELL are you trying to insinuate?
 
Ilikuwa kavu na kachumbali+pilipili ya kuchemsha!
 
hana tofauti na yule aliyekuwa anapiga picha na wazee,vilema,watoto nk katika uchaguzi..cheap popularity..
 
Tehetehe wabongo tushazoea vihepe vya uswazi hahahahahaha
 
Jamani Dar mpaka Chalinze njaa tayari, akifika Gairo je? Ila kula chipsi vumbi ni uhalisia
 
hana tofauti na yule aliyekuwa anapiga picha na wazee,vilema,watoto nk katika uchaguzi..cheap popularity..

Ha ha ha ha! Does it apply also to those who wear khaki uniforms?
 
Huyu hakuzingatia au hakufaulu shule ya msingi lesson ya vyakula vya safari na mpaka leo hajui chakula cha safari. Hivi hakuweza kutayarisha chakula cha safari hiyo nyumbani kwake? Hivi alikuwa anatokea Bumbuli au Dar?
 
Duuuuu hawa jamaa kwa kuigiza ni noma......usikute kwenye gari ana Baga za kutosha.....ikaingia anavitupa vichakati hivyo viepe...:rip:CCM
 
Huyu hakuzingatia au hakufaulu shule ya msingi lesson ya vyakula vya safari na mpaka leo hajui chakula cha safari. Hivi hakuweza kutayarisha chakula cha safari hiyo nyumbani kwake? Hivi alikuwa anatokea Bumbuli au Dar?

du.........mwenzangu umefika huko? kisa cha kubeba viporo noi nini? na yule mkaanga chips pale atapata hela toka wapi?
 
Back
Top Bottom