Mh.Makamba na Viepe vya Uswazi

Kikwete ana kazi kubwa hivi hili nalo mpaka aliseme kiongozi anatakiwaje ...mbona ni aibu hathamini hata afya yake hivi hao wananchi wa Bumbuli ndio atawathamini. awali sikuamini lakini kwa hali hii ni kazi kweli enzi za Mwalimu hapakuwa na uozo huu msikubali wananchi wa Bumbuli mnaweza kurudia uchaguzi kwa uzembe wa mtu...akipata shida..ndio maana tunasikia mtu kazindiwa akiwa bungeni unasevu nini posho kubwa mil 6 kila mwezi bado marupurupu kibao unataka Mungu akupe nini weweeeee....Januari usitudhalilishe vijana wenzako bado tunakutegemea.
 
Jamani Dar mpaka Chalinze njaa tayari, akifika Gairo je? Ila kula chipsi vumbi ni uhalisia

Mbona ndo maisha ya mtanzania. hata hao wafadhili wenu wanafanya saving then wanawapa nyie msosi. tatizo wa tz mshakuwa kama wakongo. nchi masikini na nyie mnafanya showoff. duh! gud january makamba japo sikukubali hata. may be hapo baadae. ninakufuatilia kwa karibu.
 
Kwa hili big up January Makamba S'times hata Obama anajichanganya uswazi,anakaa foleni km mtu wakawaida huku akisalimiana na watu akisubiri zamy yake kufungiwa mazagazaga
 
Back
Top Bottom