James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Mh. Lissu naamini kuna haja ya kupitia mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania.
Nimetumia mfano wa lugha ya Kiingereza kama kipimo kwasababu tunawasikia watu wakijaribu wakikiongea. Inawezekana yako masomo mengine pia yanayotakiwa yakuzwe lakini kwa sasa hatujui.
Wapo watakaosema mbona Urusi na China hawaongei Kiingereza. Tofauti ni kwamba wao sio omba omba kama sisi. Sisi bado tunatakiwa kuiongea lugha ya "kibeberu" kwa ufasaha ili kuweza kuomba mikopo!
Najua Mh. Lissu utanielewa kwasababu unaipenda lugha ya Kiingereza. Halafu pia Kiingereza chako ni kizuri kuliko changu, I can't reach you! (sikufikii wewe)